Tuesday, 4 May 2021

Quality Assurance Manager 2 Positions at Vista Pharma LTD

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

VISTA PHARMA LTD, has constructed a new pharmaceutical manufacturing factory, at Zegereni,  Kibaha, in the Coast Region. The pharmaceutical factory will manufacture and supply various hu­man tablet and syrup medicines. The factory plans to start the production operations in July 2021. In this regard, the company invites the qualified and experienced Tanzanian applicants in the […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Warehouse Manager 2 Positions at Vista Pharma LTD

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

VISTA PHARMA LTD, has constructed a new pharmaceutical manufacturing factory, at Zegereni , Kibaha, in the Coast Region. The pharmaceutical factory will manufacture and supply various hu­man tablet and syrup medicines. The factory plans to start the production operations in July 2021. In this regard, the company invites the qualified and experienced Tanzanian applicants in the […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Microbiologist 3 Positions at Vista Pharma LTD

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

VISTA PHARMA LTD, has constructed a new pharmaceutical manufacturing factory, at Zegereni,  Kibaha, in the Coast Region. The pharmaceutical factory will manufacture and supply various hu­man tablet and syrup medicines. The factory plans to start the production operations in July 2021. In this regard, the company invites the qualified and experienced Tanzanian applicants in the […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Quality Control Man­ager 2 Positions at Vista Pharma LTD

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

VISTA PHARMA LTD, has constructed a new pharmaceutical manufacturing factory, at Zegereni, Kibaha, in the Coast Region. The pharmaceutical factory will manufacture and supply various hu­man tablet and syrup medicines. The factory plans to start the production operations in July 2021. In this regard, the company invites the qualified and experienced Tanzanian applicants in the field […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Technician with Diploma in pharmaceutical 3 Positions at Vista Pharma LTD

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

VISTA PHARMA LTD, has constructed a new pharmaceutical manufacturing factory, at Zegereni, Kibaha, in the Coast Region. The pharmaceutical factory will manufacture and supply various hu­man tablet and syrup medicines. The factory plans to start the production operations in July 2021. In this regard, the company invites the qualified and experienced Tanzanian applicants in the field […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Business Development Technician-Bancassurance at SanLam Insurance

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

We’re in the business of planning for tomorrow. We do this by truly appreciating the value of money and turning the materials we’re given into something more. It’s our trade and it is something we are passionate about. That’s what makes us to live with Confidence™ as Sanlam Emerging Markets. If you would like to […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Business Development Manager- Brokers & Bancassurance at SanLam Insurance

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

We’re in the business of planning for tomorrow. We do this by truly appreciating the value of money and turning the materials we’re given into something more. It’s our trade and it is something we are passionate about. That’s what makes us to live with Confidence™ as Sanlam Emerging Markets. If you would like to […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Senior Social and Behavior Change/Community Engagement Advisor at IMA World Health

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

Job Description IMA World Health, a subsidiary of Corus International, is seeking a Senior Social and Behavior Change/Community Engagement Advisor to support implementation of an anticipated USAID-funded program in Tanzania. Corus International is a family of organizations which believes that those who were born into impossible circumstances deserve the opportunity for a better life. Corus […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE MEI 4,2021

Share:

Monday, 3 May 2021

Driver at TANROADS DSM

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

TANZANIA NATIONAL ROADS AGENCY (TANROADS) is a Semi-Autonomous Agency under the Ministry of Works established on July 1, 2000 and is responsible for the day-to-day management of the Tanzania Mainland’s trunk and regional roads network. Its primary functions include the management of maintenance and development works, operations of the network and Axle Load Control, the implementation […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Breaking : RAIS SAMIA ATUMBUA VIONGOZI WATATU

Share:

Dr Abbasi: Serikali Imejipanga Kuisaidia Timu ya Taifa Kifedha

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salam
 Katibu Mkuu wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali imejipanga kuisaidia Timu ya Taifa  kwa kuipatia fedha ili kuongeza ufanisi wa timu hiyo ndani na nje ya nchi.

Dkt. Abbasi amesema hayo Mei 3, 2021 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam alipokutana   na kufanya mazungumzo na Katibu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Bw.Alfred Kidau ambapo wamezungumzia namna ya kuiwezesha Timu ya Taifa (Taifa Stars) kwenye maandalizi ya michuano ya awali ya kufunzu Kombe la Dunia yanayotarajiwa kufanyika mwezi Juni hadi Agosti 2021.

“Ili kupata matokeo mazuri wachezaji wetu lazima wawe vizuri kifedha hii itawasaidia kisaikolojia kuweza kupata matokeo mazuri.” Alisema Dkt. Abbasi.

Ameongeza kuwa Serikali imejipanga kuanzisha vyanzo mbalimbali vya mapato kwa ajili ya michezo ikiwemo kurudisha mchezo wa Bahati Nasibu ((Sport Betting Nationary Lottary).

Kwa upande wake Bw. Alfread Kidau amesema maandalizi yote yamekamilika huku akieleza kuwa changamoto iliyobaki ni ukosefu wa rasilimali fedha ambapo ameshukuru namna Serikali inavyojipanga kukabili changamoto hiyo ikiwemo kusaidia posho za wanamichezo kutolewa mapema.

Kikao hicho pia Kimehudhuriwa na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Tanzania Bw. Yusuph Singo
.

Share:

Vijana 2,563 Wapatiwa Mafunzo Ya Kilimo Hai Dodoma

Vijana wanaojishugulisha na kilimo hai kwenye wilaya ya Chamwino mkoa wa Dodoma wameiomba serikali iwasaidie kupata uhakika wa masoko ya mazao yao ikiwemo alizeti, mahindi, kunde, ufuta na mazao ya mboga mboga.

Wamaetoa ombi hilo jana Jumamosi (01.05.2021) wakati wataalam wa Wizara ya Kilimo wanaofanya ufuatiliaji wa utekelezaji wa Mkakati wa Taifa  Vijana kushiriki kwenye sekta ya Kilimo (NYSA) kuzalisha ajira  walipotembelea vikundi sita vya vijana.

“Tunalima mboga mboga mboga pia alizeti hapa kijijini lakini changamoto yetu imekuwa uhaba wa masoko ya mazao yetu hali inayopunguza morali ya vijana kuendelea na kazi za Kilimo” alisema Christopher Joseph kijana mjasiliamali

Akizungumzia kuhusu kazi zilizofanywa na shirika la Kilimo Endelevu (SAT) linalotekeleza mradi wa Wanawake Dodoma katika Maendeleo ya Kilimo na Biashara (DWABI) Mratibu wake Elizabet Kilia alisema jumla ya vijana 2,563 kati yao wasichana 2,354 na wavulana 209 wamefikiwa na kuunganishwa kwenye vikundi vya kilimo hai (organic farming).

Aliongeza kusema jumla ya vikundi 90 katika wilaya za Chamwino, Mpwapwa na Dodoma wamefikiwa na elimu ya kilimo hai na ujasiliamali kupitia shirika la SAT ambapo linalenga kuboresha maisha ya vijana hususan akina mama wadogo (young mothers) kiuchumi kupitia kilimo ambao wamezaa mapema wakiwa na umri mdogo .

Elizabet  alisema kwa upande wa ujasiliamali jumla ya vijana 1,900 wamejengewa uwezo kwenye ujasiliamali kwa nadharia na vitendo kuweza kutengeneza bidhaa za  kijasiliamali kama batiki, kuongeza thanani ya zao la ubuyu, sabuni za maji na mikoba ya shanga,

Naye Mratibu wa Mkakati wa Vijana Kushiriki katika Kilimo toka Wizara ya Kilimo aliyeongoza tumu ya wataalam kukagua miradi ya Vijana Revelian Ngaiza aliwapongeza vijana wa Chamwino kwa ubunifu wao uliokuza uzalishaji wa mazao hali ilisaidia kubaidilisha maisha yao kwa kuwa na uhakika wa kipato kwenye kaya .

Ngaiza aliongeza kusema suala la uhaba wa masoko kwa mazao ya kilimo ni agenda kuu ya serikali ya awamu ya sita ambapo mikakati imewekwa ili kuwezesha wakulima wapate masoko na kuuza mazao yao, hivyo amewataka vijana kutokata tamaa bali waendelee kujishughuli kazi za kilimo ikiwemo za uongezaji thamani mazao ya kilimo na mifugo.

“Rais Samia Suluhu Hassan tayari ameshatoa maagizo kwa wizara ya Kilimo na ile ya Viwanda na Biashara kuhakikisha mazao ya wakulima yanapata masoko ya uhakika .Agizo hilo alilotoa wakati akihutubua Bunge huvu karibuni, hivyo vijana endeleeni kulima kwa kuzingatia tija na soko litapatikana” alisisitiza Ngaiza.

Kuhusu changamoto ya vijana kupata ardhi na kuondokana na gharama kubwa ya kukodi Ngaiza alitoa wito kwa Halmashauri nchini kote kutenga ardhi maalum kwa ajili ya vijana kwenye vijiji ili waweze kuzalisha mazao ya Kilimo na kuwa na uhakika wa ajira na kipato hatua itakayosaidia utekelezaji wa mkakati wa Taifa kuhusu vijana kushiriki kwenye sekta ya Kilimo.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa shirika la Kilimo Endelevu (SAT) Janet Maro alisema wapo tayari kununua mazao yote ya vijana yaliyozalishwa kwa njia ya Kilimo hai msimu huu ikiwemo alizeti, karanga, ufuta, mahindi na mpunga.

Katika kuhakikisha vijana wanawezeshwa na kusimamiwa kuzalisha mazao kwa njia ya Kilimo hai SAT tayari imefanikiwa kutoa mafunzo kwa maafisa ugani 40 toka wilaya za Chamwino (19),Dodoma (1) na Mpwapwa (20) mafunzo yaliyotolewa kwenye kituo cha mafunzo Vianzi mkoani Morogoro mwaka 2020.

Mwisho.

Share:

COSOTA Yawasisitiza Waimbaji Wa Muziki Wa Injili Kuwa Na Umoja

Na Anitha Jonas – COSOTA,Dar es Salaam
Afisa Mtendaji Mkuu na Msimamizi wa Hakimiliki COSOTA Doreen Anthony Sinare amewataka waimbaji wa nyimbo za Injili kuwa na Umoja kwa kuwa kuanzisha Shirikisho litakalowaunganisha vyema.

Doreen ameyazungumza  hayo Mei 02, 2021 katika Kipindi cha Super Sunday kilichokuwa kinarushwa na Boresha Online Redio ambapo kilikuwa na Mada inayosema ni kwa namna gani COSOTA inafanya kazi na waimbaji wa Injili pamoja na faida za kusajili kazi COSOTA.

Akiendelea kuzungumza katika kipindi hicho Mtendaji huyo ambaye ni Msimamizi wa Hakimiliki nchini alieleza kuwa Serikali inatambua changamoto ya ukosefu wa elimu ya kutosha kuhusu masuala ya Hakimiliki hivyo imeanza kuandaa vipindi  vya kutoa elimu na kwa mwaka mpya wa fedha 2021/2022 kutakuwa na Mfuko wa Sanaa na Utamaduni ambao utasaidia kutoa elimu na mikopo kwa wasanii.

“Kufuatia changamoto kubwa ya uuzaji na usambazaji wa kazi Sanaa Serikali imeandaa  mfumo wa Online ambao utasaidia kusambaza kazi hizo ikiwemo Muziki, Filamu na kazi zingine za Sanaa,”alisema Doreen.

Pamoja na hayo Doreen alizungumzia suala la ugawaji wa Mirabaha kwa kuelezea changamoto ya ukusanyaji wa mirabaha kutokana na uhaba wa watumishi, ambapo alifafanua kuwa kuanzia mwakani COSOTA itaanza kutoa gawio kubwa baada kufanya marekebisho ya Kanuni mbalimbali na kuboresha mifumo ya ukusanyaji.

Akijibu hoja ya Mmoja wa Waimbaji wa Kikundi cha Zablon Singers kuhusu kurudiwa kwa wimbo wa mtu bila ridhaa ya mwenye wimbo Doreen alisisitiza kuwa hilo ni kosa katika suala la Hakimiliki, hivyo aliendelea kutoa Onyo kali kwa Wasanii kuacha mara moja tabia hiyo kwani hiyo ni kinyume na taratibu za Hakimiliki.

Halikadhalika nae  Mtangazaji wa Kipindi hicho Mc Mtawala aliiomba COSOTA kutoa elimu  kwa Makanisa ya  Kikristo ambayo yanakataza kwaya zao kusajili nyimbo zao kwa ajili ya kupata Hakimiliki

Share:

Jafo Aagiza Kukamatwa Mfanyabiashara Alietelekeza Makontena Ya Uchafu Bandarini

Na Lulu Mussa,Dar es Salaam
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo ameagiza kukamatwa kwa Bw. Kaissy Mkurugenzi wa  Kampuni ya Seif for Tobacco Trading Co. Ltd aliyeingiza nchini makontena zaidi ya mia tano (500) yenye malighafi ya Molasesi iliyoharibika na kuyatelekeza katika Bandari ya Dar es Salaam.

Waziri Jafo ameagiza hayo hii leo mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika Bandari ya Dar es Salaam na kushuhudia makontena hayo yakiwa yametelekezwa bandarini hapo na mengine kutawanywa katika baadhi ya bandari kavu jijini Dar es Salaam.

Amesema kamwe Tanzania haiwezi kugeuzwa kuwa dampo kwa kuruhusu bidhaa kutoka nje ya nchi ambazo muda wake wa matumizi umeisha kuingizwa nchini kwa lengo la kutupwa kiholela.

“Ndugu zangu katika kusimamia mazingira hatuna mzaha, afya za binadamu na mimea ni dhamana yetu, sitaruhusu afya za watanzania kuwekwa rehani” Jafo alisisitiza.

Imebainika kuwa mfanyabiashara huyo aliyetambulika kwa jina moja tu la Bw. Kaissy aliingia nchini kwa hati ya utembezi (tourist) na baadae kupatiwa kibali cha uwekezaji kupitia Export Processing Zone (EPZA) kilichomruhusu kuwekeza katika uzalishaji wa shisha kibali ambacho kilifutwa baada ya kugundulika kuwa kuna udanganyifu mkubwa kuhusu uwekezaji wake.

Aidha, Waziri Jafo amemwagiza Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa na Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Samwel Gwamaka kufanya kaguzi katika Bandari kavu zote nchini kubaini bidhaa zilizoingizwa nchini zikiwa zimeisha muda wake wa matumizi ambazo zimetelekezwa kwa lengo la kuzitupa nchini na kuchukua hatua za kisheria.

Pia Waziri Jafo amesema NEMC, TBS na Mamlaka ya Bandari ndani ya siku tatu kuwasilisha taarifa ya kina kuhusu mwekezaji huyo na idadi kamili ya makontena yaliyoingizwa nchini na mfanyabiashara huyo.

“Kwa kuwa vipimo vilivyofanywa na TBS vinaonyesha kuwa Molasesi yote imekwisha haribika na ni hatari kwa afya ya binadamu na mazingira, namwagiza mfanyabiashara huyo kurudisha makontena hayo yalikotoka kwa gharama zake mwenyewe” Jafo alisisitiza.

Waziri Jafo pia ametembelea bomba za kusafirishia mafuta kutoka kwenye meli na kubaini uvujaji wa mafuta katika mabomba hayo unaosabishwa na uchakavu  wa mitambo hiyo, Waziri Jafo ameagiza hatua za haraka kuchukuliwa kudhibiti uchafuzi wa Mazingira.

Share:

Picha : RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MSTAAFU WA NIGERIA OLESEGUN OBASANJO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olesegun Obasanjo Ikulu Chamwino Dodoma leo Mei 3,2021. PICHA NA IKULU
Share:

MWIZI ALALA USINGIZI MZITO BAADA YA KUMUIBIA BIBI KIZEE

Kumetokea kisa cha aina yake katika kijiji cha Mutomo, kaunti ya Kitui nchini Kenya baada ya mwizi sugu wa mabavu eneo hilo kuvamia nyumba ya ajuza mmoja na kisha kulemewa na usingizi.

Kwa mujibu wa gazeti la Taifa Leo, Jumatatu, Mei 3,2021 mwizi huyo alishindwa kutoroka baada ya kumuibia ajuza na badala yake alikamatwa na usingizi mzito uliomfanya kutiwa mbaroni.

Mwizi huyo alikuwa na mazoea ya kuwahangaisha wanakijiji huku akivamia makazi yao na kuwashurutusha wampe mali yoyote ya thamani waliyokuwa nayo.

Wakati wa siku ya tukio hilo, jamaa huyo alivunja nyumba ya ajuza akitambua kwamba mwanawe alikuwa amemuachia KSh50,000 za ujenzi. 

Alimshurutisha bikizee huyo atoe pesa hizo huku akianza kufungua radio na televisheni ili aondoke nazo. 

Lakini ama kweli akili ni nywele kila mtu ana zake, ajuza alimuomba mwizi huyo ale kwanza kabla ya kuondoka.

Na kwa sababu alikuwa anakeketwa na njaa, mwizi huyo alikubali kuketi kitako na kuparamia sahani mbili za wali uliokuwa umeandaliwa na bibi kizee kisha aliomba maji akate kiu. 

Badala ya kubebea virago alivyompora ajuza huyo na kuondoka, alivamiwa ghafla na usingizi kisha alilala.

 Akiwa amelala usingizi mzito, polisi waliitwa kwenda kumkamata.

 Alipozinduka kutoka usingizini na kuanza kuwekwa pingu alimwambia ajuza huyo:

 "Kitu gani uliniwekea kwenye chakula? wewe ni nyanya mjanja sana" Bibi kizee naye alimjibu: "Ulinioa mzee. Uzee ni mwili, akili ni ya kijana. Nenda tutakutania kortini".

 Ajuza huyo alisifiwa na wakazi kwa ujasiri wake wakidai mwizi huyo aliwahangaisha kwa muda mrefu.

 Chanzo - Tuko news
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger