Sunday, 1 March 2020

Nafasi za Kazi 21 Benjamin William Mkapa Foundation (BMF)

Overview The Benjamin William Mkapa Foundation (BMF) is a non- profit Trust, established in 2006 with the vision towards healthy lives and well-being for all, in Tanzania and the rest of Africa. Its strategic focused results areas include to combat HIV and AIDS, TB, Malaria and Reproductive, Maternal...
Share:

Majeshi Ya Uturuki Yadungua Ndege Mbili za Kivita za Syria

Vikosi vya Uturuki vimedungua ndege mbili za kivita za serikali ya Syria katika mkoa wa kaskazini-maghribi wa Idlib siku ya Jumapili, baada ya Ankara kutangaza operesheni ya kijeshi ndani ya mipaka ya Syria. Shirika la uangalizi wa haki za binadamu la Syria lenye makao yake nchini Uingereza, lilisema...
Share:

Tanzania Yatajwa kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na ya nne Afrika kwa kuweka mazingira wezeshi ya ufanyaji biashara ndogondogo.

Na Mwandishi Wetu Tanzania imetajwa kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na ya nne Afrika kwa kuweka mazingira wezeshi ya ufanyaji biashara ndogondogo. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jijini Dodoma, Msemaji mkuu wa Serikali  na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo...
Share:

Ujenzi wa SGR Waendelea kwa Kasi, Trilioni 2.957Zatumika hadi Sasa

Na Frank Mvungi- MAELEZO Serikali imetumia kiasi cha Shilingi Trilioni 2.957 kutekeleza mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa kwa kiwango cha Kimataifa (SGR) huku kasi ya utekelezaji ikiongezeka. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dodoma , Msemaji Mkuu wa Serikali  na Katibu Mkuu wa Wizara...
Share:

Waziri Mkuu Majaliwa Apokea Taarifa Ya Kmati Aliyoiunda Ya Kuchunguza Zo La Katani

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea taarifa ya uchunguzi wa tuhuma mbalimbali katika tasnia ya kilimo cha mkonge mkoani Tangana kuagiza mapendekezo yaliyotolewa na timu hiyo yakiwemo ya kurejeshwa Serikalini kwa nyumba na. 176 eneo la Bombo ambayo ilimilikishwa kwa Bw. Salum Shamte yafanyiwe kazi. Nyumba...
Share:

Mawaziri Wa SADC Sekta Ya Kazi Na Ajira Kukutana Jijini Dar Es Salaam

Na: Mwandishi Wetu Mkutano wa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) sekta ya Kazi na Ajira unatarajiwa kufanyika hapa nchini kuanzia tarehe 2 hadi 6 Machi, 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) uliopo jijini Dar es Salaam. Akizungumza...
Share:

Serikali Yatoa siku tatu kwa mikoa yote nchini kuainisha maeneo maalumu yaliyotengwa kuhudumia washukiwa wa Virusi Vya Corona

Serikali  imetoa siku tatu kwa mikoa yote nchini, kuainisha maeneo maalumu yaliyotengwa kuhudumia washukiwa au wagonjwa wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na kirusi cha corona. Hadi kufikia Alhamisi iliyopita, watu 83,652 wamethibitika kuugua corona, huku wengine 2,858 wakifariki dunia...
Share:

Serikali Yaagiza Wakimbizi 1000 Waliotoroka Makambini na Kwenda Kufanya Uhalifu Waondolewe na Wafunguliwe Mashitaka

Na Mwandishi Wetu,Kibondo Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameviagiza Vyombo vya Ulinzi na Usalama mkoani Kigoma kuwaondosha na kuwafungulia mashtaka wakimbizi zaidi ya Elfu Moja waliotoroka kutoka katika Kambi mbalimbali za wakimbizi  na kwenda kufanya uhalifu...
Share:

Hali Ya Dharura Yatangazwa Marekani Baada Ya Virusi Vya Corona Kuua Mtu Mmoja

Gavana wa jimbo la Washington nchini Marekani ametangaza hali ya dharura ya kiafya baada ya mtu mmoja kuaga dunia kutokana na virusi vya Corona katika jimbo hilo, hii ikiwa ni kesi ya kwanza virusi hivyo kuua nchini Marekani. Gavana Jay Inslee ameziagiza idara zote za serikali ya jimbo hilo kutumia...
Share:

RC Ole Sendeka awapa mwezi mmoja viongozi kuwatafuta wanafunzi 708

Na Amiri kilagalila,Njombe Mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher Olesendeka ametoa muda wa mwezi mmoja kwa watendaji,maafisa elimu kata pamoja na viongozi wa mitaa na vijiji kuhakikisha wanawasaka wanafunzi 708 ambao hawajajiunga na masomo ya kidato cha kwanza,vinginevyo hatua kali za kisheria zitachukuliwa...
Share:

Raia wawili wa Afrika Kusini Nchini Japan wapata Corona

Watu wawili raia wa Afrika Kusini, wafanyakazi katika meli ya ‘Diamond Princess Cruise Ship’ wamekutwa na virusi vya Corona nchini Japan. Hii ni kesi ya kwanza ya virusi vya Corona kwa wananchi wa Afrika Kusini ndani na nje ya nchi. Alhamis Februari 27, rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa, alitangaza...
Share:

43 Wafariki Kwa Virusi Vya CORONA Iran....Wananchi Watakiwa Kusalia Majumbani

Idadi ya waliokufa kutokana na maambukizi ya virusi vya Corona nchini Iran imefikia watu 43 na kuwa taifa la pili lenye idadi kubwa ya vifo nje ya China.  Msemaji wa wizara ya Afya ya Iran amearifu kuwa watu 9 wamekufa kutokana na virusi hivyo katika muda wa saa 24 zilizopita na visa maambukizi...
Share:

Askari wa Zimamoto Watakiwa Kuwa na Upendo Kwa Wananchi Wanaowahudumia

Na Bahati Mollel, TAA Askari wa Zimamoto wa Kiwanja cha Ndege cha Mafia na cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) wametakiwa kuwa na upendo kwa wananchi wanaowahudumia wakati wa kufanya shughuli za kuzima moto na uokoaji katika majanga mbalimbali yanayoweza kutokea kwenye viwanja vya ndege. Kauli...
Share:

RAIS SHEIN : UCHAGUZI WA ZANZIBAR UTAKUWA HURU NA WA HAKI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amewahakikishia Wazanzibar kuwa uchaguzi mkuu utakuwa huru na wa haki huku akithibitisha kuwa hakuna Mzanzibar atakayekosa haki yake ya kupiga kura. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa jana na Ikulu ya Zanzibar,...
Share:

MBWANA SAMATTA APANIA KUWEKA HISTORIA LEO UWANJA WA WEMBLEY

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Mbwana Samatta, ambaye anakipiga katika klabu ya Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu nchini England, leo atakuwa kwenye Uwanja wa Wembley kukipiga dhidi ya Manchester City. Samatta ataongoza safu ya ushambuliaji ya Aston Villa kwenye mchezo wa...
Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili March 1

...
Share:

Saturday, 29 February 2020

Mamlaka Ya Udhibiti Na Usimamizi Wa Bima Nchini[TIRA ] Yatoa Mafunzo Kwa Wanahabari Umuhimu Wa Bima Katika Jamii

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa bima nchini [TIRA]imetoa Mafunzoya kuwajengea uwezo Wanahabari umuhimu wa bima katika jamii  kwani ni moja ya suluhisho kwa Majanga  . Akiwasilisha mada mbalimbali katika Mafunzo hayo jijini Dodoma,Mkurugenzi wa kuendeleza...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger