Wednesday, 1 July 2020

KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU MBIONI KUANZA JIJINI DODOMA

Katibu Mkuu Wizara ya Madini Prof. Simon Msanjila (katika) akikagua moja ya nyaraka katika kiwanda cha Eyes Of Africa kilichopo jijini Dodoma alipofanya ziara yake ya kikazi, kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Eyes of Africa Ferenc Molnar na kushoto ni Kamishina Msaidizi Sehemu ya Uongezaji...
Share:

TEKNOLOJIA KURAHISISHA USAHILI YAJA TANZANIA

July 1, 2020, Dar es Salaam, Tanzania Kampuni ya usahili Tanzania imeunda na kuzindua mfumo wa kupima uwezo na ufanisi wa waajiriwa kupitia teknolojia.  Zana hiyo iliyopewa jina la ‘Skills Assessment Tool’ au ‘Zana ya Tathmini ya Ujuzi’ imeundwa kwa lengo la kuwapunguzia waajiri changamoto...
Share:

Programme Manager at Norwegian Church Aid

Job Summary Organization: Norwegian Church Aid; Position: Programme Manager Minimum Qualification: Bachelor Experience Level: Management level Experience Length: 5 years Job Description Background: Norwegian Church Aid (NCA) is a diaconal organization mandated by churches and Christian organizations in Norway to work with people around the world to eradicate poverty and injustice....
Share:

Consultant TOR-Development of Climate Smart Agriculture technical manual and training aids

Job Summary The CRAFT project, in an effort to provide appropriate tools for farmers to adapt climate smart farming practices for increased productivity and income in an inclusive and climate resilient way; is seeking the services of a consultant firm to review and develop-without reinventing the wheel- climate smart agriculture training manuals for the following […] The post Consultant TOR-Development...
Share:

Finance Manager – HP+ Tanzania

Finance Manager – HP+ Tanzania Company Overview: Palladium is a global leader in the design, development and delivery of Positive Impact – the intentional creation of enduring social and economic value. We work with foundations, investors, governments, corporations, communities and civil society to formulate strategies and implement solutions that generate lasting social, environmental and financial...
Share:

Human Resources Officer at Search for Common Ground

Responsible for coordination of Swahili Coast human resource activities in the areas of recruitment, remuneration and benefits administration, employee relations, training and development, performance management, employee data management and local HR policy formulation and implementation. Essential Duties and Responsibilities Responsible for dministration and implementation of global HR practices...
Share:

Talented Music & Audio Producer at Alpha Records Co. Ltd

Position: Talented Music & Audio Producer Alpha Records Co. Ltd Job Summary Alpha Records is looking for a talented & Creative Audio and Music Producer, with a vision to create great music for Tanzania & the World. Experience Level: Mid level Experience Length: 3 years Job Description We are looking for a talented & Creative Audio […] The post Talented Music & Audio Producer...
Share:

Zitto Kabwe amkaribisha Benard Membe ACT-Wazalendo

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe, amemkaribisha aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Mwanachama wa CCM Bernard Membe, kuunganisha nguvu kupitia vyama mbadala hii ni mara baada ya yeye kufukuzwa uanachama ndani ya CCM. Akizungumza jana  na mamia ya wafuasi wa chama hicho,...
Share:

MBUNGE UMMY ALIVYOPAMBANA KUZIRUDISHA KWENYE CHATI KLABU ZA COASTAL UNION NA AFRICAN SPORTS

 Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu  na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) kushoto akipokea tuzo ya heshima kutoka kwenye Mwenyekiti wa Baraza la wazee la Klabu ya Coastal Union ikiwa ni kutambua mchango wake kuisaidia timu hiyo wakati ilipopanda...
Share:

Makamishna Wa Ardhi Watakiwa Kukutana Na Taasisi Zinazodaiwa Kodi Ya Pango La Ardhi

Na Munir Shemweta, WANMM SUMBAWANGA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewaagiza Makamishna Wasaidizi wa ardhi katika ofisi za mikoa kukaa na taasisi za serikali zinazodaiwa kodi ya pango la ardhi kuangalia namna bora ya kulipa madeni wanayodaiwa. Dkt Mabula...
Share:

Takukuru Manyara Yafanikiwa Kurejesha Fedha Zilizoporwa Na Mkuu Wa Shule

Na John Walter-Babati Taasisi  ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Mkoani Manyara imefanikiwa kurejesha zaidi ya shilingi milioni nne za watumishi wa shule ya msingi Birsima, ambazo zilifanyiwa ubadhirifu na Mwalimu mkuu msaidizi wa shule hiyo, Aman Paul Mkeni. Taarifa iliyotolewa na...
Share:

Waziri wa Fedha Dkt. Mpango Aridhishwa Na Ujenzi Wa Ofisi Ya Mkuu Wa Wilaya Buhigwe

Na: Josephine Majura na Peter Haule KIGOMA Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango (Mb), ameupongeza uongozi wa mkoa wa Kigoma na Wilaya ya Buhigwe  kwa usimamizi mzuri wa ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe inayojengwa katika eneo la Bwega, Tarafa ya Manyovu, wilayani...
Share:

Waziri Ummy : NHIF Tatueni Malalamiko Ya Upatikanaji Wa Baadhi Ya Dawa

Na.WAMJW,DSM Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) imetakiwa kutatua malalamiko ya upatikanaji wa baadhi ya dawa na vipimo kwa wananchi wenye bima ya afya. Hayo yamesemwa jana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wakati wa kikao na Menejimenti ya Mfuko huo...
Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano July 01

...
Share:

Tuesday, 30 June 2020

Job vacancies at HR World

HR World Limited on behalf of our reputable client (Sunflower Oil Extraction & Refining Plant Manyoni Singida) we are looking for well-qualified and experienced candidates to fill up the advertised vacancies as soon as possible. Kindly read Job Description on the website carefully before applying , only qualified candidates experienced in edible oil/food manufacturing Industry […] The post Job...
Share:

WATU WANNE WAUAWA KWA KUCHARANGWA MAPANGA MGODINI KAHAMA

Picha hauhusiani na habari hapa chini Na Mwandishi wa Malunde 1 blog Wafanyakazi wanne wa kiwanda cha uchenjuaji wa madini ya dhahabu(Plant) katika Mgodi mdogo wa Ntambalale, kijiji cha Wisolele Kata Segese Halmashauri ya Msalala Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga,wameuawa na mmoja kujeruhiwa kwa kucharangwa...
Share:

PROF. MAKUBI AIPONGEZA TMDA KUZINDUA TOLEO JIPYA LA MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA

Mganga Mkuu wa Serikali Profesa Abel Makubi akikata Utepe kuashiria uzinduzi wa mkataba wa huduma kwa Wateja toleo la Nne wa TMDA, Kulia ni Kaimu Mkurgenzi Mkuu wa TMDA, Adam Fimbo na kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa Wizara (MAB) kwa TMDA, Eric Shitindi. Hafla iliyofanyika 29 Juni jijini...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger