Thursday, 1 April 2021

DC MBONEKO APONGEZA WANANCHI NYALIGONGO KUANZISHA UJENZI ZAHANATI

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko, akizungumza na wananchi wa kijiji cha Nyaligongo Kata ya Mwakitolyo wilayani Shinyanga, na kuwapongeza kuanzisha ujenzi wa Zahanati. Na Marco Maduhu, Shinyanga. Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko, amewapongeza wananchi wa kijiji cha Nyaligongo...
Share:

Tazama Picha : KATIBU MKUU KIONGOZI, MAWAZIRI NA MANAIBU MAWAZIRI WAKILA KIAPO LEO IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Hussein Othman Katanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi (CS) katika hafla iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 01 Aprili 2021. Picha na Ikulu Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Othman Katanga...
Share:

DC MBONEKO ARIDHISHWA KASI UJENZI KITUO CHA POLISI MACHIMBO YA DHAHABU MWAKITOLYO

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Jasinta Mboneko, akikagua ujenzi wa kituo cha Polisi kwenye machimbo ya madini ya dhahabu Mwakitolyo. Na Marco Maduhu, Shinyanga. Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko, ameeleza kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa kituo cha Polisi kilichopo kwenye machimbo ya dhahabu...
Share:

RAIS SAMIA : NAFAHAMU MWAKA 2025 NI KARIBU...MWENYE HILI NA LILE AACHE MARA MOJA... TWENDENI TUKAFANYE KAZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Viongozi hao aliowateuwa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma ** Na Charles James, Michuzi TV ACHENI hili na lile! Ni kauli ya Rais Mama Samia...
Share:

RAIS SAMIA : TUMIENI AKILI NA MAARIFA KUKUSANYA KODI SIO NGUVU, MNAUA BIASHARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Viongozi hao aliowateuwa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma ** Na Said Mwishehe,Michuzi TV RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger