Saturday, 1 February 2020

Picha : MAVUNDE AFUNGUA KONGAMANO LA VIJANA KUJUA FURSA ZA MIFUKO YA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI SHINYANGA

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana na Wenye ulemavu, Anthony Mavunde amefungua Kongamano la Vijana kujua fursa za Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Shinyanga.

Kongamano hilo limefunguliwa leo Jumamosi Februari 1,2020 katika Ukumbi wa CCM mkoa wa Shinyanga ikiwa ni sehemu ya shughuli za Chama Cha Mapinduzi kuelekea Miaka 43 ya CCM.
Akizungumza katika Kongamano hilo,Mhe. Mavunde amewataka wananchi wa Shinyanga kuchangamkia zilizopo mkoani Shinyanga ili waweze kubadili maisha yao.

"Ndugu zangu fursa hazina mataili,haiwezi kukufuata. Haya maisha siyo ya tatu mzuka,changamkieni fursa zilizopo zilizopo.Tumieni elimu mtakayopata katika Kongamano hili kubadili hali ya maisha yenu",alisema Mavunde.

Kwa Upande wake ,Mkuu wa wilaya ya Shinyanga,Mhe. Jasinta Mboneko akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Shinyanga aliwataka wajasiriamali na wafanyabiashara kujitangaza badala ya kujifungia ndani kwa kisingizio cha kukosa masoko.

"Tumieni vyombo vya habari kutangaza bidhaa zenu,tumieni mitandao ya kijamii kutangaza bidhaa zenu badala ya kujifungia ndani.Lakini pia halmashauri zinatoa mikopo,naomba muombe mikopo hii ambayo haina riba ili muweze kuinuka kiuchumi",alisema Mboneko.

Naye Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini,Mhe. Stephen Masele aliwataka vijana kuishi kwa upendo,kushirikiana,kupendana na kuheshimiana ili kutimiza malengo yao.

ANGALIA PICHA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOJIRI HAPA CHINI
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana na Wenye ulemavu, Anthony Mavunde (mwenye suti) akiwasili leo Februari 1,2020 katika Ukumbi wa CCM mkoa wa Shinyanga kwa ajili ya kufungua Kongamano la Vijana kujua fursa za Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Shinyanga.Kulia ni Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Shinyanga,Baraka Shemahonge. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana na Wenye ulemavu, Anthony Mavunde (wa pili kushoto), Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Shinyanga,Baraka Shemahonge (wa kwanza kushoto),Mkuu wa wilaya ya Shinyanga,Jasinta Mboneko na Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini,Stephen Masele wakifurahia jambo ndani ya ukumbi wa CCM Mkoa wa Shinyanga wakati wa kufungua Kongamano la Vijana kujua fursa za Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Shinyanga.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana na Wenye ulemavu, Anthony Mavunde akifungua Kongamano la Vijana kujua fursa za Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Shinyanga ambalo limefanyika  katika Ukumbi wa CCM Mkoa wa Shinyanga. 
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana na Wenye ulemavu, Anthony Mavunde akifungua Kongamano la Vijana kujua fursa za Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Shinyanga.
Wadau mbalimbali wakiwa ukumbini.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana na Wenye ulemavu, Anthony Mavunde akifungua Kongamano la Vijana kujua fursa za Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Shinyanga.
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Shinyanga,Baraka Shemahonge akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Vijana kujua fursa za Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Shinyanga.
Katibu wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini, Agnes Mashema akizungumza katika Kongamano la Vijana kujua fursa za Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Shinyanga.
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini,Mhe. Stephen Masele akizungumza katika Kongamano la Vijana kujua fursa za Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Shinyanga.

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akizungumza katika Kongamano la Vijana kujua fursa za Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Shinyanga.

Kongamano linaendelea.
Wadau wakiwa ukumbini wakati wa Kongamano la Vijana kujua fursa za Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Shinyanga.

Katibu wa UVCCM wilaya ya Shinyanga Mjini,Raphael Nyandi akizungumza wakati wa kongamano hilo.
Wadau wakiwa ukumbini wakati wa Kongamano la Vijana kujua fursa za Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Shinyanga.
Wadau wakiwa ukumbini wakati wa Kongamano la Vijana kujua fursa za Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Shinyanga.
Wadau wakiwa ukumbini wakati wa Kongamano la Vijana kujua fursa za Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Shinyanga.
Wadau wakiwa ukumbini wakati wa Kongamano la Vijana kujua fursa za Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Shinyanga.
Wadau  na wanachama wa CCM wakiwa ukumbini wakati wa Kongamano la Vijana kujua fursa za Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Shinyanga.

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana na Wenye ulemavu, Anthony Mavunde akitoa zawadi ya vyeti kwa wadau na wanachama wa CCM namna walivyoshiriki kuandaa Kongamano la Vijana kujua fursa za Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Shinyanga
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini,Stephen Masele akiwaaga wadau na wanachama wa CCM waliohudhuria Kongamano hilo.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana na Wenye ulemavu, Anthony Mavunde akiondoka ukumbini baada ya kufungua kongamano hilo.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga, Jasinta Mboneko akiteta jambo na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana na Wenye ulemavu, Anthony Mavunde.
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga,Mwanahamisi Iddi akielezea fursa mbalimbali zinazopatikana katika benki ya CRDB wakati wa Kongamano la Vijana kujua fursa za Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Shinyanga.

Afisa kutoka Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga,Abel akielezea fursa mbalimbali zinazopatikana katika benki ya CRDB wakati wa Kongamano la Vijana kujua fursa za Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Shinyanga.
Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Share:

TFF yawaka juu ya upotoshaji wa ratiba ya ligi kuu

Share:

Naibu waziri Mambo ya Ndani atinga TAKUKURU kuhojiwa

Naibu waziri wa Mambo ya Ndani  Hamad Masauni amefika ofisi za makao makuu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) jijini Dodoma kuhojiwa.
 
Jana Ijumaa Januari 31, 2020 Takukuru alihojiwa aliyekuwa waziri wa wizara hiyo, Kangi Lugola, Meja Jenerali Jacob Kingu (alikuwa katibu mkuu) pamoja na aliyekuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye.

Viongozi hao wanahojiwa baada ya agizo la Rais wa Tanzania, John Magufuli kuitaka Takukuru kuwahoji wale wote waliohusika na mkataba aliodai una harufu ya ufisadi ulioingiwa kati ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Kampuni moja ya Romania kununua vifaa mbalimbali vya jeshi hilo.

Share:

Tanzania yapigwa marufuku bahati nasibu ya viza Marekani

Serikali ya Marekani imepiga marufuku raia wa Tanzania kushiriki katika bahati nasibu wa kupata viza ya kuingia Marekani.

Bahati nasibu hiyo hutoa viza kwa watu takribani 50,000 kutoka nchi zenye kasi ndogo ya maendeleo kila mwaka kuingia na kufanya kazi Marekani.

Nchi ya Sudani pia raia wake wamepigwa marufuku kuingia katika bahati nasibu hiyo.

Wakati huo huo raia wa nchi nne ikiwemo mbili za Afrika Nigeria na Eritrea wamepigwa marufuku kabisa kuomba viza za kuhamia Marekani.

Hata hivyo raia wa nchi hizo ambao watataka kuingia Marekani kwa kutalii ama biashara wataruhusiwa.

Wiki iliyopita, vyombo vya habari vya Marekani viliripoti juu ya rasimu ya marufuku mpya ya kuingia Marekani kwa mataifa saba.

Ni taifa moja tu la Belarus ambalo lilitajwa katika rasimu ya awali ambalo halijaorodheshwa katika taarifa za leo.

Shirika la Utangazaji Uingereza (BBC) limeripoti kuwa ofisa wa ngazi ya juu nchini Marekani amesema kuwa nchi hizo sita zimeshindwa kufikia kiwango stahiki cha ulinzi na kupashana taarifa.

"Nchi hizi kwa sehemu kubwa zinataka kutoa msaada lakini kwa sababu mbalimbali zimefeli kufikia viwango vya chini tulivyoviweka," amesema Naibu Waziri wa Usalama wa Ndani wa Marekani, Chad Wolf.

Wolf amesema maofisa wa Marekani watakuwa tayari kushirikiana na nchi hizo sita ili kuimarisha matakwa ya ulinzi kwa nchi hizo ili iwasaidie kutoka kwenye orodha  hiyo.

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger