Sunday, 3 November 2019

Yaliyojiri Katika Utatuzi Wa Mgogoro Wa Ardhi Kati Ya Kiwanda Cha Saruji Cha Mbeya Na Kijiji Cha Nanyala Mkoani Songwe Novemba 2, 2019

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli aliagiza Wizara za Ardhi, Madini, Tamisemi na Viwanda zishughulikie mgogoro wa Ardhi baina ya Kijiji cha Nanyala na kiwanda cha Saruji cha Mbeya. Mgogoro unahusisha...
Share:

Mabadiliko Halmashauri ya Mji wa Ifakara na Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro.

...
Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumapili November 3

...
Share:

Saturday, 2 November 2019

MAMA SALMA KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA UMOJA WA VIKUNDI VYA WAMA MAJOHE

Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mhe. Mama Salma Kikwete (Mb) leo Jumamosi ameweka Jiwe la Msingi Jengo la Taasisi ya Umoja Wa Vikundi Majohe(UVIMA) lililopo katika kata ya Majohe Manispaa ya Ilala jijini Dar es salaam. Uzinduzi huo umehudhuriwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya...
Share:

Heslb Third batch Loan allocation 2019/20 batch 3 PDF | Majina waliopata mkopo Awamu ya tatu 2019/20

Heslb Loan allocation 2019/20 batch 3 Download Pdf – Majina waliopata mkopo Awamu ya tatu 2019/20 Pdf HIGHER EDUCATION STUDENTS’ LOANS BOARD HESLB –LOAN ALLOCATION SECOND BATCH How to check Your  HESLB Loan allocation  – HESLB Bach 3 loan allocation status Good news to all HESLB loan applicants,  HESLB loan allocation third batch status is now available online… Read More » The post...
Share:

Lugola: Siku za mtu anayejiita Kigogo kwenye mitandao ya kijamii zinahesabika

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, amesema kuwa hivi karibuni Jeshi la Polisi litamtia nguvuni mtu anayejiita kigogo kupitia ukurasa wa Twitter. Ametoa kauli hiyo leo Novemba 2, 2019 katika mkutano na wanahabari wakati akitoa tathimini ya hali ya usalama hapa nchini kuelekea Uchaguzi wa Serikali...
Share:

Diamond Platnumz Amjibu Ali Kiba

Diamond Platnumz amezungumzia kilichoandikwa na msanii mwenzake, Ali Kiba katika mtandao wake wa  kijamii wa Instagram saa chache baada ya  kumualika kushiriki tamasha la Wasafi litakalofanyika Novemba 9, 2019. Akizungumza jana Ijumaa Novemba Mosi, 2019 katika televisheni ya Wasafi ,Diamond...
Share:

Yanga Yateua Wakurugenzi Wapya Watatu

...
Share:

Kampuni ya Nyanza Yapigwa Marufuku Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Paul Makonda ametaka umakini katika utoaji wa tenda za ujenzi wa miradi mbalimbali ili kuepuka dosari. Makonda ameayasema hayo leo, Jumamosi, Novemba 2, 2019, wakati akiwa kwenye ziara ya kukagua miradi ya kimkakati inayoendelea katika wilaya za Ilala na Kinondoni...
Share:

Serikali Kuendelea Kutatua Changamoto Sekta Ya Usafirishaji

NA; MWANDISHI WETU Serikali ya Awamu ya Tano imedhamiria kuendelea kutatua changamoto zinazoikabili sekta ya usafirishaji hapa nchini ili iweze kuongeza mchango wake katika kukuza uchumi. Akizungumza Novemba 1, 2019 Jijini Dodoma wakati wa mkutano wa pamoja kati ya Vyama vya Madereva na Vyama vya...
Share:

MBARAWA AFANYA ZIARA WILAYANI HANDENI ILI KUONA NAMNA YA KUWANUSURU WANANCHI ELFU 55.

...
Share:

Maswali 15 Yanayoulizwa Mara kwa Mara Kwenye Usaili ( Interviews ) na Namna ya Kuyajibu

Usail wa ajira (interviews) husababisha hofu na msongo wa mawazo kwa vijana wengi kabla au baada ya kutoka chumba cha usaili. Tatizo hilo hutokana na hofu inayojenga wakati wa kujibu maswali unayoulizwa  na watu ambao wamekuzunguka wakati wa kufanyiwa usaili. Njia moja ya kuzuia hii kutokea...
Share:

Mchunguzi Mkuu TAKUKURU Amwandikia Barua DPP Kukiri Makosa Yake

Mchunguzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Cosmas Batanyika (44) anayekabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi ikiwamo kushawishi rushwa ya zaidi ya Sh. milioni 300, kupokea na kutakatisha Dola za Marekani 20,000 amedai mahakamani amemwandikia barua Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP)...
Share:

Aliyemtishia Mwenzake Kumuua kwa Bastola Akamatwa

Kamanda wa Polisi Kinondoni, Mussa Taibu amesema wamemkamata Shabani Hamis Said ambaye anadaiwa kumtishia kwa Bastola dereva wa lori Venance John maeneo ya Mabwe Pande, saa 3 asubuhi, October 30, 2019. Amesema baada ya lori la mchanga  alilokuwa anaendesha Venance kukwama bila kupata msaada...
Share:

Waziri Kigwangalla Aaigiza Maboresho Ya Huduma Mlima Kilimanjaro.

Na. Aron Msigwa – WMU, ARUSHA. Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ameliagiza Shirika la Hifadhi za Taifa nchini (TANAPA) lifanye maboresho ya miundombinu ya huduma za dharula na uokoaji ndani ya hifadhi ya mlima Kilimanjaro ili kuogeza usalama wa watalii wanaokweda 2kupanda mlima...
Share:

Ofisi Ya Makamu Wa Rais Kwa Kushirikiana Na Wizara Ya Viwanda Na Biashara Yakutana Na Wazalishaji, Wasambazaji Na Wauzaji Wa Mifuko Mbadala Wa Plastiki.

Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na Wizara ya Viwanda na Biashara imeandaa kikao kilichowakutanisha Wazalishaji, Wauzaji na Wasambazaji wa mifuko mbadala wa plastiki.  Kikao hiko kimefanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Julius Kmbarage Nyerere (JNICC) jijini Dar Es Salaama Lengo la Kikao...
Share:

Wabadhilifu, Wezi wa Dawa za Serikali Wapewa ONYO Tena

Na. Atley Kuni- TAMISEMI Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Dkt. Dorothy Gwajima, ameapa kwamba moto dhidi ya wabadhilifu wa dawa aliouwasha katika zoezi la ufuatiliaji hautazimika wala kupoa, huku akiwaomba wananchi kutoa ushirikiano wa karibu kwa kuwafichua watu/mtu...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger