Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akikata keki na wanafunzi wa shule ya awali Little Treasures
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko ameongoza Mahafali ya Tano ya darasa la saba 2021 katika Shule ya Msingi Little Treasures pamoja Mahafali...
Friday, 1 October 2021
Waziri Mchengerwa Aelekeza Kuwabadilishia Vituo Vya Kazi Maafisa Ununuzi Serikalini Ili Kukabiliana Na Vitendo Vya Rushwa

Na. James K. Mwanamyoto-Dodoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaelekeza watendaji wa ofisi yake kuwa na utaratibu wa kuwabadilishia vituo vya kazi Maafisa Ununuzi na Ugavi wote waliokaa muda mrefu kwenye kituo kimoja...
Majaliwa: Serikali Inatambua Mchango Unaotolewa Na Taasisi Za Kidini Nchini

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan inaheshimu, inathamini na kutambua mchango mkubwa unaotolewa na taasisi za kidini katika kujenga jamii ya wacha Mungu, wenye kutii mamlaka na sheria.
Pia, Mheshimiwa Majaliwa ametoa...
Waliovamia Eneo La Farm Chamwino Ikulu Wapewa Wiki Mbili Kuondoka

Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA
Serikali imeagiza wananchi waliovamia eneo la Farm katika kijiji cha Chamwino Ikulu mkoani Dodoma kuondoka katika kipindi cha wiki mbili kuanzia Oktoba 2, 2021 kwa kuwa kijiji hicho kilishatangazwa eneo la mpango mwaka 1992 kupitia GN Na 263 ya tarehe...
Hukumu Ya Ole Sabaya Na Wenzake Yaahirishwa Hadi Oktoba 15, 2021.

Hukumu ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili iliyokuwa itolewe leo imeahirishwa hadi Oktoba 15, 2021.
Akiahirisha hukumu hiyo Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, Amalia Mushi amesema bado...