Thursday, 1 April 2021

DC MBONEKO APONGEZA WANANCHI NYALIGONGO KUANZISHA UJENZI ZAHANATI

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko, akizungumza na wananchi wa kijiji cha Nyaligongo Kata ya Mwakitolyo wilayani Shinyanga, na kuwapongeza kuanzisha ujenzi wa Zahanati. Na Marco Maduhu, Shinyanga. Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko, amewapongeza wananchi wa kijiji cha Nyaligongo...
Share:

Tazama Picha : KATIBU MKUU KIONGOZI, MAWAZIRI NA MANAIBU MAWAZIRI WAKILA KIAPO LEO IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Hussein Othman Katanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi (CS) katika hafla iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 01 Aprili 2021. Picha na Ikulu Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Othman Katanga...
Share:

DC MBONEKO ARIDHISHWA KASI UJENZI KITUO CHA POLISI MACHIMBO YA DHAHABU MWAKITOLYO

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Jasinta Mboneko, akikagua ujenzi wa kituo cha Polisi kwenye machimbo ya madini ya dhahabu Mwakitolyo. Na Marco Maduhu, Shinyanga. Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko, ameeleza kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa kituo cha Polisi kilichopo kwenye machimbo ya dhahabu...
Share:

RAIS SAMIA : NAFAHAMU MWAKA 2025 NI KARIBU...MWENYE HILI NA LILE AACHE MARA MOJA... TWENDENI TUKAFANYE KAZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Viongozi hao aliowateuwa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma ** Na Charles James, Michuzi TV ACHENI hili na lile! Ni kauli ya Rais Mama Samia...
Share:

RAIS SAMIA : TUMIENI AKILI NA MAARIFA KUKUSANYA KODI SIO NGUVU, MNAUA BIASHARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Viongozi hao aliowateuwa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma ** Na Said Mwishehe,Michuzi TV RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu...
Share:

RAIS SAMIA ATAKA MAPATO YA SERIKALI KUFIKIA TRILIONI 2 KWA MWEZI, ADOKEZA UTEUZI MPYA....MAKATIBU WAKUU MATUMBO JOTO

  Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Na Damian Masyenene Katika kuongeza mapato ya Serikali, Rais Samia ameitaka Wizara ya fedha kutengeneza mazingira mazuri ya kukusanya kodi na kucha kutumia mabavu bila maarifa hali inayosababisha kuua bishara nyingi nchini, huku akiitaka wizara hiyo kuhakikisha...
Share:

Senior Technical Advisor: Clinical and Training/Training Lead at Jhpiego

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content Jhpiego seeks a Senior Technical Advisor: Clinical and Training/Training Lead for an upcoming Centers for Disease Control and Prevention (CDC)/PEPFAR-funded voluntary medical male circumcision (VMMC) project in Tanzania. The project aims to contribute to the PEPFAR goal of achieving...
Share:

Finance and Administration (F&A) Manager at Jhpiego

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content Overview Jhpiego seeks a Finance and Administration (F&A) Manager to provide financial and administrative management for an upcoming Centers for Disease Control and Prevention (CDC)/PEPFAR-funded voluntary medical male circumcision (VMMC) project in Tanzania. The project...
Share:

Monitoring and Evaluation Lead/Strategic Information Advisor at Jhpiego April, 2021

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content Overview Jhpiego seeks a Monitoring and Evaluation Lead/Strategic Information Advisor to provide technical leadership, oversight and strategic direction for monitoring and evaluation (M&E) activities for an upcoming Centers for Disease Control and Prevention (CDC)/PEPFAR-funded...
Share:

Quality Control Officer at Kazinikwetu Limited

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content QUALITY CONTROL OFFICER Kazinikwetu Limited on behalf of a client is looking for a Quality Control Officer for a manufacturing company to be based in Dar-es salaam Tanzania Key Duties and Responsibilities Build strategic SHEQ understanding Drive quality improvement in Manufacturing...
Share:

DKT. BASHIRU ALLY NA WENZAKE WAAPISHWA KUWA WABUNGE....NDUGAI AAHIRISHA BUNGE HADI APRILI 6

Spika wa Bunge Job Ndugai leo April 1, 2021 amewaapisha wabunge watatu walioteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wabunge hao ni Balozi Dkt. Bashiru Ally, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk na Balozi Liberata...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger