Saturday, 4 April 2020

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi April 4

...
Share:

Download App Yetu Kwenye Simu Yako Ili Uweze Kupata Habari Zetu Kwa Haraka Zaidi

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa urahisi kabisa kupitia simu yako ya mkononi muda wowote hata usiku wa manane au ukiwa kazini... Pata kurasa za mbele Magazetini, habari za kitaifa, matukio yote ya kisiasa, burudani na udaku   kupitia simu yako ya mkononi. Huhitaji tena kuwa na...
Share:

Friday, 3 April 2020

Profesa Anne Tibaijuka Aaga Bunge Kwamba Hatagombea Tena

Mbunge wa Muleba Kusini Balozi Profesa Anna Tibaijuka, leo Aprili 3, 2020, amewaaga rasmi Wabunge wenzake na kusema Bunge lijalo atakua ameng'atuka madarakani na kwamba anaenda kuandika kitabu chake. Aidha Profesa Tibaijuka akizungumzia suala la Virusi vya Corona, ameiomba Serikali kuangalia njia...
Share:

DC Katambi Ampa Siku 3 Masanja Mkandamizaji Kuripoti Ofisini Kwake Jijini Dodoma Baada Ya Kufanya Mzaha Juu Ya Corona

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. Mkuu wa Wilaya Dodoma Mjini Mhe.Patrobas  Katambi amempa siku 3 Mwigizaji wa vichekesho Emanuel Mgaya[Masanja Mkandamizaji ]kuripoti Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Dodoma baada ya kuleta Mzaha juu ya suala la Corona. Akizungumza jijini Dodoma  mbele ya  ...
Share:

Serikali Yaongeza Tija NIC Kwa Kukomesha Ubadhirifu

Na. Peter Haule na Saidina Msangi, WFM, Dodoma. Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji, amesema hakuna ubadhirifu unaoendelea katika Shirika la Bima la Taifa (NIC) baada ya Serikali kuchukua hatua kadhaa ikiwemo kubadili uongozi wa Shirika hilo pamoja na kuimarisha mifumo yake ya ukusanyaji...
Share:

MBARAWA AMTUMBUA AFISA KITENGO CHA MANUNUZI TANGA UWASA

 WAZIRI wa Maji,Profesa Makame Mbarawa akizungumza mara baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maji wakati wa ziara yake ya siku tatu mkoani Tanga iliyoanza leo kushoto ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Geofrey Hilly  Mkurugenzi...
Share:

WARATIBU WA TARURA WA MIKOA WATAKIWA KUFANYA UKAGUZI WA MARA KWA MARA KATIKA MADARAJA NA BARABARA

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff akiwa kwenye kikao kazi na Waratibu wa TARURA wa Mikoa, kwenye kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa TARURA Makao Makuu- Mtumba jijini Dodoma hivi karibuni. Na Erick Mwanakulya Mtendaji Mkuu wa Wakala...
Share:

KUANZIA MEI 1 MARUFUKU KULA NYAMA YA PAKA NA MBWA

Shenzhen umekuwa mji wa kwanza wa Uchina kupiga marufuku ulaji wa kitoweo cha nyama za mbwa na paka. Hii inakuja baada ya mlipuko wa virusi vya corona kuhusishwa na ulaji wa wanyamapori, jambo lililowafanya maafisa wa Uchina kupiga marufuku biashara na ulaji wa wanyama hao. Shenzhen ilichukua hatua...
Share:

UPDATES: Mgonjwa Mwingine Wa Corona Apona Nchini Tanzania

"Mungu ni mwema. Na leo pia hatuna case mpya za COVID19.  Mgonjwa wa Kagera (Ngara) amepona. Sasa jumla ya waliopona ni 3. Mgonjwa aliebaki wa Arusha vipimo vyake siku ya 9 leo ni Negative. Tutampima siku ya 14 ili kujiridhisha kama  amepona. Wengine 15 waliobaki wanaendelea vzr"-UMMY MWALIMY Mungu...
Share:

RAIS PUTIN WA URUSI AAAMURU WATU WA NCHI HIYO KUTOKWENDA KAZINI NA KUBAKI MAJUMBANI KUKABILIANA NA CORONA

Rais wa Urusi Vladimir Putin ameamuru raia wa nchi hiyo kutokwenda kazini na kusalia nyumbani hadi mwishoni mwa mwezi Aprili kama sehemu ya juhudi za kuzuia kusambaa kwa virusi hatari vya corona. Akilihutubia taifa kwa njia ya televisheni, Putin amesema anarefusha sera ya kutofanya kazi kwa...
Share:

Watu 1,169 Wafariki Kwa Corona Nchini Marekani Ndani Ya Masaa 24.....Maambukizi Duniani Sasa Yafika Milioni 1

 Ugonjwa wa Covid-19 unaendelea kuathiri nchi mbalimbali duniani, huku maambukizi ya ugonjwa huo duniani yakifikia milioni moja, huku watu wakiendelea kufariki dunia kutokana na ugonjwa huo. Wakati huo huo Marekani inaendelea kuripoti visa vingi vya maambukizi ya virusi vya Corona, ambapo vifo...
Share:

Serikali Yatakiwa Kutowaonea Aibu Wanaoleta Mzaha Juu Ya Ugonjwa Wa Corona

NA TIGANYA VINCENT VIONGOZI  wa Dini  Mkoani Tabora wameiomba Serikali kutowaone aibu wale wote wanaoleta mzaha na wanaotafuta umaarufu kupitia janga la ugonjwa wa homa  kali ya mapafu unaoeneza na kirusi kipya aina ya Corona Covid-19. Kauli hiyo imetolewa wakati wa maombi na dua...
Share:

Waratibu Wa Tarura Wa Mikoa Watakiwa Kufanya Ukaguzi Wa Mara Kwa Mara Katika Madaraja Na Barabara

Na. Erick Mwanakulya Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff amewataka Waratibu wote wa TARURA nchini kufanya ukaguzi wa mara kwa mara katika barabara na madaraja ili kubaini maeneo yanayohitaji ukarabati na kuyafanyia kazi kabla ya kuleta madhara. Mhandisi...
Share:

ANZA KUFURAHIA WEEKEND YAKO KWA BIRIANI TAMU ...NI BIRIAN KILA MTAA IJUMAA HII SHINYANGA MJINI

...
Share:

WABUNGE WAITAKA SERIKALI KUWEKA KIPAUMBELE ZAIDI KATIKA KUTOA ELIMU YA CORONA KWA WALEMAVU

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. Wabunge  Wameendelea kutoa michango ya Maoni yao kuhusu  hotuba ya mapitio na Mwelekeo wa kazi za Serikali na makadirio ya mapato na matumizi za Ofisi ya Waziri Mkuu na ofisi ya Bunge kwa mwaka 2020/2021 iliyowasilishwa hapo  April 1,2020  na...
Share:

TAKUKURU MANYARA YAMFIKISHA MAHAKAMANI MTENDAJI WA KIJIJI KWA KUOMBA RUSHWA SH. 50,000

Na John Walter- BABATI Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru) mkoa wa Manyara imemfikisha mahakamani afisa mtendaji wa Kijiji cha Gichameda  John Bura kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa ya shilingi elfu hamsini (50,000). Mwendesha mashtaka wa Takukuru Eveline Onditi alisema...
Share:

WATUMISHI MADINI WAPATA ELIMU YA CORONA

 Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala, Issa Nchasi akiwakaribisha wataalamu wa Afya kutoa mafunzo juu ya ugonjwa wa corona kwa watumishi wa Wizara ya Madini Makao Makuu jijini Dodoma, leo asubuhi.  Mtaalamu wa afya Dkt. Shamza Said akitoa elimu ya ugonjwa wa corona kwa watumishi wa...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger