Tunakaribisha matangazo ya aina zote( Bishara, Viwanja, Bidhaa, matangazo ya Vyuo na mengine mengi) .Bei zetu ni nzuri sana na kamwe hutajuta kutangaza biashara yako kupitia mtandao huu....
Kwa...
Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), kimeiomba Serikali kurefusha matumizi ya dawa kwa wagonjwa wa kisukari, shinikizo la damu, maumivu ya mgongo na misuli ili kupunguza mrundikano wa wagonjwa katika hospitali ikiwa ni juhudi za kupambana na virusi vya Corona.
Akizungumza leo Alhamisi Apirli 02,...
Rais wa Urusi Vladimir Putin kuanzia sasa atakuwa akifanya kazi akiwa nyumbani kwake huko Novo-Ogarevo, karibu na jiji la Moscow, msemaji wa Kremlin amesema siku moja baada ya daktari aliyekutana na rais Putin wiki iliyopita kukapatikana na virusi vya Corona.
Kiongozi wa Urusi anatarajiwa leo mchana...
Zaidi ya watu 5,000 wamefariki dunia nchini Marekani kwa sababu ya janga la Corona, ambapo zaidi ya watu 215,000 nchini hump wameambukizwa virusi hivyo, Chuo Kikuu cha Johns-Hopkins kimetangaza, shirika la habari la AFP limeandika.
Hii ni baada ya watu 884 kuripotiwa kufariki dunia katika...
Waziri mkuu wa Uganda Bw. Ruhakana Rugunda amesema serikali ya Uganda itawapatia chakula watu maskini walioko mjini kuanzia Jumamosi wiki hii, ili kupambana na virusi vya Corona.
Bw. Rugunda amesema wizara ya mambo ya maafa itawapatia chakula watu wasiopungua milioni 1.5 walioko Kampala na Wakiso,...
Katika kutekeleza maagizo ya serikali ya kuhakikisha wasafiri wote wanaotoka katika nchi zenye maambukizi Zaidi ya Virusi vya Corona wanatengwa, jumla ya wasafiri 84 kutoka Nchi ya Afrika Kusini wamewekwa karantini kwa muda wa siku 14 Katika halmashauri ya Mji wa Tunduma.
Mkuu wa Mkoa wa Songwe...
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma
Wataalamu kutoka Wizara ya Kilimo kadhalika, Wizara ya Viwanda na Bishara, na Taasisi za soko la Bidhaa Tanzania (TMX), Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) na Taasisi ya kuendeleza Kilimo Afrika (AGRA) wamekutana Jijini Dodoma kujadili kwa...
Sababu za upungufu wa nguvu za kiume na maumbile madogo ya uume
⇒Ngiri,
⇒Henia
⇒Kisukari
⇒Tumbo kujaa gesi
⇒Kutopata choo vizuri
⇒Utumiaji madawa kwa muda mrefu
⇒Unywaji wa pombe kupita kiasi
⇒Msongo wa mawazo
⇮⇒Haya yote hupelekea mwili kutokuzalisha homoni ya gesrtogine au kuwa...
Rais Donald Trump wa Marekani jana amesema nchi hiyo inakumbwa na changomoto kubwa zaidi kihistoria, na wiki mbili zijazo zitakuwa kipindi kigumu zaidi kwa nchi yake, na kusisitiza kuwa kufuata pendekezo la kujikinga na virusi vya Corona kunahusiana na uhai wa watu.
Mtaratibu wa Ikulu ya Marekani...
Wizara ya afya nchini Urusi imesema leo kuwa ndege ya nchi hiyo iliyobeba vifaa vya tiba imeondoka nchini humo kuelekea Marekani, huku ikulu ya Kremlini ikitanua ushawishi wake wakati huu wa janga la virusi vya corona.
Video iliyotolewa na wizara hiyo, ilionyesha ndege hiyo ya mizigo iliyobeba masanduku...
“Nimepokea kwa mshtuko na masikitiko taarifa za kifo cha ghafla cha mtangazaji maarufu na mahiri Ndg. Marin Hassan kilichotokea leo asubuhi Jijini Dar es Salaam. Marin Hassan aliipenda kazi yake ya uandishi wa habari, aliifanya kwa weledi wa hali ya juu, alikuwa mzalendo wa kweli na alidhamiria kuitumikia...
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Joseph Malongo ameongoza watumishi wa Ofisi yake katika mazishi ya Alazaro Sokoine ambaye ni mtoto Mkubwa wa Hayati Edward Moringe Sokoine. Mazishi hayo yamefanyika jana Monduli Juu Mkoani Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, ndugu,...
Kituo cha udhibiti na kuzuia magonjwa vya Umoja wa Afrika kimesema kuwa watu 172 wamepoteza maisha baada ya kuambukizwa virusi vya Covid-19 barani Afrika.
Ugonjwa wa corona umeenea katika nchi 50 barani. Kwa ujumla, watu 5,413 wameambukizwa.
Mpaka sasa hakuna taarifa zozote za maambukizi nchini...