Tuesday, 12 January 2021

Consultant, Governance at Palladium

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

We are searching for an experienced Consultant, Governance at our Dar Es Salaam facility. Company Overview Palladium is a global leader in the design, development and delivery of Positive Impact – the intentional creation of enduring social and economic value. We work with foundations, investors, governments, corporations, communities and civil society to formulate strategies and […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

 

 

Share:

Advisor, Data Use at Palladium

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

We are searching for an experienced Advisor, Data Use at our Dar Es Salaam facility. Company Profile Palladium is a global leader in the design, development and delivery of Positive Impact – the intentional creation of enduring social and economic value. We work with foundations, investors, governments, corporations, communities and civil society to formulate strategies […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

 

 

Share:

Project Evaluation and Insights Consultant at UNCDF

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

Background About UNCDF  The United Nations Capital Development Fund (UNCDF) makes public and private finance work for the poor in the world’s 47 least developed countries. With its capital mandate and instruments, UNCDF offers “last mile” finance models that unlock public and private resources, especially at the domestic level, to reduce poverty and support local economic development. […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

 

 

Share:

Business Development at Exponent Global Consulting Pte Ltd

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

Vice President – Business Development   Exponent Global Consulting Pte Ltd Dar es Salaam, Tanzania The Employer The employer is an international trading company that deals in skincare, haircare, cosmetics, perfumes and related products. With offices in Singapore, Hong Kong, India and Middle East, it sells its products through an omni-channel strategy covering both of […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

 

 

Share:

Legal and Corporate Affairs Manager at Total

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

Legal and Corporate Affairs Manager     Job Description Legal Manage and supervise the legal activities of the company. Monitor compliance of company secretariat registrations with the government agencies. Monitor company legal. licensing and regulatory compliance for its operations in Tanzania. Guide Management in all legal matter, litigations, contractual and land issues. Implement and monitor the […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

 

 

Share:

Operations Manager at Kilombero Valley Teak Company

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

Operations Manager    The Kilombero Valley Teak Company (KVTC) (www.kvtc–tz.com) in Tanzania is Africa’s largest privately owned teak forest and timber business. It is Tanzania’s biggest exporter of timber products. To enhance this status and improve its performance, KVTC is looking for a suitable candidate for the position of Operations Manager (OM). REPORTING RESPONSIBILITIES The […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

 

 

Share:

Procurement Officer at Mwananchi Communications Ltd

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

Procurement Officer     Job Summary To procure quality goods and services at the most competitive price from the approved suppliers for MCL operations to meet the Group’s business objectives. Full Job Description   Receives, reviews and approves IPRs within authority limits. Gets approval from Section Managers and MD for IPRs above authority. Prepare annual procurement […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

 

 

Share:

Administration and Records Assistant at Alistair Group

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

 Administration and Records Assistant    We are looking for an Admin and Records Assistant to assist us in our Warehousing Department. Hours: Monday to Friday plus alternate Saturday mornings Responsibilities and Duties: Administrative 1. Recording morning meeting minutes 2. License + legal requirements management (Business license, WMS certification for scale and calibration weight) 3. Warehousing […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

 

 

Share:

Naibu Waziri Wa Fedha Na Mipango Aagiza Uchunguzi Gharama Za Ujenzi Jengo La Utawala Kiwanda Cha Chaki Maswa


Na. Farida Ramadhani na Peter Haule, Simiyu
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Mwanaidi Ali Khamis, amemwagiza Mkuu wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, Bw. Aswege Kaminyoge, kufanya uchunguzi wa gharama zilizotumika kujenga jengo la utawala la miradi ya kimkakati ya Chaki na Vifungashio wilayani humo baada ya kutoridhishwa na gharama zilizotumika ikilinganishwa na jengo hilo lilivyo.

Mheshimiwa Mwanaidi Ali Khamis, ametoa agizo hilo Mjini Maswa, baada ya kukagua ujenzi wa miundombinu ya miradi hiyo inayofadhiliwa na Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni 8.

Alisema kuwa jingo hilo lililokamilika kwa asilimia 93 ni la kawaida sana na haliwezi kugharimu shilingi milioni 178 fedha ambazo amesema ni nyingi ikilinganishwa na thamaniya jengo hilo ambalo mpaka sasa limejengwa kwa gharama ya shilingi milioni 110 kwa kutumia mfumo wa force account.

 “Tathmini ifanyike haraka na ripoti yake nipatiwe, lakini pia mkae muangalie namna ya kupunguza gharama, jengo lile haliwezi kutumia kiasi chote cha fedha hizo, lengo la Serikali ni kuzisaidia Halmashauri kujitegemea lakini sio kwa namna hii”, alisisitiza Mhe. Mwanaidi Ali Khamis.

Aidha alimuagiza Mkandarasi wa SUMA JKT anayesimamia ujenzi wa Kiwanda cha Chaki na vifungashio kuhakikisha ujenzi wa majengo ya mradi huo yanakamilika kwa wakati ifikapo tarehe 15 mwezi Januari, 2021 kama alivyoelekeza Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo ili kazi ya kufunga mitambo ya kiwanda hicho ifanyike na  kuanza uzalishaji.

 “Tena tarehe 15 naona mbali, mimi naagiza tarehe 14, yaani kuanzia leo ufanyekazi usiku na mchana ili mradi huu ukamilike kwa wakati na vifaa viletwe kwa ajili ya kuanza kufanya kazi ili kutoa ajira kwa vijana pamoja na kuboresha mapato ya Halmashauri ambalo ndilo lengo la Serikali kuziwezesha Halmashauri zijitegemee na kuacha utegemezi wa ruzuku kutoka Serikali Kuu”, alisema Mhe. Mwanaidi Ali Khamis.

Naye Mbunge wa jimbo la Maswa Mashariki, Mhe. Staslaus Nyongo aliiomba Wizara ya Fedha na Mipango kutoa fedha kwa ajili ya kulipia mitambo ya kuchakata chaki iliyoko nchini Uturuki ili ifungwe kiwandani hapo na kuanza uzalishaji ili kuiwezesha Halmashauri ya Wialaya Maswa kuongeza mapato na kuwapunguzia wananchi mzigo wa michango ya miradi ya maendeleo ikiwemo elimu.

Mkuu wa Wilaya ya Maswa Bw. Aswege Kaminyoge alimhakikishia Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mwanaidi Ali Khamis kwamba atatekeleza maagizo hayo na kusimamia kwa karibu zaidi utekelezaji wa miradi hiyo ili ikamilike kwa wakati na kuishukuru Serikali kwa kutoa fedha za ujenzi wa miradi hiyo ya Kimkakati.

Awali Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, Dkt. Fredirick Sagamiko alisema kuwa mwanzoni miradi hiyo miwili ya kiwanda cha kutengeneza chaki na kiwanda cha kutengeneza vifungashio ilitengewa kugharimu kiasi cha shilingi bilioni 8.2 lakini baada ya kufanya uchambuzi wa miradi hiyo, gharama imeongezeka hadi kufikia zaidi ya shilingi bilioni 29.

Katika hatua nyingine, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mwanaidi Ali Khamis alimuagiza Mkuu wa Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, Bw. Festo Kiswaga kuhakikisha anajenga mindombinu ya barabara za hospitali mpya ya wilaya hiyo ili kuwawezesha wananchi kufika kwa urahisi na hudumiwa.

Alisema miundombinu iliyopo ya barabara za kuelekea hospitalini hapo zinaweza kusababisha madhara kwa wananchi hususani wagonjwa wanaohudumiwa katika hospitali hiyo hasa kipindi hiki cha mvua wakiwemo akina mama wajawazito na watoto.

Akizungumza na baadhi ya wagonjwa hospitalini hapo, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango aliwataka wananchi kutumia kikamilifu huduma za hospitali hiyo iliyojengwa na Serikali kwa gharama ya shilingi bilioni 1.9 na kusisitiza kuwa huduma za watoto waliochini ya umri wa miaka mitano zinatolewa bure.

Akitoa taarifa ya ujenzi wa Hospitali hiyo iliyoko katika kijiji cha Dutwa, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi, Bw. James John alisema hospitali hiyo imekamilika na imeanza kutoa huduma za afya kwa wananchi wakiwemo wagonjwa wa nje, wanaolazwa, huduma ya mama, baba na mtoto, tiba na matunzo ya wagonjwa wa kifua kikuu na ukoma.

Aliiomba Serikali isaidie upatikanaji wa watumishi wa kada mbalimbali, vifaa tiba ikiwemo vifaa vya upasuaji, vitanda vya kujifungulia, mashine za kutolea dawa ya usingizi, ultrasound, samani pamoja na gari la kubebea wagonjwa.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Bw. Festo Kiswaga, alimweleza Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mwanaidi Ali Khamis kwamba miundombinu ya barabara itawekwa kuunganisha majengo ya hospitali ili kuondoa adha ya wagonjwa kutembea kwenye tope hasa wakati wa mvua.

Mwisho.


Share:

Serikali Yatoa Ufafanuzi Wa Upatikanaji Wa Mafuta Ya Kupikia Nchini


Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Geoffrey Mwambe (Mb) inawahakikishia wananchi kuwa hali ya upatikanaji wa mafuta ya kula itatengemaa mara baada ya kuanza upakuaji wa mafuta ya kula yanayoingizwa kutoka nje ya nchi kupitia bandari yetu ya Dar es salaam.

Changamoto ya uhaba wa mafuta ya kula umetokana na upungufu wa uzalishaji na kutegemea uagizaji wa mafuta ya kula nje ya nchi, bei ya mafuta ya kula hutegemea soko la bidhaa hiyo kulingana na msimu na mabadiliko ya bei ya bidhaa hiyo katika soko la Dunia.

Serikali imezipatia leseni kampuni mbili za uagizaji wa mafuta ya kula ambazo ni East Coast Oil and Fats Ltd na Murzah Wilmar East Africa Ltd. Kampuni hizo zimekuwa zikiingiza mafuta ya kula nchini ili kukidhi upungufu wa tani 365,000 MT kwa mwaka ya mahitaji halisi ya mafuta hayo ya tani 570,000 MT kwa mwaka wakati kiasi kinachozalishwa nchini ni tani 205,000 MT kwa mwaka (TARI-2020).

Aidha, meli mbili zimeingia bandari ya Dar es salaam. Meli aina ya UACC SHMIYA iliyowasili Bandari ya Dar es Salaam tarehe 10 Desemba, 2020 ambayo ilipangwa kushusha shehena tarehe 11 Januari, 2021, iliruhusiwa kuanza kushusha shehena husika kuanzia tarehe 30 Desemba, 2020 na kukamilisha ushushaji tarehe 03 Januari, 2021. Kiasi cha mafuta ya kula yenye ujazo wa 21,800 MT kimepakuliwa katika meli hiyo na sasa kiko tayari kuingia sokoni.  Aidha, meli nyingine iitwayo MELATI SATU ya shehena ya mafuta ya kula ya ujazo wa 26,450 MT imetia nanga alfajiri ya tarehe 5 Januari, 2021 katika Bandari ya Dar es Salaam na ratiba ya ushushaji wa shehena inaonesha kuwa ni tarehe 19 Januari, 2021 hadi tarehe 22 Januari, 2021.

Wizara kwa kushirikiana na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi inaharakisha ushushaji wa mafuta ya kula yanayoingia kutoka nje ya nchi kupitia bandari ya Dar es salaam ili kuharakisha upatikanaji wa mafuta kwa wananchi na kupunguza kupanda kwa bei.

Pamoja na hayo Wizara imewekeza nguvu katika Mkoa wa Kigoma kupitia agizo la Waziri Mkuu kuhusu ushiriki wa Taasisi za Umma katika uzalishaji wa mchikichi kwa ajili ya usindikaji wa mafuta ya kula. Taasisi hizi ni pamoja na Jeshi la Magereza Tanzania, Taasisi ya utafiti wa Kilimo (TARI), na Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo na Biashara ndogo (SIDO).

Vilevile, Serikali imeendelea kuhamasisha uanzishwaji wa viwanda vikubwa, vya kati na viwanda vidogo vya kusindika mbegu za mafuta ili kutatua tatizo la uhaba wa mafuta ya kula nchini.



Share:

Utawala wa Donald Trump Wairudisha Cuba katika nchi zinazofadhili ugaidi


Utawala wa Rais Donald Trump umeirudisha Cuba katika orodha ya ‘nchi zinazofadhili ugaidi‘ na kuiwekea vikwazo vipya vinavyoweza kukwamisha ahadi ya Biden kufufua uhusiano na serikali hiyo ya kikomunisti.

Waziri wa Mambi ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo, ametangaza hatua hiyo jana Jumatatu akitaja ushirikiano kati ya Cuba na waasi wa Colombia.

Aidha sababu nyingine ni ushirikiano wa Cuba na serikali ya siasa za mrengo wa kati ya Venezuela pamoja na hatua ya Cuba kuwakaribisha wakimbizi wa Marekani kuwa miongoni mwa sababu zilizowafanya kuchukua hatua hiyo.

Suala la kuitangaza Cuba kuwa taifa linalofadhili ugaidi limejadiliwa kwa miaka mingi na ni miongoni mwa hatua kadhaa za mwisho za sera ya nchi za nje ambazo utawala wa Trump unafanya kabla ya Biden kuchukua urais Januari 20.


Share:

Rais Mwinyi ahutubia sherehe za Mapinduzi Zanzibar


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi amesisitiza kuwa Serikali yake itaendelea kuweka mazingira mazuri ya Uwekezaji ili kuwavutia Wawekezaji wengi wa ndani na nje ya Zanzibar.

Dkt Mwinyi ametoa kauli hiyo jijini Zanzibar wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Amesema kuwa Uwekezaji ndio utakaoisaidia Zanzibar kuendelea kupiga hatua za kimaendeleo kwa haraka zaidi na kuifanya kuwa miongoni mwa maeneo bora Barani Afrika na hata Duniani.

Amesema lengo la Serikali yake ni kuhakikisha Zanzibar inarejea kuwa kitovu cha biashara katika eneo la Afrika Mashariki, hivyo Uwekezaji ndio utasaidia kufanikisha jambo hilo.

Dkt Mwinyi pia amewasisiriza Wakazi wote wa Zanzibar kuendelea kulipa kodi pamoja na Mamlaka husika kuendelea kubuni vyanzo vingine vya mapato , ambayo yatasaidia kuboresha huduma mbalimbali za kijamii.

Amesema baada ya Mapinduzi ya Zanzibar ya Januari 12 mwaka 1964, Mapinduzi yanayosisitizwa sasa ni yale ya sekta mbalimbali ikiwa ni pamoja na elimu na afya ambayo yana mchango mkubwa katika maendeleo ya Zanzibar.

Dkt Mwinyi pia amekemea vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia vinavyoendelea kushamiri na kuitia doa Zanzibar na kutaka wale wote wanaobainika kutenda vitendo hivyo wachukuliwe hatua za kisheria.


Share:

Tanzania na Msumbiji kuendeleza uhusiano


Rais Dkt John Magufuli amesema Tanzania itaendeleza uhusiano wake na Msumbiji, kwa faida ya vizazi vya sasa na vijavyo.

Dkt Magufuli ametoa kauli hiyo wilayani Chato mkoani Geita, akiwa na Rais wa Msumbiji, -Filipe Nyusi ambaye amefanya ziara hapa nchini.

Amesema Raia wa Tanzania na Msumbiji ni ndugu wa muda mrefu, hivyo ni muhimu kwa undugu huo ukaendelezwa.

Rais Magufuli amemshukuru Rais Nyusi kwa kufanya ziara hapa nchini, na kwa nchi yake kuwa rafiki mwema kwa Tanzania.

Amewataka Wananchi wa Msumbiji kuendelea kufanya biashara na wenzao wa Tanzana na kulinda usalama wa nchi yao.

Kwa upande wake Rais huyo wa Msumbiji amewashukuru Watanzania kwa mapokezi mazuri aliyoyapata wakati wa ziara yake hapa nchini.

Amempongeza Rais Magufuli kwa ushindi alioupata katika uchaguzi mkuu uliopita, na pia kwa Watanzania wote kwa utulivu waliouonesha kabla na baada ya uchaguzi huo.


Share:

MHE.IKUPA ATEKELEZA AHADI YAKE KWA KUWASAIDIA WATU WENYE ULEMAVU VIFAA SAIDIZI

Mbunge wa Viti Maalum UWT (watu wenye ulemavu) Mhe.Stella Ikupa akizungumza wakati wa halfa hiyo

 

 

Mbunge wa Viti Maalum UWT (watu wenye ulemavu) Mhe.Stella Ikupa ametekeleza ahadi yake ya kukabidhi vifaa saidizi kwa watu wenye ulemavu ambapo ametoa jumla ya Baiskeli za watu wenye ulemavu 10 zenye thamani ya hela za Kitanzania milioni nne(4,000,000).

Mhe.Ikupa amekabidhi Baiskeli kwa kijana Marcos Venas aishie kata ya Kimara ambaye aliahidi kumsaidia kijana huyo hivyo ametekeleza ahadi yake kwake huku Mama wa Kijana huyo ametoa shukrani kwa Mhe.Ikupa na Uongozi mzima wa Chama Cha Mapinduzi chini ya Mhe.Rais Dkt.Magufuli kwa kuonesha kweli ni wenye kutekeleza ahadi zao kwa haraka katika kuwajali wananchi wote.

Pia Mhe.Ikupa amekabidhi Baiskeli 3 kwa kituo cha kulea watoto wenye ulemavu kiitwacho SALT kilichopo kata ya Mbezi ambapo awali alitoa ahadi ya kumsaidia mtoto mmoja aliyekuwa na uhitaji wa baiskeli hiyo siku ya tarehe 13 mwezi Disemba mwaka jana katika Bonanza la michezo la lililokuwa limelenga kusaidia katika uwezeshaji wa kupata vifaa saidizi ambapo amekamilisha ahadi hiyo na kuongeza baiskeli 2 za ziada kwa kituo hicho.

Mkurugenzi wa kituo hicho Bi.Rebeca Leby ametoa shukrani kwa Mhe.Ikupa kwa juhudi zake katika kuhakikisha watu wenye ulemavu wenye uhitaji wa vifaa saidizi wanapata ama kuwezeshwa katika kupata vifaa hivyo.

Aidha Mhe.Ikupa amekabidhi baiskeli moja kwa mtoto Salome Asumwike wa Darasa la pili katika shule ya msingi Kalakata ambaye analelewa na Bw.Axon na Bi.Sophia ambao wamemshukuru Mhe.Ikupa kwa kukamilisha ahadi yake ya kumsaidia kijana huyo katika kumpatia baiskeli hiyo ya kumuwezesha kusogea sehemu moja hadi nyingine.

 

Mhe.Ikupa aliahidi kushirikiana na waheshimiwa madiwani akiwemo diwani wa viti maalum Mhe.Magreth Cheka kuwezesha kujenga choo kitakachokuwa rafiki na wanafunzi wenye ulemavu katika shule ya Karakata. Tatizo hili lilielezwa kwa mbunge Ikupa kuwa mtoto Salome anapata shida sana akiwa shuleni kwani hakuna kabisa choo rafiki katika shule ya Karakata

Pia Mhe.Ikupa ametekeleza ahadi yake kwa kumkabidhi baiskeli saidizi kijana Andrew Sajusi mkazi wa Yombo vituka ambapo amefuatana na Mhe.Mariam Mbunge wa Viti maalum ambaye ndiye aliyemtambulisha kijana Sajusi kwa mhe.Ikupa

Pia Mhe.Ikupa amempatia mtoto Iddy Halid baiskeli saidizi mkazi wa kata ya Tabata ambapo Mama mlezi wa mtoto huyo Bi.Zainabu amemshukuru Mhe.Ikupa kwa kutimiza ahadi hiyo lakini kwa kuonesha utu na upendo wa hali ya juu pamoja na kujituma kwake katika kusaidia watu wenye ulemavu.

 

Zoezi hili liliendelea katika kata ya Majohe, Mhe.Ikupa alikutana na watu wenye ulemavu na wazazi wa watoto wenye ulemavu wapatao 140 akiwa amefuatana na waheshimiwa madiwani wa viti maalum watokao Jimbo la Ukonga ambapo ametoa baiskel 2, pampasi na nepi kwa watoto wenye ulemavu.Mhe.Ikupa ameahidi kuongeza baiskel zingine tano katika kata hii ya Majohe na 1 katika kata ya Tabata.

Mhe.Ikupa alitoa ufanunuzi kuwa zoezi hili ni endelevu kwa nchi nzima" zoezi hili litakuwa endelevu kwa nchi nzima, ninategemea panapo uzima nitaendelea kutoa baiskel, bajaji, pikipiki, mafuta ya ngozi kwa watu wenye ualbino n.k".

Katika mkutano huu alipokea changamoto mbalimbali za watu wenye ulemavu, ikiwemo uhitaji wa miguu bandia ambapo aliwaelekeza wajiandikishe wahitaji na yeye atawapeleka kwa wadau wanaotoa miguu hiyo.

 Pia aliweza kuahidi kumnunulia brenda mama mwenye mtoto mwenye ulemavu ambaye hawezi kula vyakula vigumu

Katika zoezi hili baiskel 1 ilitolewa kwa mtoto mwenye ulemavu Mkoani Morogoro.

Katika zoezi hili la utekelezaji wa ahadi,Mhe.Ikupa pia ameongozana na uongozi wa UWT kata zote katika maeneo yote aliyofika

Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE JANUARI 12,2021


























Share:

Monday, 11 January 2021

National Consultant on ASSP I assessment and formulation of ASSP II- for the Fisheries sub-sector at FAO

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

Job Description 2100040 National Consultant on ASSP I assessment and formulation of ASSP II- for the Fisheries sub-sector. Job Posting: 06/Jan/2021 Closure Date: 21/Jan/2021, 1:59:00 AM Organizational Unit: FRURT Job Type: Non-staff opportunities Type of Requisition: PSA (Personal Services Agreement) Grade Level: N/A Primary Location: Tanzania, United Republic of Duration: 20 days Post Number: N/A […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

 

 

Share:

Business And Communication Associate at SMART CODES

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

Business And Communication Associate   SMART CODES Dar es Salaam, Tanzania Founder & CEO @SmartCodes with a passion for Technology, Innovation and Advertising | Helping young African startups flourish and grow via @SmartLab255 #UNTILITSDONE Smart Lab is an innovation platform that links learning institutions with corporate partners to empower groundbreaking solutions that will impact African […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

 

 

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger