Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amelipa faini ya 70,000,000 na muda wowote leo Ijumaa Machi 13, 2020 atatoka katika gereza la Segerea.
Mbowe ni kati ya viongozi wanane wa Chadema ambao pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Vicent Mashinji Jumanne Machi 10, 2020 walihukumiwa...
Friday, 13 March 2020
Rais Magufuli Atoa UJUMBE Mzito Kwa Watanzania Kuhusu Virusi Vya CORONA
Rais Magufuli amewataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya virusi vya corona akisema ni hatari zaidi kwa maelezo kuwa ni ugonjwa hatari na Shirika la Afya Duniani (WHO) limeshatoa tahadhari.
Ametoa tahadhari hiyo leo Ijumaa Machi 13,2020 wakati akizindua karakana ya kisasa ya Jeshi...
Waziri Ummy Ataka Ushirikiano Toka Kwa Wadau Kuhakikisha Virusi Vya CORONA Haviingii Tanzania
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amekutana na kufanya mazungumzo na wadau wa sekta ya afya lengo likiwa ni kujadili kwa pamoja tishio la mlipuko wa virusi vya corona.
Ummy alisema katika kikao hicho waliwaeleza wadau kama taarifa ya Shirika la Afya Duniani...
Kauli Ya DPP Kuhusu Sakata la Kangi Lugola na Wenzake
Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP), Biswalo Mganga, amesema bado ofisi yake na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), wanalifanyia kazi sakata la tuhuma za aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola na aliyekuwa Kamishna wa Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye.
Alisema taasisi...
Jobs in Tanzania – latest Jobs Today in Tanzania March 2020 [#DailyUpdates]
Browse all latest Jobs Today in Tanzania JOB ADVERTISEMENTS FROM GOVERNMENT, TANZANIA NGOs AND INTERNATIONAL NGOs Find Latest Tanzanian Job Vacancies – Tanzania Jobs Today – Current 2020 Jobs in Tanzania March 2020 – Daily Jobs in Tanzania: A listing of latest jobs in Tanzania from top employers. Over 50 new job vacancies in Tanzania posted daily. Browse and… Read More »
The post Jobs...
Live : RAIS MAGUFULI ANAZINDUA KARAKANA KUU YA JWTZ
Mhe. Rais Magufuli leo tarehe 13 Machi, 2020 anazindua karakana ya matengenezo ya magari na mafunzo ya ufundi ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), iliyopo Lugalo Jijini Dar es Salaam.
...
JOHN MNYIKA, JOHN HECHE NA SALUM MWALIMU WATOKA GEREZANI
Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika, Naibu Katibu Mkuu, Salum Mwalimu na mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche wametoka gereza la Segerea leo.
Mpaka sasa viongozi wote wa Chadema wametolewa jela isipokuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe ambaye mpaka sasa bado yuko gerezani.
Viongozi...
Marekani yafanya mashambulizi ya kulipiza kisasi dhidi ya wanamgambo wa Iran
Marekani imefanya mfululizo wa mashambulizi ya anga dhidi ya maeneo ya wanamgambo wa Kishia wanaoungwa mkono na Iran nchini Iraq.
Wanamgambo hao wanaaminika kuhusika na shambulio la roketi siku moja kabla, ambalo liliwaua askari wawili wa Marekani na mmoja wa Uingereza kwenye kambi moja iliyoko kaskazini...
Mke wa Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau Akutwa na virusi vya CORONA
Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau na mke wake watabaki kwenye karantini kwa siku 14 , baada ya mkewe Sophie Gregoire Trudeau kukutwa na virusi vya corona.
Sophie Gregoire Trudeau ''anaendelea vizuri na dalili alizonazo si mbaya'' alisema mkurugenzi wa mawasiliano wa Waziri Mkuu.
Bwana Trudeau...
MTU WA KWANZA AKUTWA NA VIRUSI VYA CORONA KENYA
Kisa cha kwanza cha virusi vya corona chathibitishwa Kenya. Wizara ya afya imethibitisha kisa hicho kulingana na waziri wa afya Mutahi Kagwe.
Akizungumza na vyombo vya habari waziri huyo amesema kwamba kisa hicho kilithibitisha Alhamisi usiku.
Waziri huyo amesema kwamba kisa hicho ni cha kwanza...
WABUNGE WAVUTIWA NA MAFANIKIO YA WALENGWA WA TASAF MKOANI SINGIDA
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Utawala na Serikali za Mitaa wakiwa katika eneo la mmoja wa Walengwa wa TASAF (bi. Edith Makala ) wakishuhudia namna mradi wake ya kushona nguo aliouanzisha
baada ya kupata ruzuku ya TASAF unavyotekelezwa.
Mmoja wa walengwa wa TASAF Bi. Esther Mangi
Nkumbi...
Thursday, 12 March 2020
Volunteering Opportunities at CCBRT – Member(s) for Board of Directors
Volunteer Member(s) for Board of Directors Location: Dar es salaam Job Summary Serving on the CCBRT Board of Directors is an extraordinary opportunity for an individual who is passionate about strengthening leadership and governance in the non-profit sector. Job Description Ref: 2020-BOD Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania (CCBRT) is a locally registered non-governmental organization...
Halima Mdee Amwaga Machozi Baada ya Kutoka Gerezani...."Watanzania hamjui ni jinsi gani mlivyotuliza, hatukutegemea "
Mbunge Halima Mdee amemwaga machozi hadharani baada ya kutoka gereza la Segerea leo na kuwashukuru watanzania kwa ushirikiano mkubwa waliouonyesha wa kuwachangia na kuwafanyaa wao kuwa nje ya gereza.
"Watanzania nyie hamjui, hamjui mlivyotusitiri mimi ni kamanda lakini napata hisia nilikua najua...
Officer, Collateral Custodian at Stanbic Bank Tanzania Limited
Officer, Collateral Custodian Overview Job ID: 47674 Job Sector: Banking Country: Tanzania Region/State/Province/District: Dar es Salaam Region Dar es Salaam Job Details Risk Management: understanding all risks – from the economic to the political – that could affect our global business, and offering guidance to all parts of the bank Job Purpose Attending to all aspects relating to… Read More »
The...
Senior Specialist; Insurance Claim at NMB Bank Plc
Position: Senior Specialist; Insurance Claim Job Purpose To manage all claim payments and attend the customer complaints as per agreed timelines for both general and life insurance products, and ensure the Bank is covered at all times with the risk arising from collateral. Main Responsibilities Responsible for all life and general insurance claims Oversee the embedded life and general… Read...
Job vacancies DSM and GEITA at Management and Development for Health (MDH)
The post Job vacancies DSM and GEITA at Management and Development for Health (MDH) appeared first on Udahiliportal.com...