Thursday, 23 September 2021

BARRICK YAWEZESHA WAJASIRIAMALI KUTOKA KAHAMA KUSHIRIKI MAONESHO YA TATU YA WAJASIRIAMALI KITAIFA KIGOMA

Wajasiariamali wanaowezeshwa na kampuni ya Barrick wakionesha bidhaa zao wanaozalisha
***
Wawakilishi wa vikundi vya wajasiriamali kutoka kutoka vijiji vinayozunguka mgodi wa dhahabu wa Barrick Bulyanhulu, uliopo katika Halmashauri ya wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga, wanashiriki katika maonesho ya tatu ya Wajasiriamali kitaifa yanayoendelea katika wilaya ya Kasulu kwa ufadhili wa kampuni hiyo ambayo yataisha Septemba 30, 2021.

Maonesho hayo ambayo yamewakutanisha wajasiriamali kutoka sehemu mbalimbali nchini yameandaliwa na Shirika la Kuhudumia viwanda vidogo (SIDO) kwa kushirikiana na ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Kigoma na yalizinduliwa rasmi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango.

Lengo la maonesho hayo ni kutoa fursa ya kupanua wigo wa masoko ya bidhaa zinazzalishwa na viwanda vidogo,kubadilishana ujuzi na uzoefu kwa wanajisriamali na wanaviwanda pamoja na kuonesha teknlojia mbalimbali zinazozalishwa hapa nchini.

Akiongea kwa niaba ya wajasiriamali wenzake waliowezeshwa na Barrick kushiriki katika maonyesho hayo, Clementina Felix , anayejishughulisha na ushonaji na ubunifu wa mavazi aliishukuru Barrick Bulyanhulu, kwa kuwawezesha kushiriki maonyesho hayo makubwa ambayo yatawawezesha kujifunza mambo mbalimbali yatakayowawezesha kukuza biashara zao.

“Kupitia maonesho haya tutaweza kupata fursa ya kuonesha bidhaa tunazozalisha pia tutaweza kupata elimu ya kufungasha bidhaa, urasimishaji biashara na kufungua fursa zaidi za masoko, tumekuja na bidhaa zaidi ya 100 za kuonesha”, alisema Felix.

Aliongeza kusema kuwa miongoni mwa wajasiriamali waliowezeshwa na kampuni ya Barrick, wanajihusisha na kilimo cha mazao ya nafaka, mbogamboga na matunda, wafugaji wa kuku na nyuki, washonaji wa nguo na kutengeneza mazuria na viatu.

Kwa upande wake Afisa Uhusiano na Jamii wa Mgodi wa Barrick wa Bulyanhulu, Antony Sebastian, alisema wajasiriamali hawa ni sehemu ya shughuli za maendeleo ya mgodi wa Bulyanhulu ambao wanawezeshwa kupewa elimu ya ujasiriamali na kwa wale wanaojishughulisha na kilimo wanapatiwa mbegu, mbolea na dawa za kuulia wadudu ili wafanikiwe kuendesha kilimo cha kibiashara.

Sebastian ameishukuru SIDO kwa kuandaa maonyesho haya yaliyowakutanisha wajasiriamali na wadau mbalimbali wa sekta ya ukuzaji wa biashara ndogondogo .
Wajasiariamali wanaowezeshwa na kampuni ya Barrick wakionesha bidhaa zao wanaozalisha
Wajasiariamali wanaowezeshwa na kampuni ya Barrick wakionesha bidhaa zao wanaozalisha
Wajasiariamali wanaowezeshwa na kampuni ya Barrick wakionesha bidhaa zao wanaozalisha
Wajasiariamali wanaowezeshwa na kampuni ya Barrick wakionesha bidhaa zao wanaozalisha
Wajasiriamali kutoka Kahama wanaowezeshwa na Barrick wakiwa katika picha ya pamoja kwenye maonesho ya Kasulu
Share:

Health Information Systems Officer at University of California San Francisco

JOB OPPORTUNITY – HEALTH INFORMATION SYSTEMS OFFICER   Location Dar es Salaam Application deadline September 27,2021 Start date November 1,2021 Background: The University of California San Francisco (UCSF) is engaged in a five-year Cooperative Agreement with the U.S. Centers for Disease Control and Prevention-Tanzania (CDC-Tanzania) to provide strategic information and health information systems (HIS) technical assistance […]

This post Health Information Systems Officer at University of California San Francisco has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Deputy Chief of Party, Technical – Tanzania Horticulture at Abt Associates

Job Description   The Deputy Chief of Party (DCOP) – Technical will provide strategic leadership, management, and technical direction in horticulture market systems strengthening and will support the project team, and counterparts in the implementation of activities. The DCOP will provide managerial and technical support to the Chief of Party (COP), assisting in areas including […]

This post Deputy Chief of Party, Technical – Tanzania Horticulture at Abt Associates has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Monitoring, Evaluation, and Learning Director – Tanzania Horticulture at Abt Associates

Job Description   Under the supervision of the Chief of Party, the MEL Director will provide leadership and management oversight of research, monitoring and evaluation activities for the project in alignment with the Tanzania Horticulture results framework. This includes leading the collaborative learning and adaptation activities.  The MEL Director will also oversee two other MEL […]

This post Monitoring, Evaluation, and Learning Director – Tanzania Horticulture at Abt Associates has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Deputy Chief of Party, Operations – Tanzania Horticulture at Abt Associates

Job Description   The Deputy Chief of Party – Finance and Operations (DCOP-FO), under the supervision of the Chief of Party, will have primary responsibility for financial and administrative management for the Tanzania Horticulture Activity, supervision and oversight of all financial and administrative support staff, and establishment of the systems and procedures required to ensure […]

This post Deputy Chief of Party, Operations – Tanzania Horticulture at Abt Associates has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Executive Officers / WATENDAJI at LUDEWA District Council

Executive Officers / WATENDAJI at LUDEWA District Council September, 2021. Ludewa District is one of six districts in the Njombe Region in Tanzania, East Africa. Prior to 2012, the district was one of the seven districts of Iringa Region. The town of Ludewa is the administrative seat of the district. A hospital is located in […]

This post Executive Officers / WATENDAJI at LUDEWA District Council has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMIS SEPTEMBA 23,2021

Share:

SIRI KUBWA YA UTAJIRI NI HII

Wenzangu Siku hizi biashara zangu za kuuza nguo zimenoga kwa sababu ya kuwa mjanja wa maisha. Wengine hawafahamu mimi nilifanya nini ndio nikawa tajiri kwa muda mfupi. Nitatoboa leo hii.

 Kwa majina naitwa Abdallah mkaazi wa Kongowea Mombasa na nimekuwa na matatizo ya pesa kwani umaskini ni kama ulipiga hodi kwangu na nikaitika. 

Niliteseka kwa muda mrefu lakini ya Mungu ni Mengi. Mimi kwa kweli napenda kusoma mitandao na baada ya kuhangaika kwa muda mrefu baadaye nilipata nambari ya simu ya Daktari mmoja anaiyeitwa Kiwanga na nikainakili kwa kijitabu changu. 

Jambo lililonifanya nikainakili ni kwa sababu niliona kazi yao nzuri ambao walikuwa wamewafanyia wateja wao kupitia wavuti yaani website yao. 

Ilinichukua siku tatu tu baada ya kuwatembelea Kiwanga na hela zikaanza kuingia kwangu kama mfereji. Chochote nilichojaribu kufanya kilifaulu kwa haraka hadi wa leo.

 Kiwanga Doctors wana uwezo mkubwa wa kuimarisha nyota yako ya biashara yoyote ile unayofanya na kwa muda mchache ukaaza kupata wateja wengi kwa siku. Wengi ambao wametafuta usaidizi wao wanasema kuwa wamefanikiwa pakubwa kimairisha maisha yao ya biashara.

 Kiwanga wanatekeleza Money Spells ama Wealth Spells na utaona mwangaza kwa muda mfupi mno. Usiwahi kujali na kusafiri au gharama za kusafiri hadi ofisi zao, wewe piga simu tu na utapata kusaidiwa unavyotaka. Kwa biashara, masomo, kuongezwa cheo, magonjwa sugu na kadhalika, tafadhali wasiliana na Kiwanga Doctors na hautajuta. 

Pia wanatatua shida nyingi kama Kupata mpenzi, kurudisha mpenzi, kuongezewa mamlaka kazini, kuleta furaha na amani katika familia nkt.  

Kiwanga vile vile wanatibu magonjwa sugu kama Kisukari, Pressure kwa kutumia miti shamba na mengineyo. Wasiliana na Kiwanga Doctors kwa nambari +254 769404965 kwa ajili ya kupata huduma. Pia unaweza pitia mtandao huu www.kiwangdoctors.com au kwa barua pepe yaani Email: kiwangadoctors@gmail.com

Kiwanga Doctors wamekuwepo kwa muda mrefu na ninaweza kuwaidhinisha kwa yeyote anayetaka kusaidiwa kwa njia ya kienyeji. 

Share:

Wednesday, 22 September 2021

BABA MZAZI AYACHOMA KWA JIWE LA MOTO MATITI YA BINTI YAKE

Polisi katika jimbo la Lagos nchini Nigeria wamemtia nguvuni mwanaume mmoja kwa madai ya kuyayachoma moto matiti ya binti yake mwenye umri wa miaka nane kwa kutumia jiwe la moto.

Polisi wamesema kuwa baba huyo alitekeleza maasi dhidi ya binti yake, kwa sababu matiti yake yalikuwa yameanza kuonyesha ‘chuchu’, ambazo ni ishara za kwanza za kubalehe.

Taarifa zinasema mzazi wa binti huyo alitumia kumchoma mtoto wake kwa kumfunga jiwe la moto katikati ya matiti ya binti yake.

Kwa sasa msichana huyo amelazwa hospitalini kwa matibabu, huku ripoti zikisema kuwa yuko katika hali mahututi, kutokana na majeraha aliyosababishiwa na baba yake mzazi Bw Banjo.

Baba yake msichana huyo aliripotiwa polisi na kikundi cha kutetea haki za watoto, na Msemaji wa polisi wa jimbo la Lagos DSP Asijebotu amethibitisha madai hayo, akisema kuwa wanafanya uchunguzi kuhusu tukio hilo.

Kulingana na taarifa nchini Nigeria, wazazi wa msichana huyo kwa sasa wanashikiliwa na polisi katika jimbo la Lagos.

Mkuu wa kikundi cha kutetea haki za watoto Comrade Ebenezer Omejalile, ambacho kilimshitaki baba huyo, amesema kwamba Bw Banjo , anayefahamika kama Panel, aliyabana na kisha kuyachoma matiti ya binti yake .

“Baba wa msichana huyo alitumia jiwe la moto alilolifunga ndani ya nguo na kumchoma hadi alipohakikisha kuwa ameyaharibu kabisa matiti ya binti yake,” alisema.

Alisema pia kwamba baba huyo alielezea kutoridhishwa kwake na jinsi binti yake alivyokuwa ameanza kuonyesha dalili za saratani ya matiti kwenye matiti yake, na ndio maana alitaka kuyazuia yasiote.

Mama wa msichana huyo alisema kuwa muwa wake alikuwa akimpiga binti yake mara kwa mara bila sababu za msingi.

Share:

Tundu Lissu na Wenzake Wafutiwa Kesi ya Uchochezi

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeifuta kesi ya uchochezi iliyokuwa inamkabili, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleao (Chadema) Tanzania Bara, Tundu Lissu na wenzake wanne.
Ni baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) kuieleza mahakama hiyo kuwa hana nia ya kuendelea na mashtaka dhidi ya washtakiwa hao.

Mbali na Lissu washtakiwa wengine walikuwa ni Mhariri wa Gazeti la Mawio, Simon Mkina, Jabir Idrisa na Mchapishaji wa Kampuni ya Jamana, Ismail Mehbooh

Washtakiwa hao kwa pamoja Walikuwa wanakabiliwa na mashtaka matano likiwamo la kuandika habari za uchochezi kinyume na sheria ya magazeti ya mwaka 2002.

Share:

'Royal Tour' Ya Rais Samia Suluhu Yaanza Kuzaa Mataunda Nchini, Wawekezaji Waanza Kumiminika

Kujenga hoteli zenye hadhi ya nyota tano 'brand ya Kempinski kwenye Hifadhi za Taifa
 
Na Mwandishi Maalum.

SHUGHULI za Royal Tour zilizokuwa zikifanywa kwa mara ya kwanza nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan za kutangaza vivutio vya Utalii, Biashara na Uwekezaji nchini zimeanza kuzaa matunda kwa wawekezaji kuanza kujitokeza kwa uwekezaji wa hoteli za kisasa ndani ya hifadhi za Taifa.

Hayo yamebainishwa na Serikali kupitia kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro mara baada ya mkutano  wake maalum na  Wawekezaji uliofanyika Dar es Salaam mapema leo

Ambapo amekutana na wawekezaji hao kutoka Bara la Ulaya katika nchi ya Bulgaria watakaojenga hotel za Nyota tano 'brand'  za Kempinski kwenye hifadhi Nne za Taifa nchini.

Waziri Dk. Damas Ndumbaro amesema mpango mkakati wa Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kupitia kuandaa kipindi cha Royal Tour umeweza kuzaa matunda hayo na wao kwa Wizara wameupokea kwa kwa sasa ni utekelezaji.

''Juhudi kubwa za kimkakati za Royal Tour zilizoendeshwa na Rais wetu zimeweza kuzaa matunda ambapo leo tumepokea wawekezaji mahiri kutoka Bara la Ulaya ambao watawekeza kwenye hoteli kwa kujenga hoteli tatu za nyota tano za 'brand'  ya  Kempinski  kwa uwekezaji wa Dola za Kimarekani Milioni 72. [USD 72 Milioni].

''Mkutano wetu huu hii leo umekwenda vizuri sana na Wawekezaji hawa  kwa hiyo unaweza kuipata hoteli ya Kempinski baada ya ujenzi huo kukamilika. .. Kempinski Serengeti,  Kempinski Manyara, Kempinski Tarangile na Kempinski Ngorongoro." Alisem Dk. Ndumbaro.

Waziri Dkt. Ndumbaro ameongeza kuwa,  ujenzi huo ni mkubwa sana  na unakadiriwa kuanza rasmi mwezi Januari 2022 ambapo amemshukuru  kwa mara nyingine Mhe Rais kwa kuwezesha kuwapigia 'pass' na wao kupitia wizara ya Maliasili ni utekelezaji ikiwemo kupokea Wawekezaji katika sekta hiyo ya Utalii.

''Tunaenda kasi tayari hii Royal tour  kwangu mimi kama Waziri  na Wizara ya Utalii na Maliasili kwa ujumla wake tunaichukulia kama 'pass' ya mwisho katika mpira, unapopewa pasi ya mwisho kazi yako wewe ni kufunga tu. Kwa hiyo sisi tumeshafunga 'Goal' lingine hilo kuhakikisha kwamba Royal Tour inakuwa na mafanikio zaidi'' alimalizia Waziri Dkt. Damas Ndumbaro.

Agosti 28,  mwaka huu Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan  alianza rasmi kurekodi vipindi vya Royal Tour maeneo mbalimbali ya vuvutio vya utalii na uwekezaji ikiwemo Tanzania Bara na visiwa vya Zanzibar. 

Ambapo katika ziara hiyo ya kuandaa vipindi hivyo kutembelea na kuonesha kwa wageni vivutio mbalimbali vya Utalii, Uwekezaji, Sanaa na Utamaduni vilivyopo nchini na kwa sasa matunda yake yameanza kuonekana.

Share:

Maafisa 21 wakamatwa kuhusiana na jaribio la mapinduzi Sudan

 Jeshi la Sudan limetoa taarifa likisema kwamba maafisa 21 na wanajeshi kadhaa wamekamatwa kuhusiana na jaribio la mapinduzi lililotokea jana asubuhi na msako unaendelea kuwakamata wengine waliobakia waliohusika na tukio hilo. 

Kwa mujibu wa taarifa ya kamanda wa jeshi ambaye ni mshauri wa masuala ya habari, Brigedia Jenerali Altahir Abu Haja, jeshi limeyadhibiti tena maeneo yote yaliyokuwa yamekamatwa wakati wa jaribio hilo. 

Aidha serikali ya mpito ya nchi hiyo imesema wanajeshi na raia waliohusishwa na jaribio hilo wanafungamanishwa na utawala ulioondolewa wa kiongozi wa muda mrefu, aliyeongoza kwa mkono wa chuma, Omar al-Bashir. 

Waziri Mkuu Abdalla Hamdok amesema jaribio hilo ni njama za hivi karibuni za kuchochea mgogoro wa kitaifa, akigusia mgawanyiko mkubwa uliopo Sudan wakati ikielekea kwenye demokrasia. 

Akihutubia kupitia Televisheni amesema waliopanga njama hiyo walifanya maandalizi ya kina ambayo yamejionesha kupitia mapungufu ya kiusalama yaliyoonekana mijini, kufungwa kwa barabara, bandari na uchochezi uliokuwa ukiendelezwa dhidi ya serikali ya kiraia.

Share:

Waziri Mkenda Ataka Mikakati Ubanguaji Korosho Kufikia 60% Ifikapo 2025

Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Mtwara

WAZIRI wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda amewataka wabanguaji zao la korosho kuja na mikakati  itakayowezesha zoezi hilo kufikia asilimia 60 au 100 ifikapo mwaka 2025.

Waziri Mkenda ameyasema hayo mjini Mtwara wakati akizungumza na wadau wa ubanguaji Korosho kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) mkoani hapo.

Amesema kuwa madhumuni ya kikao hicho ni kushauriana kujenga mwelekeo wa kuhakikisha kwamba adhma inafikiwa ya walau kwa kima cha chini kabisa asilimia 60 ya korosho ibanguliwe hapa nchini.

“Na hicho ni kima cha chini kabisa ikifika mwaka 2025 maana kima cha chini kabisa ni kwamba tukifika asilimia 100 tena ndio tutafurahi zaidi sasa kwa kasi ambayo tunakwenda nayo ni vizuri tukawa tunashauriana kwa maana 2025 ni kesho tuu,”.

Amesema kuwa kwa sasa ni asilimia 10 tu ya korosho inabanguliwa hapa nchini na ubora umeongezeka na ladha imekuwa nzuri zaidi Lakini linahitajika soko kubwa la nje kwa kuwa fedha nyingi zipo huko.

“Tukiweza kuwauzia wale sababu kipato na fedha zipo huko nyingi, wakulima watakuwa na fedha nyingi zaidi na kutakuwa na ajira za kutosha nchini hasa maeneo ya Mtwara na Lindi na Serikali itapata fedha,”.

Alibainisha ni changamoto inayotakuwa kufanyiwa kazi  kwa kushirikiana na wadau wote kwakuwa Serikali haiwezi kutekeleza yenyewe kwa kukaa ofisini.

Naibu Waziri wa kilimo, Mhe Hussein Bashe amesema kuongeza thamani kwenye zao hilo ni jambo la msingi husuani kwenye ubanguaji.

Amesema zipo changamoto za riba kwenye zao hilo ambapo Rais ametoa Trilioni moja kwa ajili ya kwenda kwenye shughuli za kiuchumi zitakazokopeshwa chini ya asilimia 10 na taasisi za fedha.

Amesema changamoto wanayokabiliana nayo wabanguaji ni mitaji kwamba kiwanda kina uwezo wa kuchakata tani 10 kwa siku maana yake kwa mwezi ni tani 300 hivyo ili kufanye kazi mwaka mzima kinahitaji zaidi ya tani 3,600.

Amebainisha kuwa zipo changamoto za kisera ambazo zimeshaanza kufanyiwa kazi kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za fedha ili wabangue korosho kwa kiasi kikubwa.

Share:

Sales Representative at Coca-Cola Kwanza Ltd

Closing Date 2021/09/30   Reference Number CCB210920-4 Job Title : SALES REPRESENTATIVE Function Marketing & Sales Company Coca-Cola Kwanza (Tanzania) Job Type Permanent Location – Country Tanzania Location – Province Not Applicable Location – Town / City Mbeya Job Description Coca-Cola Kwanza Ltd has an exciting opportunity in Sales and Marketing department. We are looking for talented […]

This post Sales Representative at Coca-Cola Kwanza Ltd has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Quality Asurerance Manager at Dangote

Description   Job Summary Oversee and coordinate product testing and inspection process for DCP Tanzania products to ensure optimal quality of final products is achieved and pre-determined standards of production are maintained. Duties and Responsibilities   Prepare and drive the implementation of the annual Quality Control Plan for the plant. Ensure that production quality control […]

This post Quality Asurerance Manager at Dangote has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Management Accountant at Dangote

Description   Key Duties and Responsibilities Organizing and timely preparing the annual budget. Controlling and monitoring expenses and ensure expenditure (including CAPEX) is in line with budget. Accurate and timely preparation of the monthly management reports and country finance report. Preparing monthly forecasts to aid business planning. Developing and managing financial systems & policies, and […]

This post Management Accountant at Dangote has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

TAARIFA YA MKUTANO WA MWAKA WA MASHIRIKA YA KISERIKALI

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Uratibu Mashirika Yasiyo ya Kiserikali nchini (NaCONGO) imeandaa Mkutano wa Mwaka wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kuanzia tarehe 29-30 Septemba, 2021.

Mkutano huu utafanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete Jijini Dodoma ukiwa na kauli mbiu isemayo: "Kuimarisha Mchango wa Mashirika Yasiyo Ya Kiserikali katika Maendeleo ya Taifa".

Mgeni Rasmi katika Mkutano huu ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.

Mashirika Yasiyo ya Kiserikali yanaalikwa kushiriki Mkutano huu kwa kujiandikisha kupitia tovuti ya www.nacongo.or.tz au piga namba +255 689 489554 au 0737569583 na 0737569584 kuthibitisha ushiriki wako.

Ujumbe huu umetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) kwa ufadhili wa Shirika la Legal Services Facility.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger