Magazetini leo Jumatatu February 28 2022
...
Monday, 28 February 2022
SIMBA YACHAPWA 2-0 UGENINI

Na Alex Sonna
WAWAKILISHI Pekee wa Afrika Mashariki na Kati Timu ya Simba imeshindwa kutamba ugenini baada ya kuchapwa mabao 2-0 na wenyeji RSB Berkane Mchezo wa Kundi D Michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika mchezo uliopigwa uwanja wa Stade Municipal de Berkane nchini Morocco.
RSB Berkane...
MFALME ZUMARIDI AKAMATWA NA POLISI MWANZA
Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza linamshikilia Dianna Edward Bundala (Zumaridi) mwenye umri wa miaka 39, mkazi wa mtaa wa Buguku kata ya Buhongwa kwa kosa la usafirishaji haramu wa binadamu wapatao 149.
Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Mwanza Ramadhan Ng'anzi amesema...
Sunday, 27 February 2022
GEKUL AELEZA MIKAKATI YA KUKUZA RIADHA KILI MARATHONI

********************
Na. John Mapepele
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Pauline Gekul amewapongeza waandaji wa mbio za Kilimanjaro Marathoni huku akifafanua kwamba tukio hilo ni sehemu ya utekelezaji wa Sera ya Maendeleo ya Michezo nchini inayosisitiza ushiriki wa pamoja kati...
RAIS SAMIA AMTEUA BRIGEDIA JENERALI MABONGO KUWA MWENYEKITI WA BODI TPC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Brigedia Jenerali Yohana Ocholla Mabongo, kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC).
Brigedia Jenerali Mabongo ni Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA, Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
Uteuzi huu umeanza...
MAPIGANO MAKALI NA MILIPUKO YARIPOTIWA UKRAINE

Mji mkuu wa Ukraine, Kiev umekabiliwa na shambulio makali ya Urusi usiku wa kuamkia leo Februari 27, 2022. Wakati huo huo, mataifa ya Magharibi yanapanga kuiondoaUrusi kutoka kwenye mfumo wa fedha wa kimataifa (SWIFT).
Taarifa ya jeshi la Ukraine imesema kuwa wanajeshi hao wa Urusi pia wanakabiliwa...
WATENDAJI SEKTA YA ARDHI WATAKIWA KUZINGATIA UTOAJI HUDUMA BORA KWA WATEJA

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete akisisitiza jambo wakati wa kufunga kikao kazi cha Menejimenti, Wakurugenzi Wasaidizi na Makamishna wa Ardhi wa mikoa kilichofanyika mkoani Arusha Tarehe 26 Februari 2022. Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani...
DC MGEMA AWAPONGEZA WADAU WA SEKTA YA UTALII WALIOSHIRIKI MAFUNZO YA COVID-19 SONGEA
MKUU wa Wilaya ya Songea Pololet Mgema akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya wadau wa Sekta ya Utalii yaliyofanyika kwa siku tano Songea, Mkoani Ruvuma.
Mkurugenzi wa Fedha Mipango na Utawala wa Chuo cha Taifa cha Utalii CPA Munguabella Kakulima akitoa hotuba ya utangulizi juu ya mafunzo...
Saturday, 26 February 2022
Picha : RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MTAWALA WA DUBAI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu UAE na Mtawala wa Dubai Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum mara baada ya kuhutubia katika Maonesho ya Dubai Expo 2020 yanayoendelea katika Mji...