Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye (kulia) akisoma kitabu katika banda la Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (Legal and Human Rights Centre - LHRC) leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Uhuru...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye (kulia) akiwa katika Banda la TCRA akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Mwandamizi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Semu Mwakyanjala kuhusu huduma zinazotolewa na TCRA leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ( wa pili kulia) akitembelea banda la Shirika la Posta Tanzania leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani na Maonesho ya Kihabari...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye (kulia) akiwa katika Banda la Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Madini Shirika la STAMICO Happy Mbenyange kuhusu shughuli wanazofanya leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumza wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani na Maonesho ya Kihabari yanayoambatana na Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya habari duniani leo Jumatatu Mei...
Meneja Mwandamizi wa GGML anayeshughulikia masuala ya afya, usalama, mazingira na mafunzo Dk. Kiva Mvungi akipokea tuzo kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na wenye Ulemavu, Prof. Joyce Ndalichako (katikati), kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri kutoka OSHA,...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akisoma kipeperushi katika banda la Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA) tawi la Tanzania (MISA-TAN) leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Uhuru...
Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums, Maxence Melo
Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums, Maxence Melo amesema Dijitali imetoa fursa kwa Maudhui ambayo huenda yasingekuwa rahisi kuruhusiwa na Mhariri au Chombo cha Habari.
Ameeleza hayo Mei 01, 2022 katika Mjadala kuhusu Vitisho vya Kidijitali...
Hery Mkunda, Katibu Mkuu TUCTA
Katibu Mkuu wa Shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Bw. Hery Mkunda amesema TUCTA imependekeza kiwango cha kima cha chini cha mshahara kwa mwezi kiwe shilingi milioni moja na elfu kumi.
Mkunda ameyasema hayo leo Mei Mosi, 2022 wakati wa hotuba yake...
Elon Musk.
MIONGONI mwa habari zilizoshtua Dunia mapema wiki hii ni kuhusu mtu anayeitwa Elon Musk kuununua Mtandao wa Twitter kwa pesa za kufuru.
Amefikia makubaliano ya kuinunua Twitter kwa pesa taslim Dola za Kimarekani bilioni 44.Wengi wameshtushwa na kiasi hicho cha pesa hivyo kujiuliza huyu...
Marehemu Irene Ndyamkama
Mtoto mchanga aliyeachwa na marehemu Mbunge wa viti maalum mkoa wa Rukwa Irene Ndyamkama, amefariki dunia jana Aprili 30, 2022, baada ya kuishi kwa siku saba.
Mbunge Irene alifariki dunia Aprili 24, 2022, katika hospitali ya Tumbi wakati akipatiwa matibabu na alizikwa...