MBUNGE wa Viti Maalumu CCM kupitia Asasi za Kiraia Tanzania Bara (NGOs) Mhe Neema Lugangira
MBUNGE wa Viti Maalumu CCM kupitia Asasi za Kiraia Tanzania Bara (NGOs) Mhe Neema Lugangira amesema hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, New York nchini Marekani na kulihutubia Baraza hilo itasaidia kufungua fursa nyingi na kuwaweka Watanzania katika nafasi nzuri ya kunufaika


















