Sunday, 1 August 2021

Picha : BITEKO AFUNGA MAONESHO YA BIASHARA NA TEKNOLOJIA YA MADINI SHINYANGA....ATANGAZA KUZINGUA WALIOSHIKILIA LESENI ZA UCHIMBAJI

Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko akizungumza wakati akifunga Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga. Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko leo Jumapili Agosti 1,2021 amefunga Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa...
Share:

Vyombo Vya Ulinzi Na Usalama Na Mapambano Dhidi Ya Corona

 Na Abubakari Akida, MOHA Vyombo vya Ulinzi na Usalama nchini vimetakiwa kutokujiweka kando na mapambano dhidi ya ugonjwa wa Virusi vya Korona katika kipindi hiki ambacho nchi inapitia katika vita ya wimbi la tatu la ugonjwa huo. Rai hiyo imetolewa leo mkoani Tabora na Naibu Waziri wa Mambo...
Share:

Wachimbaji Wadogo Kupokea Kifuta Jasho Cha Milioni 90 -Singida

Na. Steven Nyamiti – Mkalama Singida Jumla ya Wachimbaji Wadogo wa Dhahabu 90 katika eneo la kijiji cha Tumuli wataanza kupokea kifuta jasho kuanzia  tarehe 2 Agosti, 2021 baada ya utaratibu wa kupewa kifuta jasho kukamilika. Hayo yameelezwa na Waziri wa Madini Doto Biteko tarehe 31 Julai,...
Share:

Waziri Mkuu Mgeni Rasmi Uzinduzi Mafunzo Ya Uanagenzi Mbeya

Na. MWANDISHI WETU Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Programu ya Mafunzo ya Uanagenzi kwa Awamu ya Tatu tarehe 2 Agosti, 2021 katika Chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST). Hayo yameelezwa na Waziri...
Share:

Rais Samia kufanya ziara ya kiserikali ya siku mbili nchini Rwanda

 Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kiserikali ya siku mbili nchini Rwanda kuanzia Agosti 2, 2021 kwa mwaliko rasmi wa wa Rais wa nchi hiyo, Paul Kagame Akiwa Rwanda, Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na mengine atafanya mazungumzo rasmi na mwenyeji wake, kisha atashuhudia...
Share:

BARRICK KUFANIKISHA KANUNI YA USHIRIKISHWAJI WATANZANIA KATIKA MNYORORO WA UCHUMI WA MADINI KWA VITENDO

Mwenyekiti wa Tume ya Madini,Profesa Idris Kikula (Kushoto) akibadilishana mawazo na Meneja wa Barrick nchini,Georgia Mutagahywa (Kulia) na Kamishna wa Madini kutoka Tume ya Madini,Janeth Lekashingo wakati wa warsha hiyo.  *** Kampuni ya madini ya Barrick, imeeleza dhamira yake ya kujipanga zaidi...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI AGOSTI 1,2021

...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger