
Derby imemalizika, Yanga wanafanikiwa kuzuia ubingwa wa mapema kwa Simba.
Kikosi cha Yanga, leo kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes.
Mchezo wa leo ambapo Simba SC ilikuwa inahitaji pointi tatu ili kutangazwa kuwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara mambo...