Thursday, 6 May 2021

Rais Samia Aongoza Kikao Cha Baraza La Mawaziri

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo Mei 06,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma



Share:

Dkt.Abbasi Azitaka Sports Betting kuwa Sehemu ya Kukuza Michezo


Katibu Mkuu wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi  amezitaka Kampuni za Ubashiri wa Michezo (Sports Betting) kuwa sehemu ya kuinua na  kukuza  michezo nchini.

Dkt. Abbasi  ameyasema hayo Mei 05, 2021 Jijini Dar es Salaam katika  kikao  na Kampuni hizo ambapo amesema kuwa  Michezo ya Kubashiri ( Sports Betting) inayo nafasi kubwa katika kuchangia maendeleo  ya timu  za Taifa  hasa pale zinapokuwa katika mashindano.

“Lengo la Serikali kwa sasa ni kuwekeza kimkakati kwenye michezo, tuwe na mpango wa moja kwa moja wa kuzisaidia timu zetu za Taifa kifedha, mimi naamini tukishirikiana kwa karibu tunaweza kuleta mabadiliko chanya katika sekta ya michezo.” Alisema Dkt. Abbasi.

Katibu Mkuu Dkt.Abbasi amesisitiza  kuwa  changamoto zilizopo katika Kampuni hizo zitatafutiwa ufumbuzi kupitia vikao  na njia mbalimbali baina ya Serikali na Kampuni hizo, ambapo amesisitiza  ushirikiano kwa pande hizo mbili katika kusaidia nchi.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Chama Cha Ubashiri wa Michezo Tanzania (TSBA) Jimmy Kenneth ameiomba Serikali kutatua  baadhi ya changamoto ikiwemo  uwepo kwa kampuni za ubashiri ambazo hazina usajili nchini ambazo  zinaisababishia nchi kukosa mapato ambapo Dkt.Abbasi ameahidi kufanyia kazi suala hilo.

Naye Mwakilishi kutoka Biko Sports Goodhope Heaven alimshukuru Dkt. Abbasi kwa kuweza kukutana nao na kumshukuru kwa namna alivyoonesha moyo wa kusaidia Sekta ya Michezo nchini pamoja na  kuwa mstari wa mbele katika kutatua changamoto zao.

Wadau hao kwa pamoja wameonesha utayari wa kuzisaidia timu  za Taifa huku wakiiomba Serikali kuweka msisitizo wa  mazingira rafiki ya ulipaji kodi.


Share:

RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo Mei 06,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma


Share:

Dkt. Gwajima: Tutasimama Na Wakunga Kuhakikisha Uzazi Unakuwa Baraka

 


Na. Catherine Sungura-Dodoma
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amewahakikishia wakunga kwamba Serikali itaendelea kusimama nao vema ili waweze kutimiza majukumu yao ipasavyo katika kusimamia akina mama kujifungua salama.


Dk. Gwajima ametoa pongezi hizo mapema leo alipozungumza kupitia kipindi kimoja kinachorushwa na Kituo cha Radio  hapa nchni kilichokuwa na mada kuhusu Siku ya Wakunga Duniani ambayo hufanyika Mei 5, kila mwaka.


Amewapongeza wakunga na wadau wote waliofanikisha maadhimisho ya siku hiyo nchini hususan UNFPA (Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Masuala ya Idadi ya Watu).


“UNFPA wametuunga mkono siku zote kuhakikisha tunakwenda vizuri na agenda hii ambayo wao wanaisimamia vema kuhusu idadi ya watu duniani  na maisha bora ikiwemo masuala ya afya.


“Siku ya leo tutakuwa tunaelekeza nguvu nyingi kuangalia vipaumbele vyote vya Umoja wa Mataifa (UN) na malengo yake 17 (SDGs), lengo namba tatu linahusu watu wa afya na ustawi wa jamii yetu tunavyoihudumia.


Ameongeza “Wakunga wanafahamu siku ya leo kauli mbiu inaeleza tuongozwe na takwimu maana ndiyo eneo muhimu litatufanya tuweze kujipima kama tutafika hayo malengo ya 2030.


“Katika malengo haya ambayo tumejiwekea kwamba vifo vya uzazi vitokomezwe kabisa, isifikie kwamba mama anabeba ujauzito anakwenda kujifungua anapoteza maisha au mtoto anapoteza maisha.


“Mchezo huu unawahitaji wakunga, wao ndiyo Baraka ya kwanza kabisa ya kiumbe hai ambacho mungu amekileta duniani, nini jukumu letu tunatakiwa tuwasaidie, tuwajali, tuwaenzi, wawe na imani.


“Kwa sababu kama wakirudi nyuma kwenye hotuba ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi, Samia Suluhu Hassan, alipokuja bungeni alisema kwamba mradi huu wa masuala ya kuboresha huduma za uzazi wajawazito, wazazi na watoto wasifariki ni mradi wake wa moyoni.


“Kama Rais amesema ni mradi wa moyoni na ameniamini mimi na kunipa dhamana kusimamia sekta hii mimi ndiyo nazama kabisa moyoni mwake kabisa mzima mzima,” amesisitiza.


Dk. Gwajima ameongeza “Kwa hiyo naunga na mheshimiwa Rais. kwamba na mimi mradi huu ni wa moyoni mwangu na nitahakikisha nasimama na wakunga.


“Kuhakikisha kwamba tunawekeza kuwahakikishia wana uwezo wa kitaaluma mahitaji, miundombinu wanayohitaji, dawa zote na wanafanya kazi zao vizuri kuhakikisha wanakuwa Baraka kwa mtoto huyu anayezaliwa mikononi mwao, wao wakiwa wanafungua njia ya maisha bora yenye afya na furaha kwa mtoto huyu ambaye ni Taifa la kesho,” amesema Dk. Gwajima.



Share:

AMUUA MAMA YAKE KWA MAPANGA AKIMTUHUMU KUMROGA

Mkazi wa kijiji cha Guta Wilaya ya Bunda mkoani Mara Grace Chacha (67) amefariki dunia baada ya kukatwa mapanga na mwanaye wa kambo aitwaye Matiku Chacha akidaiwa ni mchawi.

Mtoto wa marehemu Joseph Chacha amesema tukio hilo lilitokea Aprili 22, 2021 saa 4 asubuhi katika kijiji cha Guta.

Ameelez kuw mama huyo anadaiwa kuuawa na kijana huyo aliyekuwa akiishi jirani na Grace na kwamba kabla ya tukio hilo mtuhumiwa huyo anadaiwa kutamka maneno ya vitisho kwa marehemu akimtuhumu kuwa chanzo cha yeye kuwa na maisha magumu.


Share:

NILIBAKWA NA WATU 6 MWAKA 2017, HATIMAYE NIMEPATA HAKI YANGU

Sasa ni miaka 3 imepita baada ya kufanyiwa kitendo kibaya sana na group la watu 6 hapa kwetu Mabibo. Ni vijana ambao alinisimamisha nikiwa njiani natoka kazini Manzese nikirudi home Mabibo. Nilisimama bila wasiwasi kwa sababu ilikuwa ni muda wa saa 8:30 usiku na watu walikuwa wanatembea barabarani.

Baada ya kusimama, kijana mmoja mrefu alisimama mbele yangu na kuniita jina (Fatuma Mambo) nikaitikia vizuri, ghafla wote wakanizunguka na mmoja wao akatoa kitambaa na mwingine akatoa kisu na kuniomba simu yangu na mkoba pia. 

Baada ya kuwapatia nikaambiwa nisitoe neno lolote na mimi sikuweza kulingana na mshtuko niliokuwa nao hata nguvu nilikuwa sina labda niliwaza kitu kimoja wapi tunaenda.

Tulipofika soko la Mabibo nikaingizwa kwenye gari nyeusi na vijana watu wakaingia kwa gari kisha nikafungwa macho,kuringana na jinsi gari likivyokuwa linatembea niweze tambua kuwa tunaerekea maeneo ya Kigogo.

Tulifika sehemu gari ikasimama na kijana mmoja akasema “Boss hajafika",baada ya saa moja kupita nikasikia mtu mwingine amefika ila sauti yake niliweza kufananisha na mtu mwingine aliyenitongoza kwa mwaka mmoja nikamkataa kulingana na sifa mbaya aliyekuwa nayo.

Muda huo gari lilitolewa hadi nikasikia nipo ndani ya chumba, sauti ile ile “Akasema mnatongozwa mnaringa”akinipapasa matiti yangu na kunisogelea nilipopiga kelele nikawekewa kisu shingoni ilibidi nitulie na kutoa machozi  na kujiuliza kipi wanataka kwangu.

Nilifungwa mikono na kutolewa nguo zangu zote, Hapo ndiyo nilisikia nikikuswa sehemu yangu ya siri na kuwekewa uume iliniuma sana haswa ulivyokuwa anaumiza kwa kasi kubwa ,baada ya dakika kadhaa wa kwanza akamaliza haja zake na kusema vijana kazi kwenu kula tunda la bure na pesa yenu tukutane kesho kijiweni. Sijakaa sawa nikapigiwa kiss na kushikwa matiti yangu tena nilikuwa sijakaa sawa nikanyanyuliwa miguu yangu yote nakuekelewa tena.

Maumivu yalikuwa makubwa zaidi kufikia hatua ikapoteza hisia za mwili wangu kutoka tumboni hadi miguuni kulingana na jinsi walivyokuwa wakibadilishana hata bila kunipa muda wa kutulia. Ilipofika saa kumi usiku niliwekwa kwa gari na kurudishwa Mabibo-Sokoni Upande wa chini kuna uwanja wa mpira wa miguu na kutolewa kwa gari bado nikiwa zimefungwa mikono na machoni nikawekewa kitambaa.

Sikuweza kutoka waliponiacha hadi asubuhi ndiyo wakapita wavulana wawili wakielekea chuo cha NIT nikawaita na kuomba msaada wa simu ili nimjurishe mama. Mama alifika na kunipeleka kituo cha police Mabibo kwa ajili ya kupata statement ya police kisha kuchukuliwa kwenda Hospitali ya karibu kwa ajili ya kupata huduma. Police walikuja Hospitali wakaniuliza maswali tena bila shida nikawaeleza jinsi ilivyotokea na wakaniahidi kuwa wahusika watakamatwa.

Ndani ya miezi 5 kila siku ya Jumatatu nilikuwa nafika police kuuliza kama wahusika wamepatikana ila majibu ni hamna na kuambiwa bado wanafanya uchunguzi.

Ikabidi mimi nitafute msaada sehemu nyingine hapo ndiyo niliweza pata namba hii +254 769404965 ya Dr. Kiwanga nikampigia na kumwambia matatizo yaliyonikuta 2017 na kuomba wahusika wapewe adhabu ambayo itawachanya waje kwangu na kuniomba msamaha.

Dr. akaniambia atanisaidia nikiwa Hapa kwetu Dar es salaam na yeye akiwa Kenya- Nakuru,Pia akasema ndani ya wiki 1 wahusika watajulikana .Baada ya Siku 5 kupita tangu Dr ameanza matambiko nilipigiwa simu police kuwa nahitajika haraka wahusika wamejileta police.

Kufika pale cha kushangaza zaidi nilimkuta Mbaraka,Salum,Jofle, Hamisi,Benson pamoja na Shabani ambaye alinitongoza kwa miaka 2 na nikamkataa na wote ni vijana ambao nilikuwa nakutana nao mara kwa mara Mabibo-Sokoni nikielekea kazini.

Leo hii wote wapo gerezani kwa kifungo cha maisha, asante Dr. Kiwanga kunisaidia kupata haki yangu ambayo nilitafuta kwa muda mrefu bila kufanikiwa.

Katika mazungumzo yangu na Dr. Kiwanga alisema anatatua shida mbalimbali kama vile,kuvuta aliye mbali,kufunga Mme/mke kwenda nje ya ndoa,kumrudisha aliyekuacha,kuwa na mvuto kwa Mwanaume/Mwanamke na kupata cheo kazini kwako

Piga +254 769404965 kuongea na Dr. Kiwanga au temberea website yao www.kiwangadoctors.com  Hakuna chenye mwanzo hakina mwisho muone Dr. Kiwanga atakusaidia.

Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI MEI 6,2021












 



Share:

Wednesday, 5 May 2021

SHEREHE ZA SIKUKUU YA EID EL-FITR KUFANYIKA MEI 13 AU MEI 14, 2021 MNAZI MMOJA DAR


Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limetangaza kuwa sikukuu ya Eid- El Fitr itakuwa tarehe 13 au 14 mwezi huu kutegemeana na kuandama kwa mwezi.

Sherehe za Eid El-Fitr kitaifa kwa mwaka huu zitafanyika mkoani Dar es salaam, ambapo Swala itaswaliwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja kuanzia saa 1:30 asubuhi.
Share:

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KILIMO,MIFUGO NA MAJI YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI MIKUBWA YA MAJI JIJINI DODOMA


Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya kilimo,Mifugo na Maji Christina Ishengoma.
Waziri wa Maji Jumaa Aweso

Na Faustine Gimu Galafoni,Dodoma

Kamati ya kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji imetembelea  miradi mikubwa ya maji ya Mzakwe na Buigiri iliyopo jijini Dodoma  huku ikiridhishwa na mwendelezo wa utekelezaji wa  miradi hiyo.

Akizungumza  katika ziara hiyo Mei 4,2021 ,Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya kilimo,Mifugo na Maji Christina Ishengoma ameipongeza  Wizara ya Maji kwa kuendelea kutekeleza miradi hiyo kwa ufasaha.

“Baada ya kuzunguka na kuona visima vinajengwa baada ya muda tatizo la maji litapungua ,kwa hiyo baada ya mwaka mmoja tutaweza kupata maji ya kutosha katika jiji letu la Dodoma kwa kweli ninaashukuru sana wizara ya Maji kwa kushirikiana na DUWASA katika utekelezaji wa miradi hii”,amesema.

Kwa upande  wake Waziri wa Maji Jumaa Aweso takribani visima 10 vimechimbwa katika jiji la Dodoma huku mkakati wa maji kutoka ziwa Victoria ukiendelea.

“Watu katika jiji la Dodoma wameongezeka Mhe.Rais ametupatia Bilioni 5 kuhakikisha tunafanya maboresho ya haraka ,tumechimba visima takriban 10  ,kuna visima vikubwa 3  ambavyo tumevichimba kimoja kina uwezo wa kutoa zaidi ya lita 400,000 kwa saa  tuna tank kubwa hapa Buigiri   la lita milioni 2.5 hii yote kuhakikisha  wananchi wa Dodoma wanapata maji kwa haraka  na mkakati wa haraka tulionao ni kuleta maji kutoka ziwa Victoria”,amesema.

Kaimu mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira jijini Dodoma Mhandisi Aron Joseph amesema mradi wa maji Buigiri Chamwino umefikia asilimia 98.

“Kama DUWASA  tunahakikisha huduma ya maji inaboreka zaidi katika jiji la Dodoma , mradi huu wa Buigiri Chamwino  ulikuwa  wa thamani ya Tsh.bilioni 2.5  lakini tumeutekeleza kwa Tsh.Milioni 998 kwa maelekezo ya wizara katika kuhakikisha tunapunguza gharama na tumefanikisha  kwa sababu tupo asilimia 98 ya  utekelezaji wa mradi ili uweze kukamilika”,amesema.

Hata hivyo, Kamati ya kudumu ya Bunge ya kilimo,Mifugo na Maji imeishauri Wizara pamoja na taasisi zake ikiwemo mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira jiji la Dodoma [DUWASA]  na jiji la Dodoma kwa ujumla kuwa na mpango kabambe wa kutoa elimu kwa wananchi namna ya kujenga nyumba zitakazokuwa zina miundombinu ya kuvuna maji ya mvua kwa wingi ili kuondoa changamoto ya uhaba wa maji .
Share:

RAIS SAMIA : NIMEKUJA KENYA KUNYOOSHA PALIPOPINDA...HATUNA BUDI KUENDELEA KUELEWANA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Mabunge Mawili ya Kenya (Bunge la Taifa pamoja na Bunge la Senate la Kenya kwa pamoja Jijini Nairobi leo tarehe 05, Mei, 2021. PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameliambia Bunge la Kenya kuwa ziara yake nchini Kenya imelenga kukazia maeneo ambayo yalilegalega katika uhusiano wa nchi hizo mbili.

Mhe. Samia ameuambia mkutano maalumu wa pamoja wa bunge la seneti na bunge la kitaifa nchini Kenya ustawi wa mataifa hayo mawili unaathiri ustawi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa pamoja.

"Kila mara panapotokea kutoelewana kati yetu tunadhoofisha uhusiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, bila kukusudia pia tunaathiri utangamano wa Afrika Mashariki, hivyo hatuna budi kuendelea kuelewana",amesema

Rais Samia amesema kuwa kuna kipindi jumuiya hiyo ilijaribiwa kufuatia, maneno na vitendo ambavyo vilipima uimara wa dhamira za nchi wananchama wa jumuiya hiyo kuendelea na safari ya utangamano.

"Niwahakikishie, mimi na wenzangu nchini Tanzania tutahakikisha kuwa uhusiano wetu unang'ara na kwa kufanya hivyo tung'arishe uhusiano wa Afrika Mashariki. Tanzania itaendelea kuwa jirani na mbia mwaminifu wa Kenya na mwanachama muadilifu wa Afrika Mashariki," amesisitiza Rais Samia.
Share:

RAIS SAMIA SULUHU AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MJUMBE MAALUMU WA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA KATIKA UKANDA WA MAZIWA MAKUU BALOZI Xia HuangJIJINI NAIROBI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Maziwa Makuu Mhe. Balozi Xia Huang Jijini Nairobileo tarehe 05 Mei, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Maziwa Makuu Mhe. Balozi Xia Huang Jijini Nairobileo tarehe 05 Mei, 2021.



 

Share:

Picha : RAIS WA TANZANIA, MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA BUNGE LA TAIFA NA BUNGE LA SENATE LA KENYA NAIROBI KENYA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Mabunge Mawili ya Kenya (Bunge la Taifa pamoja na Bunge la Senate la Kenya kwa pamoja Jijini Nairobi leo tarehe 05, Mei, 2021. PICHA NA IKULU
Share:

TANZANIA YAPEWA UHURU KENYA


Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwa na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, ametoa uhuru wa kibiashara kwa wawekezaji wa Tanzania kuwekeza nchini Kenya bila kuwa na visa za biashara wala kibali cha kazi na kuwasihi wahakikishe wanazingatia sheria na kanuni zinazofuatwa na wawekezaji wa Kenya.

Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 5, 2021, nchini Kenya wakati wa ufunguzi wa kongamano la wafanyabiashara wa Kenya na Tanzania ambalo wamelifungua kwa pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, na kuongeza kuwa watahakikisha wanarahisisha njia zote za ufanyaji biashara.

"Tungependa kuona wawekezaji wengi wa Tanzania waje wafanye kazi zao hapa Kenya, wawekezaji wa Tanzania mjue kwamba mko na uhuru wa kuleta na kufanya biashara zenu hapa bila kuombwa 'business visa' na work permits' ila mfuate sheria na kanuni zilizowekwa na zile ambazo wenzenu wa Kenya pia lazima wazifuate", amesema Rais Kenyatta

Awali pia Rais Kenyatta alisisitiza umuhimu wa kushirikiana na siyo kushindana, "Tuko na nafasi na nia ya kuhakikisha kwamba tukifanya pamoja tunaweza kuinua uchumi wa Tanzania na Kenya, naamini Mh Rais Samia Suluhu, kwa dhati ya kwamba tukiingia kwa njia ya kushirikiana ushindi utakuwa wa wananchi wa nchi zetu".
Share:

DC MGEMA APONGEZA WAKALA WA VIPIMO 'WMA' KUSIMAMIA NA KUTOA ELIMU YA VIPIMO SAHIHI


Na Andrew Chatwanga ,Songea
Mkuu wa Wilaya ya Songea Mkoani Ruvuma Pololet Mgema amewapongeza  Wakala wa Vipimo Tanzania(WMA) kwa kuendelea kusimamia na kutoa elimu ya vipimo sahihi kwenye makundi mbalimbali ya jamii ambayo huwajengea uelewa pindi wanapohitaji huduma za kununua bidhaa au kuuza hasa mazao na kuachana na mazoea ya matumizi ya vipimo vya kienyeji.

Pongezi hizo amezitoa wakati akifungua kongamano la siku moja la upataji wa elimu ya vipimo sahihi ambavyo hutumia mizani mbalimbali inayotambulika na Serikali , uliyofanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Songea Mkoani humo.
 
 Akifungua kongamano hilo ambalo lilimehusisha makundi mbalimbali ya jamii ikiwemo wajasiriamali pamoja na baadhi ya wafanyabiashara wa masoko ya Manispaa hiyo ambapo mada mbalimbali zinazohusiana na vipimo zimetolewa , amesema kuwa Wakala wa Vipimo Tanzania wamekuwa wakijitahidi kupita kutoa elimu juu ya matumizi ya vipimo sahihi.

 Mkuu huyo amewataka Wakala wa Vipimo Tanzania wazidi kupanua wigo wa utoaji wa elimu kwa jamii kutoka na kile kinachodaiwa kuwa baadhi ya makundi hayajafikiwa kikamilifu hasa Vijijini jambo ambalo husababisha baadhi yao  kuendelee kutumia vipimo vya kienyeji kama Vilita,Dumla,Ndoo na Kakongo.

Amewataka washiriki waliyobahatika kupatiwa mafunzo hayo waende wakawe mabalozi wazuri wa kuzuia Vipimo vya kienyeji na badala yake wakasimamie vipimo sahihi vinavyotambulika na Serikali 

 Kwa upande wake kaimu  Meneja wa Wakala wa Vipimo Mkoani Ruvuma ,Nyagabona Mkanjabi amesema kuwa hadi sasa wameshapita kutoa elimu katika maeneo mbalimbali ya Mkoani humo huku baadhi ya maeneo kama Wilaya ya Mbinga na Nyasa bado kumekuwepo na changamoto kubwa ya utumiaji wa Vipimo vya kienyeji.
 
 Kaimu Meneja huyo amesema kuwa licha ya kuwepo kwa changamoto hizo lakini bado elimu hiyo itazidi kuendelea kutolewa hadi kila mwananchi atambue umuhimu wa kutumia vipimo sahihi vinavyotambulika na Serikali kwa lengo la kumlinda mnunuzi na muuzaji.

 Naye mmoja wa wafanyabiashara ambaye pia ni mwenyekiti wa soko kuu la Songea Dometi Ngwenga amesema kuwa changamoto inayowakabili baadhi ya wafanyabiashara ambao waliyowengi ni wajasiliamali wadogo wadogo  ni bei ya mizani kuwa juu jambo ambalo baadhi yao wanashindwa kuimudu na hatimaye kuendelea kutumia vipimo vya kienyeji.

Afisa huduma kwa wateja na utawala kutoka EWURA Mkoani Ruvuma Magreth Temba ambaye pia ni mmoja ya waliokuwa katika utoaji wa mada zinazohusiana na sekta hiyo kwenye kongamano hilo, amesema kuwa mwananchi kupatiwa huduma bora ni haki yake ya msingi hivyo kama hawaridhishwi na huduma zinazotolewa kwa jamii na Mamlaka zinazohusika wana wajibu wa kuhoji au kutolea taarifa katika sehemu husika.
Share:

Transport Officer And Office Assistance at CAMFED

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

JOB ADVERT-TRANSPORT OFFICER AND OFFICE ASSISTANT (1 POST) CAMFED Overview CAMFED (the Campaign for Female Education) is internationally recognised as a leader in education for girls, for its child protection policy and practise, and as a voice for girls’ education and women’s empowerment at the highest levels. Founded in 1993, CAMFED supports young women throughout […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

 

 

Share:

Program Assistant – Trachoma Surgical Outreach NTD Programs at Helen Keller Intl Tanzania

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

Country Overview: Established in 1984, the Helen Keller Intl – Tanzania office was the organization’s first in Africa set up to provide primary eye care services in central Tanzania. Helen Keller Intl has since expanded its role and currently works in partnership with the Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children (MoHCDGEC), Local […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

 

 

Share:

Head of Vocational and Commercial Education Program at SBFIC Bank

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

Job offer in Tanzania: Head of Vocational and  Commercial Education Program   Background: Deutsche Sparkassenstiftung für internationale Kooperation (DSIK, German Sparkassenstiftung for International Cooperation) is a non-governmental organization based in Germany and focusing on financial inclusion and financial sector development in Africa, Europe, Latin America and Asia. DSIK started its operations in Tanzania in 2012 and […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

 

 

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger