Kijana wa miaka 26, mkazi wa Old Shinyanga katika Manispaa ya Shinyanga, aliyekuwa amefungwa minyororo chumbani kwa miezi miwili, Shadrack Johanes amefunguliwa na kufanyiwa usafi, kuvishwa nguo na kuanza kupatiwa matibabu ya afya ya akili.
Shadrack Johanes, alifunguliwa minyororo hiyo jana mara...
Mwanaume mmoja nchini Indonesia ambaye alishiriki kwa kiasi kikubwa kuandaa Muswada wa sheria ya kupinga vitendo vya uzinifu nchini humo amekamatwa akizini na mke wa mtu.
Mukhlis bin Mudammad ni mmoja kati ya wwanachama wa baraza la wanatheolojia ambalo lilisaidia kutunga sheria za Kiisilamu kupinga...
Na Pamela Chilongola, Mwananchi
Mchekeshaji na mshindi wa shindano la Big Brother 2014, Idris Sultan ameripoti kituo cha polisi kati leo Ijumaa Novemba Mosi, 2019 na kuhojiwa kwa dakika 30 na kutakiwa kuripoti tena Jumatano Novemba 6, 2019.
Jana asubuhi, Idris aliripoti kituoni hapo na...
Vyombo vya habari vya Urusi vimeripoti kuwa mwanaume mmoja mjini Moscow anakabiliwa na kifungo cha miaka mitano kwa kosa la kumtumia paka 'nyau' kama silaha yake.
Mtuhumiwa huyo Gennady Shcherbakov anatuhumiwa kwa kumrushia polisi paka wakati ambapo polisi alikuwa ameenda kuthibiti kelele ambazo...
Kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Shinyanga ikishirikiana na wakaguzi kutoka shirika la viwango TBS imefanikiwa kukamata shehena ya bidhaa zilizoisha muda wa zikiendelea kuuzwa katika maduka makubwa maarufu kama Supermarket mjini Shinyanga.
Bidhaa hizo zimekamatwa jana kutokana na msako katika...
Inspekta Jenerali wa Polisi nchini Tanzania (IGP), Simon Sirro amemtaka kijana aliyemtishia mwenzake bastola kuripoti polisi baada ya kuonekana akifanya kitendo hicho katika picha za video zinazosambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii nchini.
Mbali na kuripoti, Sirro amesema anatakiwa kusalimisha...
Mgeni rasmi Katibu Tawala mkoa wa Tanga, Zena Said akitoa hotuba wakati wa kufunga wakati wa hafla fupi ya kufunga mradi wa XPRIZE- uliokuwa ukiratibiwa na UNESCO kwa kushirikiana na WFP wa kuwapatia elimu watoto walio nje ya mfumo rasmi kupitia ubunifu wa Teknolojia kwa kutumia Vishikwambi...