Thursday, 16 January 2020

Administration and Finance Director – Social Welfare Strengthening at PACT

Administration and Finance Director – Social Welfare Strengthening • Added Date: Wednesday, 15 January 2020 • Deadline Date: Tuesday, 31 March 2020 • Organization: Pact Project Overview Pact is recruiting an Administration and Finance Director for an upcoming U.S. President’s Emergency Plan for AIDS Relief (PEPFAR) funded Community Social Welfare System Strengthening follow-on activity to increase access to… Read More »

The post Administration and Finance Director – Social Welfare Strengthening at PACT appeared first on Udahiliportal.com.

Share:

Director Monitoring, Evaluation and Learning | Job at Pathfinder International Tanzania

Position: Director – Monitoring, Evaluation and Learning Job Summary Develops Pathfinder’s organizational strategy and framework for monitoring and evaluation, as well as related policies, guidelines and standard procedures. Leads the Monitoring, Evaluation and Learning department to develop and implement a plan of work to provide technical leadership to Pathfinder’s MEL team. Supports the use data for making decisions… Read More »

The post Director Monitoring, Evaluation and Learning | Job at Pathfinder International Tanzania appeared first on Udahiliportal.com.

Share:

Marketing and Communications Fellow | The Small Things – Arusha

Marketing and Communications Fellow • Added Date: Wednesday, 15 January 2020 • Deadline Date: Monday, 02 March 2020 • Organization: The Small Things • Country: United Republic of Tanzania • City: Nkoaranga The Small Things, a small grassroots non-profit located in Nkoaranga, Arusha, Tanzania is looking for a qualified Marketing and Communications Coordinator. The Small Things strives to… Read More »

The post Marketing and Communications Fellow | The Small Things – Arusha appeared first on Udahiliportal.com.

Share:

Chief Finance Officer at Sanlam Life Insurance (T) Ltd

Job Title: Chief Finance Officer Job Summary Reporting to the Chief Executive Officer, Chief Finance Officer play a key role in sustain profitable growth and optimization of capital utilization, optimize operational efficiency, ensure stable risk and control environment, improve customer experience across the value chain and sustaincolleague engagement and talent retention. The Chief Finance Officer will ensure the Company… Read More »

The post Chief Finance Officer at Sanlam Life Insurance (T) Ltd appeared first on Udahiliportal.com.

Share:

HALI YA JANGWANI DAR SI SHWARI,BARABARA YAFUNGWA MAJI BALAA

Na Andrew Chale - Dar es salaam

Hali halisi eneo la jangwani jijini Dar es salaam, mamlaka zimefunga rasmi matumizi ya barabara ya Morogoro eneo la magomeni kuelekea katikati ya jiji kufuatia kujaa kwa maji eneo la jangwani.


Kwa hali hiyo imesababisha msongamano mkubwa wa watu karibu maeneo yote ya jiji ambapo njia ya kuelekea Kinondoni Mkwajuni eneo la Magomeni Morocco  pia maji yamejaa na msongamano wa magari na watu ni mkubwa pia.

Katika hali nyingine Basi la kampuni ya Tahmeed limekwama  katika eneo la Jangwani baada ya kujaribu kukatisha wakati wa maji hayo yakiwa tayari yamejaa.

Baadhi ya wananchi wameiomba Serikali kuhakikisha wanaleta mpango maalum wa  daraja utakaosaidia kuondoa usumbufu wanaopata kila wakati wa eneo hilo linapojaa maji.

Barabara hiyO imefungwa kuanzia majira ya saa 12 asubuhi ambapo jeshi la Polisi limeweka ulinzi mkali kwa raia kutokatisha eneo hilo.

Share:

Branch Manager Job at Exim Bank | Tanzania

Who we are and what we do Exim Bank is one of the leading financial services providers in 4 countries and Tanzania’s first international bank. Since welcoming our first customers in Samora Branch, Dar es Salaam, in 1997, Exim Bank has continued to expand its national and regional reach. Exim Bank has over the years leveraged on the… Read More »

The post Branch Manager Job at Exim Bank | Tanzania appeared first on Udahiliportal.com.

Share:

New Jobs at Good Neighbors International (GNI) | Tanzania

OVERVIEW Good Neighbors International (GNI) is an international humanitarian and development organization with Headquarter based in Seoul, the Republic of Korea. It is in General Consultative Status with the United Nations Economics and Social Council (UNECOSOC). The Mission/Vision of GNI works to transform the world to a peaceful and secure world, where no one suffers from starvation; where… Read More »

The post New Jobs at Good Neighbors International (GNI) | Tanzania appeared first on Udahiliportal.com.

Share:

Prestige Banker at Barclays Bank Tanzania | Dodoma

Position: Prestige Banker Location: Dodoma Branch BBT Regionally relevant. Locally grounded. With a history of doing business in Africa for over a hundred years, we have a presence across 12 countries in Africa. A career at Barclays Africa promises opportunity and challenge – an opportunity to be part of an organisation that is changing the future of banking, and… Read More »

The post Prestige Banker at Barclays Bank Tanzania | Dodoma appeared first on Udahiliportal.com.

Share:

Prestige Banker at Barclays Bank Tanzania | Iringa

Job Opportunity Iringa at Barclays Bank Tanzania – Position: Prestige Banker Location: Iringa General Stores Branch-BBT Regionally relevant. Locally grounded. With a history of doing business in Africa for over a hundred years, we have a presence across 12 countries in Africa. A career at Barclays Africa promises opportunity and challenge – an opportunity to be part of an… Read More »

The post Prestige Banker at Barclays Bank Tanzania | Iringa appeared first on Udahiliportal.com.

Share:

Kamati Ya Bunge Ya PAC Yaridhishwa Utekelezaji Maagizo Ya Ujenzi Jengo La NEC Dodoma

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeridhishwa na utekelezaji wa maagizo iliyoyatoa mwezi Oktoba mwaka jana,  kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), ambapo iliitaka Tume hiyo kuhakikisha inasimamia ukamilishwaji wa Mradi wa  ujenzi kwa wakati wa ofisi za Tume hiyo jijini, Dodoma kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.

Akiongea mara baada ya kukagua hatua ya Mradi wa ujenzi wa jengo la Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi zilizopo eneo la Njedengwa Jijini Dodoma jana tarehe 15 Februari, 2020, Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Mhe. Aeshi Khalfan Hilaly (Mb), amebainisha kuwa Kamati imeridhishwa na hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa ofisi za Tume hiyo kwa Jengo Kuu la Ofisi, Jengo la kutangazia matokeo na ghala la kuhifadhi vifaa.

“Tunaipongeza serikali kwa hatua ilizozichukua kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu katika kuhakikisha kuwa ujenzi wa Ofisi hizi unakamilika kwa wakati, kimsingi ni nia njema kamati kutembelea miradi ya serikali lakini tunapoona inafanya vizuri hatunabudi kuipongeza na ni imani yetu kuwa kwa malengo iliyoyaweka mwezi Aprili mwaka huu hatua kubwa ya utekelezaji itakuwa imefikiwa ” Amesisitiza, Mhe. Aeshi

Kwa upande wake, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira), Mhe. Anthony Mavunde (Mb) amefafanua kuwa tayari wanatekeleza maelekezo ya Mhe.Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ambaye ameitaka tume hiyo kuhakikisha inakamilisha ujenzi wa Ofisi za Tume hizo kwa wakati ili shughuli za uchaguzi za mwaka huu zinafanyika kwenye majengo hayo.

“Kutokana na mkandarasi mpya wa mradi huu ambaye ni SUMA JKT, Tumewahakikishia wanakamati wa PAC, kuwa ifikapo mwezi Aprili mwaka huu mradi wa ujenzi wa ofisi za Tume utakuwa umefikia hatua kubwa kwa kiwango cha kuruhusu shughuli za Tume kuanza kuendeshwa katika majengo haya, ambapo litakuwa ni jambo kubwa kwa kuwa katika historia tume hiyo haijawahi kuwa na ofisi yake yenyewe”Amesisitiza Mhe. Mavunde.

Naye, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge) Tixon Nzunda, amefafanua kuwa hatua ya ujenzi wa mradi huo imeendelea vizuri baada ya kutekeleza maagizo ya Mhe. Waziri Mkuu ya kuvunja Mkataba wa mkandarasi wa awali wa mradi huo TBA na kusaini mkataba mpya na Kampuni ya Ujenzi ya Jeshi la Kujenga Taifa- SUMA JKT CCL.

Awali akiwasilisha taarifa ya utekelzaji wa Mradi wa Ujenzi wa Ofisi hiyo, Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Wilson Mahera amebainisha kuwa Tume hiyo kwa kushirikiana na Chuo kikuu- Ardhi na Kampuni ya Ujenzi ya Jeshi la Kujenga Taifa- SUMA JKT CCL wanaouhakika mnamo mwezi Aprili mwaka huu Tume hiyo itaanza kuendesha shughuli zake kwenye majengo hayo.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni idara huru iliyoanzishwa mwaka 1993 kwa mujibu wa Ibara ya 74(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1997, ambapo kwa kipindi chote hicho tangu kuanzishwa kwake Tume hiyo haijawahi kumiliki Jengo lake lenyewe, hivyo mnano mwaka 2016, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli alikubali ombi la Tume hiyokujenga jingo lake.

MWISHO.


Share:

Head of Customer Marketing at Serengeti Breweries Limited (SBL)

Job Title: Head of Customer Marketing Job Description :  Context Serengeti Breweries Limited (SBL) is a fully integrated beverage business in Diageo Africa (supply and demand for beer and spirits) It is a subsidiary of East Africa Breweries Limited (EABL), the largest business unit in Diageo Africa and the second largest listed company on the NSE in Kenya. SBL… Read More »

The post Head of Customer Marketing at Serengeti Breweries Limited (SBL) appeared first on Udahiliportal.com.

Share:

Manyanya Atoa Rai Kwa Watafiti Kote Nchini Kufanya Tafiti Zenye Uhalisia.

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma.
Serikali imesema kuwa itaendelea kuongeza jitihada kubwa ya kuhakikisha kwamba tafiti zote ambazo zina msingi na zimefanyika na wataalamu wa aina mbalimbali ikiwemo vyuo vikuu zinatumiwa kikamilifu.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Mhandisi  Stella Manyanya wakati akizingumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kuzindua Programu ya  Miezi 18 ya kuziwezesha bidhaa zinazozalishwa nchini kuingia katika soko la kiushandani kimataifa.

Pia ametoa rai kwa watafiti kuhakikisha kuwa wanatoa utafiti wenye uhalisia kwani utafiti ni kitu ambacho kinatoa kitu ambacho kinatoa ushahidi kwa kile ambacho wanataka kukifanya na kuwataka wafaiti hao kufanya utafiti wa kweli ambao utaleta matokeo sahihi.

Mhandisi Manyanya, Ameipongeza Taasisi ya Utafiti Sera na Uchumi (REPOA) na kuwashukuru wadau mbalimbali wakiwemo nchi za ulaya kwa kuweza kuisaidia programu hiyo  kwani kwa muda mrefu serikali imekuwa ikishirikiana na watafiti wa aina mbalimbali kupitia taasisi za serikali kama vyuo vikuu,NGO,s ikiwemo REPOA .

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya utafiti sera na uchumi (REPOA) Dkt Donald Mmari amesema programu hiyo inalenga kuangalia ni jinsi gani wanaweza kuongeza ushindani wa bidhaa zinazouzwa katika masoko ya nje pamoja na ya ndani.

Rais wa chama cha Mawakala wa forodha Tanzania (TAFA) Edward John Urio   amesema kuwa Tanzania ni nchi ambayo iko vizuri kwenye upande wa kilimo huku akibainisha mapungu yaliyopo kuwa ni kwenye obora wa uzalishaji hivyo kupitia utafiti huo vyuo vyenye utalaamu kutoka uhalanzi vitaweza kuwasaidia wakulima wadogo wadogo na wale wakubwa kuweza kutoa bidhaa zenye ubora.

Lengo la Programu hiyo ni kuendela kuimarisha mahusiano kati ya watafiti mbalimbali pamoja na wataalamu ,serikali na wadau wengine ikiwemo wafanyabishara ili kuweza kuona kwamba zile tafiti ambazo zimefanyiwa kazi na kuwa na matokeo maalumu hata sera zinapotungwa kwa namna  ya kushughulikia biashara waweze kutumia matokeo  halisi yaliyopatikana kupitia tafiti na kuweza kufanya maamuzi yaliyo sahihi zaidi.


Share:

Tanzania Yapata Msaada Wa Bilioni 241 Kwa Ajili Ya Kuendeleza Elimu

Na Farida Ramadhani, WFM, Dar es Salaam
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea msaada wa Dola za Marekani milioni 90 sawa na shilingi bilioni 240.95 kutoka Mfuko wa Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE), kwa ajili ya kugharamia miradi miwili ya Sekta ya Elimu.

Mikataba ya msaada huo imesainiwa katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es Salaam, na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. Doto James kwa upande wa Serikali na Balozi wa Sweden nchini, Bw. Anders Sjoberg, ambaye nchi yake ni Wakala wa Msaada huo kupitia Shirika la Maendeleo la Kimataifa la nchi hiyo (SIDA).

Akizungumza katika hafla ya utiaji saini mikataba ya msaada huo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James alisema msaada huo ni kwa ajili ya kugharamia miradi ya Mpango wa Maendeleo ya Sekta ya Elimu (ESDP) 2016/17 – 2021/22  na nyongeza ya Mpango wa Elimu kwa Matokeo (EP4R).

“Kati ya fedha hizo za msaada, dola za Marekani milioni 38.89 (Sh. bil. 88.55) zitatumika kughagharamia Mpango wa Maendeleo ya Sekta ya Elimu (ESDP) 2016/17 – 2021/22 na dola za Marekani milioni 51.11 (Sh. bil. 116.40) ni kwa ajili ya nyongeza katika mchango wa Sweden katika Mpango wa Elimu kwa Matokeo (EP4R) ulioanza tangu mwaka 2015”, alifafanua.

Alisema fedha za kugharamia Mpango wa Maendeleo ya Sekta ya Elimu zitatumika kutimiza malengo mahsusi ya programu za Sekta ndogo za elimu ya msingi, elimu jumuishi na watu wazima pamoja na elimu nje ya mfumo rasmi.

Alibainisha kuwa utekelezaji wa miradi hiyo utachangia kwa kiasi kikubwa kufikia malengo ya Mapango wa Pili wa Taifa wa Maendeleo wa miaka mitano ambao pamoja na mambo mengine unalenga kuboresha Sekta ya Elimu kupitia Mafunzo ya Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (LANES), kuongeza udahili wa wanafunzi pamoja na kuboresha mazingira ya kusomea kwa kujenga madarasa.

Aliishukuru Serikali ya Sweden kwa kuratibu upatikanaji wa fedha hizi ambazo zinafanya uwekezaji wa nchi hiyo hapa nchini kufikia zaidi ya shilingi trilioni 1.25 zilizowekezwa kwenye miradi mbalimbali ikiwemo mapitio ya matumizi ya fedha za Umma, maliasili na hifadhi ya jamii, elimu, nishati, utafiti, na kusisitiza kuwa uhusiano wan chi hizo mbili utaendelea kuimarika.

Aidha, Bw. James amempongeza Mhe. Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, kwa jitihada zake kubwa za kusimamia miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo maboresho makubwa katika Sekta ya Elimu, ikiwemo utoaji elimu bila malipo kuanzia shule za msingi hadi sekondari.

Naye Balozi wa Sweden Tanzania, Bw. Anders Sjoberg,  aliipongeza Serikali ya Tanzania kwa jitihada mbalimbali iliyochukua katika kuboresha elimu hususani katika awamu ya kwanza ya programu ya Mafunzo ya Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (LANES) pamoja na Mpango wa Maendeleo ya Sekta ya Elimu (ESDP) 2017 – 2021.

Aliishauri Serikali ya Tanzania kuangalia kwa karibu suala la maendeleo ya elimu ya mtoto wa kike hasa kipindi cha kutoka elimu ya msingi kwenda Sekondari pamoja na kuboresha matokeo yao.

Alibainisha kuwa Sweden na washirika wengine wa maendeleo wapo tayari kushirikiana na Tanzania katika kuendeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo elimu.

Kwa upande wake Mkuu wa Shirika la Misaada ya Maendeleo la Uingereza (DFID), Bi. Beth Arthy akizungumza kwa niaba ya washirika wengine wa maendeleo, ameipongeza Serikali ya Tanzania kwa kupiga hatua katika Sekta ya elimu ambayo matokeo yake yanaongezeka kila mwaka.

Alisema matokeo hayo yanatokana na mikakati mbalimbali iliyowekwa katika Sekta hiyo ikiwemo mpango wa elimu bila malipo ambao umeongeza idadi ya wanafunzi na kuiwezesha Tanzania kujizolea umaarufu duniani.

Pamoja na maendelo hayo, Bi. Arthy aliishauri Serikali kuongeza idadi ya walimu mashuleni ili waweze kuhudumia wanafunzi kwa ufanisi na kuongeza ufaulu zaidi.

“Tangu kuanzishwa kwa programu ya elimu bila malipo idadi ya wanafunzi mashuleni imeongezeka kwa kasi tofauti na idadi ya walimu waliopo hali inayowafanya walimu kufanyakazi kubwa zaidi ya uwezo wao” aliongeza Bi. Arthy.

Akipokea msaada huo kwa shukrani, Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo, alisema kuwa Wizara hiyo itahakikisha fedha hizo  zinatumika kwa malengo yaliyokusudiwa ili kuhakikisha Elimu bora kwa wote inapatikana Tanzania.

Msaada huoumechangiwa na washirika mbalimbali wa maendeleo wakiwemo UNICEF, UNESCO, Benki ya Dunia, Umoja wa Ulaya, Australia, Canada, Denmark, Ufaransa, Korea, Uholanzi, Norway, Hispania, Uswiss, Marekani na Uingereza kupitia Mfuko wa Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE)

Mwisho.


Share:

Ziara Ya Katibu Mkuu CCM Mkoai Tanga Yang´oa Madiwani 8 wa CUF

Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally  Mkoani Tanga, imezoea upinzani ambapo madiwani Nane wa CUF wamekihama Chama hiko na kujivua nafasi zao zote na kujiunga na CCM.

Uamauzi huo wameufanya katika mkutano wa ndani wa Katibu Mkuu wa CCM alipokuwa akizungumza na viongozi wa Mashina, Matawi na Kata wilaya ya Tanga mjini katika uwanja wa Mkwakwani jana tarehe 15 Januari, 2020.

Viongozi hao wameongozwa na Mwenyekiti wa CUF Mkoa wa Tanga Ndg. Bashiru Azizi na Naibu Meya wa jiji la Tanga Ndg. Haniu Ally kata ya Tangasisi, madiwani wengine ni Mswahili Njama Kata ya Chongoleani, Ndg. Said Alei Diwani Kata ya Masiwani na Habibu Mpa Diwani Kata ya Ngamiani Kati.

Wengine ni Ndg. Nassoro Salimu Diwani Kata ya Tongoni, Akida O. Akida Diwani Kata ya Ngamiani Kaskazini, Mwanaisha Abdala Diwani Viti Maalum Tarafa ya Chumbageni, Thurekha Mahadhi Diwani Viti Maalum Tarafa ya Ngamiani na Mke wa Mbunge wa CUF Tanga Mjini.

Licha ya viongoz hao, Makada wengine waliokihama Chama hiko wameongozwa na Bi. Hidaya Ahmed aliyekuwa Kampeni Meneja wa Jimbo la CUF.

Madiwani hao waliojiunga na CCM wameeleza sababu mbalimbali za kukihama Chama hiko, ikiwa ni pamoja na vyama vyao kukosa dira ya uongozi na kuelekea kupoteza uhalali wa kuomba ridhaa ya kuwaongoza Watanzania, hivyo wamerudi CCM kutoa mchango katika maendeleo makubwa yanayoendelea kufanyika chini ya umadhubuti wa CCM inayoongozwa na Mwenyekiti na Rais wa Tanzania Ndg. John pombe Joseph Magufuli.


Share:

Naibu Waziri wa Afya Dr Ndugulile Atumbua Wawili Hospitali Ya Tukuyu

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ameagiza kuwekwa ndani na kutolewa katika nafasi zao Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Tukuyu Bw, Manase Ngogo  na Afisa Ugavi Bi. Vumilia Mwaijande kutokana na kutoridhishwa na utendaji kazi wao.

Dkt. Ndugulile ametoa agizo hilo Wilayni Rungwe mkoani Mbeya wakati alipotembelea Hospitali ya Tukuyu na kujionea utendaji mbovu wa Hospitali hiyo katika kutoa huduma kwa wananchi.

Dkt.Ndugulile amegiza kukatwa na kuwekwa ndani kwa Mfamasia na Afisa Manunuzi wa Hospitali hiyo kutokana na usimamizi mbovu wa stoo ya dawa na kukosekana kwa taarifa sahihi za Dawa zinazotoka na zinazoingia katika stoo hiyo.

“Nilishapata taarifa za wizi wa dawa Tukuyu sasa hili linadhibitisha hilo, huwezi ukamuweka Afisa Ugavi asimamie stoo ya Dawa wakati Mfamasi yupo” alisisitiza Dkt. Ndugulile

Aidha Dkt. Ndugulile amesikitishwa na utendaji mbovu wa Hospitali hiyo usiozingatia maelekezo ya Wizara katika uendeshaji wa Hospitali katika maeneo tofauti ya utoaji huduma.

Dkt. Nduguile amewapa onyo Mganga Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, muuguzu Mkuu wa Wilya na Mfamasia wa Hospitali na kuwataaharalisha na utendaji wao wa akzi kwani umekuwa sio wa kuridhishwa na ameahidi kuwangalia kwa karibu zaidi.

“Katika ziara zangu zote sijawahi kuona utumbo kama huu niseme tu sijaridhishwa na utendaji wenu kabisa na Mganga Mkuu wa Mkoa chukua hatua Wilaya ya Rungwe hatufanyi vizuri katika Sekta ya Afya tunamuangusha Mhe.Rais Magufuli” alisema Dkt. Ndugulile

Kwa upande wake Katibu Tawala Wilaya ya Rungwe Mnkondo Bendera amesema kuwa kama Wilaya hawezi kuvumilia uozo wa watoa huduma za afya kwani wataendelea kuangalia kwa karibu Sekta ya afya na watakaogundulika wanahujumu Sekta hiyo watachukuliwa hatua kali.

“Kwakweli hatuvumiliahaya kama ninyi wasaidizi wetu katika Sektaya Afya mnambinu za kutuhujumu katika jitihada za Serikali ya Awamu ya Tano ya kutoa huduma bora za Afya kwa wananchi basi tutawashughulikia ipasavyo” alisema Bw. Bendera.


Share:

Resource Mobilization and Business Sustainability Officer Job at UMATI

Resource Mobilization and Business Sustainability Officer Job Advertisement UMATI, a member of the International Planned Parenthood Federation (IPPF), is a leading non-profit Association providing Sexual and Reproductive Health and Rights (SRHR) Information and services .After the restructuring process UMATI is planning to recruit more qualified and competent staff to fill one vacant position at HQ Office in Dar… Read More »

The post Resource Mobilization and Business Sustainability Officer Job at UMATI appeared first on Udahiliportal.com.

Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi January 16



















Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger