Thursday, 3 September 2020
LIGI KUU MSIMU WA 2020/21 KUANZA SEPTEMBA 06 MWAKA HUU
Jeshi La Polisi Lawakamata Waliochoma Ofisi Za Chadema Arusha
CHUO KIKUU MZUMBE WAWAKARIBISHA WANAOTAKA KUJIUNGA NA ELIMU YA JUU
LIGI KUU MSIMU WA 2020/21 KUANZA SEPTEMBA 6 MWAKA HUU
MAVUNDE, DITOPILE WAAHIDI DODOMA KUONGOZA KWA WINGI WA KURA ZA RAIS MAGUFULI OKTOBA 28
Wednesday, 2 September 2020
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI WA GEITA 02-09-2020
Overview Geita District is located in the Geita Region of Tanzania. According to the 2012 census, the population of the district was 807,619. The district is bordered to the east by Mwanza Region and Nyang’hwale District, to the south by Shinyanga Region and Mbogwe District, and to the west by Chato District. History Prior to the […]
The post TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI WA GEITA 02-09-2020 appeared first on Udahiliportal.com.
Office Assistant in Dodoma at FHI 360
FHI 360 is a nonprofit human development organization dedicated to improving lives in lasting ways by advancing integrated, locally driven solutions. Our staff include experts in Health, Education, Nutrition, Environment, Economic Development, Civil Society, Gender, Youth, Research and Technology; creating a unique mix of capabilities to address today’s interrelated development challenges. FHI 360 serves more […]
The post Office Assistant in Dodoma at FHI 360 appeared first on Udahiliportal.com.
Program Finance Officer 2 positions at Jhpiego
Jhpiego is an international non-profit health organization affiliated with the Johns Hopkins University. For more than 46 years now, Jhpiego has empowered front-line health workers by designing and implementing effective, iow-cost, hands-on solutions to strengthen the delivery of health care services for women and their families. By putting evidence-based health innovations into everyday practice, Jhpiego […]
The post Program Finance Officer 2 positions at Jhpiego appeared first on Udahiliportal.com.
Office Assistant in Njombe at FHI 360
FHI 360 is a nonprofit human development organization dedicated to improving lives in lasting ways by advancing integrated, locally driven solutions. Our staff include experts in Health, Education, Nutrition, Environment, Economic Development, Civil Society, Gender, Youth, Research and Technology; creating a unique mix of capabilities to address today’s interrelated development challenges. FHI 360 serves more […]
The post Office Assistant in Njombe at FHI 360 appeared first on Udahiliportal.com.
FUNDI SANIFU DARAJA LA PILI (MECHANICAL) – 1 POST Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
POST DETAILS POST FUNDI SANIFU DARAJA LA PILI (MECHANICAL) – 1 POST POST CATEGORY(S) ENGINEERING AND CONSTRUCTION EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea APPLICATION TIMELINE: 2020-09-01 2020-09-14 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Kufanya ukaguzi wa ubora wa magari ya Serikali na kurekebisha ipasavyo; ii. Kufanya upimaji wa Mitambo na Umeme kufuatana na maelekezo ya Mhandisi; […]
The post FUNDI SANIFU DARAJA LA PILI (MECHANICAL) – 1 POST Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea appeared first on Udahiliportal.com.
MSAIDIZI WA HESABU II – 1 POST Halmashauri ya Mji Bariadi
POST DETAILS POST MSAIDIZI WA HESABU II – 1 POST POST CATEGORY(S) ACCOUNTING AND AUDITING EMPLOYER Halmashauri ya Mji Bariadi APPLICATION TIMELINE: 2020-09-01 2020-09-14 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Kuandika na kutunza register zinazohusu shughuli za uhasibu; ii. Kuandika hati za malipo na hati za mapokezi ya fedha; iii. Kutunza majalada yenye kumbukumbu za hesabu; iv. Kupeleka […]
The post MSAIDIZI WA HESABU II – 1 POST Halmashauri ya Mji Bariadi appeared first on Udahiliportal.com.
Office Assistant in Dar es salaam at FHI 360
FHI 360 is a nonprofit human development organization dedicated to improving lives in lasting ways by advancing integrated, locally driven solutions. Our staff include experts in Health, Education, Nutrition, Environment, Economic Development, Civil Society, Gender, Youth, Research and Technology; creating a unique mix of capabilities to address today’s interrelated development challenges. FHI 360 serves more […]
The post Office Assistant in Dar es salaam at FHI 360 appeared first on Udahiliportal.com.
FUNDI SANIFU DARAJA LA PILI (MECHANICAL) – 1 POST AT Ministry of Works, Transport and Communications
POST DETAILS POST FUNDI SANIFU DARAJA LA PILI (MECHANICAL) – 1 POST POST CATEGORY(S) ENGINEERING AND CONSTRUCTION EMPLOYER Ministry of Works, Transport and Communications APPLICATION TIMELINE: 2020-09-01 2020-09-14 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Kufanya ukaguzi wa ubora wa magari ya Serikali na kurekebisha ipasavyo; ii. Kufanya upimaji wa Mitambo na Umeme kufuatana na maelekezo ya […]
The post FUNDI SANIFU DARAJA LA PILI (MECHANICAL) – 1 POST AT Ministry of Works, Transport and Communications appeared first on Udahiliportal.com.
SITAWAJIBU WANAONITUKANA KWENYE MAJUKWAA –UMMY MWALIMU
Mkurugenzi wa Shirika la Agri Thamani Foundation Neema Lugangira akizungumza wakati wa semina hiyo |
Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Agri Thamani Foundation Rehema Maro akizungumza wakati wa semina hiyo |
KATIBU wa UWT Mkoa wa Tanga akizungumza wakati wa semina hiyo Sophia Nkupe |
MGOMBEA Ubunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) Husna Sekiboko |
Sehemu ya washiriki kwenye semina hiyo wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi
MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Tanga (CCM) Ummy Mwalimu amesema kwamba kamwe hatawajibu wanaomtukana kwenye majukwaa badala yake ataeleza namna nitakavyoweza kuwa chachu ya kuleta maendeleo kwa wananchi wakati akipewa ridhaa ya kuwaongoza.
Ummy ambaye pia ni Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto aliyasema hayo leo wakati semina hiyo itasaidia kuongeza ushiriki wa wanawake kwenye nafasi za uongozi na maamuzi semina hiyo imeandaliwa na Shirika la Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WILDAF) ikiratibiwa na Mkurugenzi wa Shirika la Agri Thamani Foundation .
Alisema kwamba atakachokifanya wakati akiendesha kampeni zake za kuwania Ubunge Jimbo hilo atajikita kwenye kueleza namna atakavyosaidia wananchi kuweza kujikwamua kimaendeleo kwa kuona namna ya kushirikiana nao katika kufikia mafanikio.
“Niseme tu kwamba nitakapokuwa kwenye kampeni sitatumia jukwaa kuwajibu ambao wananitukana badala yake nitajikita kwenye kutangaza maendeleo makubwa na mipango ambayo nitawafanyia wananchi wa Jimbo la Tanga lakini pia niwashukuru wajumbe wa UWT kwa sapoti kubwa kwangu”Alisema
Hata hivyo aliwaomba wanawake wanaowania uongozi kwenye nafasi mbalimbali wasiwe mawakala wa kuwatukana watu ikiwemo kuwadhalilisha wanawake wenzao na ukisikia neno limesemwa mwananke unakuwa wa kwanza kulishikia bango hiyo sio sawa hakikisheni mnabadilika.
Ummy aliwataka pia kuhakikisha hawawi mawakala wa kusambaza mambo ya ovyo yanayodhalilisha utu na haki ya wanawake kwa sababu wao ndio walezi wa familia na ndio watapambanaji ambao wanalea familia hivyo watambue wana umuhimu mkubwa kwenye jamii
“Ndugu zangu tusifanye kampeni za matusi za kudhalilisha wanawake wenzetu kwenye majukwa lakini niwaambie kwamba wakati wa kampeni zangu hawatanisikia nikiwajibu ambao wananitukana badala yake nitajikita kwenye kutangaza namna nitakavyoleta maendeleo”Alisema Ummy Mwalimu.
Hata hivyo aliwataka wanawake kuhakikisha wanasaidiana, kuacha kuoneana wivu na choyo badala yake washirikiane katika kujiletea maendeleo ambayo yatawasaidia kuweza kujikwamua kiuchumi wao na jamii ambazo zinawazunguka.
Ummy aliwaomba wakati mwengine kuipeleka semina hiyo katika mikoa mingine wanawake kuwa mstari wa mbele kupigania vipaumbele vya wanawake katika afya ya mama na mtoto, elimu kwa watoto wa kike kwa lengo la kuweza kuwakomboa
Awali akizungumza wakati wa semina hiyo, Mkurugenzi wa Shirika la Agri Thamani Foundation Neema Lugangira amesema wamejikita kutoa elimu kwenye masuala ya lishe na kuhamamisha kilimo lishe.
Alisema kwamba mwaka juzi walianza mchakato maalumu wa kisera kuhakikisha agenda hiyo inaingia kikamilifu kwenye ilani ya uchaguzi mafanikio ilani ya uchaguzi ya CCM 2020/2025 agenda ya lishe imeingia kikamilifu kwani imekuwa kati ya vipaumbele vikubwa ya CCM.
Neema alisema kwa sababu watoto wanapokuwa na lishe duni hiyo ndio nguvu kazi ya kesho ili Taifa lolote likuwa lazima kuwepo na nguvu kazi thabiti ya kiuchumi
Hata hivyo alisema aganeda ya lishe imepata nafasi yake maalumu kwenye ilani ya CCM ya Mwaka 2020/2025 kati ya malengo ni kushuha hali ya udumuvu hadi kufikia kiwango cha asilimia 24 ndani ya miaka mitano.
Majaliwa Avunja Makundi Ccm Babati
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Babati Mjini Pauline Gekul (katikati) na Esther Mahawe (kushoto) wakati alipowaasa wanaCCM wote waliotia nia ya kugombea ubunge wa Jimbo hilo waondoe tofauti zao na wamuunge mkono mgombea aliyeteuliwa na CCM . Alikuwa akizindua Kampeni za CCM katika Mkoa wa Manyara kwenye uwanja wa Kwaraa mjini Babati