Wednesday, 2 February 2022

OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI YAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI WA MITANDAO YA KIJAMII

Msaidizi wa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Kanda ya Ziwa, Anna Masanja akizungumza wakati akifungua Kikao Kazi kati ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi na Waandishi wa Habari kutoka vyombo vya habari vinavyotumia Mitandao ya Kijamii ‘Online Media Platforms’. Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Ofisi...
Share:

BENKI YA CRDB YATANGAZA UFADHILI WA MASOMO WA SH. MILIONI 10 KWA WACHEZAJI 10 BORA CRDB BANK TAIFA CUP

Benki ya CRDB imetangaza ufadhili wa masomo wa Shilingi Milioni 10 kwa wachezaji 10 bora wa mashindano ya taifa ya mpira wa kikapu “CRDB Bank Taifa Cup” 2021 katika hafla iliyoonyeshwa mubashara kupitia chaneli ya michezo ya AzamTV. Akizungumza katika hafla ya kutangaza ufadhili huo, Meneja Mwandamizi...
Share:

KARIBU BEHAC KWA HUDUMA YA CHAKULA, BAA, PHARMACY NA MIAMALA YA FEDHA

Karibu Behac Company Limited kwa huduma za Chakula halisi cha Kitanzania/Kiafrika, Bar, Order, Miamala ya Fedha, Pharmacy .Pia tunakodisha viti, meza na sahani.  Tunapatikana Bwalo la Polisi Mjini Shinyanga . Wasiliana nasi kwa simu namba 0782767034 / 0753474488  Email : info@behac.co.tz ...
Share:

NDEGE INAYOTUMIA UMEME KUANZA MAJARIBIO, HAITUMII MAFUTA

TEKNOLOJIA na masuala ya usafirishaji inazidi kuwa kubwa, wakati wengine wakibuni magari mapya yanayotumia umeme badala ya mafuta, Israel Eviation wamekuja na kitu cha tofauti. Kampuni ya Israel Eviation imetengeneza ndege ya kwanza ya abiria duniani ambayo inatumia umeme kwa asilimia 100 bila...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATANO FEBRUARI 2,2022

Magazetini leo Jumatano February 2,2022 ...
Share:

Tuesday, 1 February 2022

Dkt. TULIA ACKSON NDIYE SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA

Mbunge wa Mbeya Mjini, Dk. Tulia Ackson amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura zote 376 za wabunge katika Uchaguzi uliofanyika leo Jumanne Februari 1, 2022 bungeni jijini Dodoma. Akitangaza matokeo hayo, Mwenyekiti wa Uchaguzi huo, William Lukuvi...
Share:

ZUHURA YUNUS, MKURUGENZI MPYA WA MAWASILIANO YA RAIS IKULU

...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger