Thursday, 6 January 2022

COSTECH YAWAKUTANISHA WADAU KUWASILISHA MATOKEO YA UTAFITI WA MAGONJWA

Na Dotto Kwilasa,Malunde 1 blog, Dodoma TAASISI ya taifa ya utafiti wa magonjwa ya binadamu (NIMR) imetahadharisha kuwepo kwa ongezeko la magonjwa yasiyo ya kuambukiza yanayopelekea  ongezeko la vifo na majeruhi kwa asilimia 41 hapa nchini huku visababishi vikitajwa kuwa ni pamoja na matumizi...
Share:

WANAFUNZI LAKI 9 KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2022...WAZIRI UMMY MWALIMU ATOA MAAGIZO YA MOTO

WANAFUNZI 907,803 wanatarajiwa kujiunga na elimu ya kidato cha kwanza mwaka 2022 kati yao wavulana 439,836 na wasichana 467,967. Hayo yamesemwa leo Januari 6 ,2022 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu wakati akizungumza na waandishi wa habari...
Share:

KAMPENI YA MATUMIZI YA EFD YASHIKA KASI KARIAKOO DAR ES SALAAM

Afisa Msimamizi Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Paul Ramadhan (kulia) akimuelimisha mfanyabiashara wa duka la jumla sokoni Kariakoo jijini Dar es Salaam leo 06/01/2022 kuhusu matumizi ya mashine za EFD na faida zake wakati wa kampeni ya matumizi ya mashine za EFD sokoni hapo. Afisa...
Share:

USAJILI WA WATAHINIWA WA KUJITEGEMEA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE CSEE NA MAARIFA QT 2022

Katibu Mtendaji, Baraza la Mitihani la Tanzania anapenda kuwajulisha watu wote wanaotarajia kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT) Novemba, 2022 kama Watahiniwa wa Kujitegemea kwamba; 1. Kipindi cha kawaida cha Usajili kitaanza tarehe 01/01/2022 kwa ada ya Shilingi 50,000/= kwa...
Share:

MBUNGE APIGWA STOP KUINGIA BUNGENI BAADA YA KUGAWA PIPI

Mbunge mmoja mwanamke nchini Kenya amesimamishwa kuhudhuria vikao vya Bunge kwa siku moja kwa kosa la kusambaza pipi kwa wabunge wenzake wakati wa mijadala muhimu bungeni. Mbunge huyo Fatuma Gedi (pichani) alijitetea kwamba kiwango cha sukari cha wabunge mwilini hushuka chini baada ya vikao virefu...
Share:

Wednesday, 5 January 2022

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI JANUARI 6, 2022

Magazeti ya leo Alhamisi January 6 2022 ...
Share:

YANGA SC, SIMBA SC ZAONESHA UBABE MAPINDUZI CUP

****************** NA EMMANUEL MBATILO Leo mechi mechi mbili zimechezwa katika michuano ya Mapinduzi Cup ambapo Simba Sc iliingia uwanjani jioni ya leo kuvaana na timu ya Selem View na kufanikiwa kuondoka na Ushindi wa mabao 2-0. Mabao ya Simba Sc yaliwekwa kimyani na nyota wao Pape Sakho akiifunga...
Share:

WAZAZI WALALAMIKA KUTOZWA 5,000 WANAPOANDIKISHA WANAFUNZI DARASA LA KWANZA

 Muonekano wa shule ya Msingi Buguti Nkongo Wandiba Na Dinna Maningo, Tarime BAADHI ya Wazazi kata ya Turwa wilaya ya Tarime wamemlalamikia mkuu wa shule ya Msingi Buguti Nkongo Wandiba kwa kuwatoza Wazazi fedha sh.5,000/= wanapofika kuwaandikisha watoto darasa la kwanza nakwamba kwa wale...
Share:

UWT MKOA WA NJOMBE -TUPO BEGA KWA BEGA NA RAIS SAMIA

********************************** UMOJA wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT)Mkoa wa Njombe umesema upo bega kwa bega na Rais Samia Suluhu Hassan ukimuahidi kuwa utahakikisha anarejea tena madarakani Mwaka 2025 ili kuendelea na majukumu yake ya kulijenga Taifa. Akizungumza na waandishi wa habari...
Share:

🟢 UVCCM MKOA WA SHINYANGA YAWAONYA WANAOJARIBU KUMKWAMISHA RAIS SAMIA...YAMTAKA NDUGAI AJITATHMINI

  Mwenyekiti UVCCM mkoa wa Shinyanga Comrade Baraka Ramadhani Shemahonge  *** Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Shinyanga wamewaonya viongozi wa chama hicho na serikali wanaoleta lugha za kejeli na kubeza jitihada za Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhu wakimtaka Spika wa Bunge...
Share:

TANZANIA YAJIANDAA KUSHIRIKIANA NA BURUNDI KATIKA SEKTA YA USHIRIKA

Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika ,Dkt.Benson Ndiege,akifungua Kikao kati ya Tume ya Maendeleo ya ushirika na Balozi wa Tanzania nchini Burundi Dkt.Jilly Malekeo kilichofanyika kwa njia ya mtandao kuhusu ushirikiano wa kiushirika kati ya Tanzania na Burundi...
Share:

RADI YAUA WATU WATANO KIGOMA

Radi Watu watano wakiwemo watoto wanne waliokuwa wakicheza chini ya mti wakati mvua ikinyesha wamepoteza maisha kwa kupigwa na radi katika Kijiji cha Kibuye, Kata ya Kumsenga wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma. Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Kigoma ACP James Manyama, na kusema...
Share:

TANESCO WATANGAZA GHARAMA ZA KUUNGANISHA UMEME...27,000 NI KWA VIJIJINI TU

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), limetangaza gharama mpya za kuunganisha umeme, ambapo vijijini ni shilingi 27,000 bila kujali umbali wala idadi ya nguzo   ...
Share:

MPATIE MWANAO LAPTOPS HIZI AFURAHIE MAISHA YA KIDIGITALI

   Mpatie mwanao furaha na tabasamu huku ukiipumsha simu yako kwa kumpatia Laptops za Watoto ili ajifunze TEHAMA. Uwezo: √ Zinatumia mfumo wa Android √ Ni Touch screen √ Zimesheni masomo Nursery mpaka Class 7 √ O-level √ Anatumia mtoto kuanzia miaka 2-14 √ Cartoon na Games √ YouTube Kids √...
Share:

WIZARA YA AFYA YAKABIDHI VIFAA MAPAMBANO DHIDI YA UVIKO-19 KWA MIKOA 17

Mratibu wa kitaifa programu ya kuzuia na kukabiliana na Upungufu wa Vitamini A nchini kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Francis Modaha, akimkabidhi Mganga mkuu wa Serikali kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt.Aifillo Sichalwe Chupa ya Kitakasa Mikono ikiwa...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger