Monday, 2 May 2022

WAZIRI NAPE NNAUYE ATEMBELEA BANDA LA STAMICO MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI JIJINI ARUSHA

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye (kulia) akiwa katika Banda la Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Madini Shirika la STAMICO Happy Mbenyange kuhusu shughuli wanazofanya leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa...
Share:

NAPE NNAUYE : WANA HABARI TUMIENI KALAMU ZENU KUSAIDIA BARA LA AFRIKA RASILIMALI ZILIZOPO ZIBADILIKE KUWA BARAKA KWA WATU WAKE

  Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumza wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani na Maonesho ya Kihabari yanayoambatana na Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya habari duniani  leo Jumatatu Mei...
Share:

GGML YAIBUKA MSHINDI MAONESHO YA AFYA NA USALAMA MAHALA PA KAZI

Meneja Mwandamizi wa GGML anayeshughulikia masuala ya afya, usalama, mazingira na mafunzo Dk. Kiva Mvungi akipokea tuzo kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na wenye Ulemavu, Prof. Joyce Ndalichako (katikati), kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri kutoka OSHA,...
Share:

Picha : NAPE NNAUYE AFUNGUA MAADHIMISHO SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI... ATEMBELEA BANDA LA MISA - TAN MAONESHO YA KIHABARI

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akisoma kipeperushi katika banda la Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA) tawi la Tanzania (MISA-TAN) leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Uhuru...
Share:

MAXENCE MELO: DIJITALI INACHOCHEA MAMLAKA KUCHUKUA HATUA MAPEMA

Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums, Maxence Melo Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums, Maxence Melo amesema Dijitali imetoa fursa kwa Maudhui ambayo huenda yasingekuwa rahisi kuruhusiwa na Mhariri au Chombo cha Habari. Ameeleza hayo Mei 01, 2022 katika Mjadala kuhusu Vitisho vya Kidijitali...
Share:

Sunday, 1 May 2022

TUCTA WATAKA KIMA CHA CHINI MISHAHARA IWE MILIONI MOJA NA ELFU 1O

Hery Mkunda, Katibu Mkuu TUCTA Katibu Mkuu wa Shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Bw. Hery Mkunda amesema TUCTA imependekeza kiwango cha kima cha chini cha mshahara kwa mwezi kiwe shilingi milioni moja na elfu kumi. Mkunda ameyasema hayo leo Mei Mosi, 2022 wakati wa hotuba yake...
Share:

HUYU NDIYO BILIONEA ALIYEUNUNUA MTANDAO WA TWITTER KWA FEDHA ZA KUFURU

Elon Musk. MIONGONI mwa habari zilizoshtua Dunia mapema wiki hii ni kuhusu mtu anayeitwa Elon Musk kuununua Mtandao wa Twitter kwa pesa za kufuru. Amefikia makubaliano ya kuinunua Twitter kwa pesa taslim Dola za Kimarekani bilioni 44.Wengi wameshtushwa na kiasi hicho cha pesa hivyo kujiuliza huyu...
Share:

MTOTO WA MBUNGE ALIYEZIKWA JUZI AFARIKI DUNIA

Marehemu Irene Ndyamkama Mtoto mchanga aliyeachwa na marehemu Mbunge wa viti maalum mkoa wa Rukwa Irene Ndyamkama, amefariki dunia jana Aprili 30, 2022, baada ya kuishi kwa siku saba. Mbunge Irene alifariki dunia Aprili 24, 2022, katika hospitali ya Tumbi wakati akipatiwa matibabu na alizikwa...
Share:

Saturday, 30 April 2022

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI MEI 1,2022

...
Share:

LATRA YATANGAZA NAULI MPYA ZA DALADALA NA MABASI YAENDAYO MIKOANI

Mamlaka ya udhibiti wa usafiri Ardhini LATRA imetangaza viwango vipya vya bei ya nauli za daladala na mabasi ya mikoani huku nauli ya daladala kwa wanafunzi ndio nauli iliyobaki kama ilivyokuwa. Akitangaza viwango hivyo Mkurugenzi wa LATRA Gillard Ngewe amebainisha kuwa viwango hivyo vipya vya...
Share:

MBUNGE ANASWA AKIANGALIA VIDEO ZA NGONO BUNGENI

Neil Parish Mbunge aliyenaswa akiangalia video za ngono Bungeni *** MBUNGE wa Jimbo la Tiverton na Honiton nchini Uingereza Neil Parish yupo chini ya uchunguzi kutokana na kitendo chake cha kuangalia video za ngono akiwa Bungeni. Mashuhuda wawili ambao ni wabunge wa kike wanadai walimuona Parish...
Share:

SHEIKH KABEKE AWATAKA WANANDOA WASIISHI KWA MAZOEA..."NDOA HAIZOELEKI"

Sheikh wa Mkoa Mwanza, Hassan Kabeke ametoa rai kwa wanandoa kuacha kuishi kwa mazoea na badala yake kila siku waifanye ndoa kuwa kitu kipya kinachowapa furaha maishani huku wakilea familia kwa kuzingatia maadili na misingi bora. Sheikh Kabeke alitoa rai hiyo wakati akitoa nasaha kwenye kongamano...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger