Friday, 1 November 2019

Serikali Yawatoa Hofu Wananchi Wa Handeni Mkoani Tanga

Serikali imewahakikishia wakazi wa Handeni, Mkoani Tanga uendelevu wa huduma ya maji licha ya kuharibika kwa miundombinu ya maji kulikosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga ametoa kauli hiyo hapo juzi wilayani hapa wakati wa ziara...
Share:

Kundi la IS latangaza kiongozi mpya Atakayemrithi Abu Bakr al-Baghdadi

Kundi linalojiita Dola la Kiislamu IS limemtangaza kiongozi wake mpya baada ya kuthibitisha kifo cha kiongozi wake Abu Bakr al-Baghdadi katika shambulizi lililofanywa na Marekani nchini Syria.  Taarifa iliyotolewa kwenye chombo cha habari cha IS, al-Furqan imeeleza kuwa nafasi ya al-Baghdadi...
Share:

Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro asimamia Zoezi la wanafunzi Watoro kuchapwa viboko mbele ya wazazi wao

Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro jana Alhamisi  alisimamia zoezi la  kucharazwa viboko wanafunzi 3 ambao ni watoro sugu katika Shule ya Msingi Ligoma iliyoko wilayani humo ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kupambana na utoro sugu, nidhamu za wanafunzi na mimba za utotoni Tunduru. Mkuu...
Share:

Ahukumiwa Kifungo Cha Maisha Jela Kwa Kumbaka na Kumpa Mimba Mtoto wake wa Kumzaa

Mahakama ya  Wilaya ya  Mpanda  Mkoani  Katavi  imemuhukumu  Lazaro  Charles (35)  Mkazi    wa Mtaa wa  Mji   Mwema katika  Manispaa ya   Mpanda Mkoa wa  Katavi kutumikia jela kifungo cha maisha baada ya kupatikana...
Share:

Idris Sultan Aripoti Tena Polisi

Msanii wa vichekesho, Idris Sultan leo Ijumaa Novemba 1, 2019 saa 2 asubuhi ameripoti Kituo cha Polisi ‘Central’ jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya masharti ya dhamana aliyopatiwa jana October 31, 2019. Idriss alitakiwa kwenda polisi baada ya kuweka picha yenye sura yake huku akiwa ameketi...
Share:

Twitter yapiga marufuku matangazo ya kisiasa

Jukwaa la mtandao wa kijamii Twitter limetangaza kwamba halitatangaza tena matangazo yenye muelekeo wa kisiasa. Kiongozi mkuu ( CEO) wa Twitter, Jack Dorsey amearifu kwamba shirika hilo halitatoa tena matangazo yenye muelekeo wa kisiasa. Dorsey amearifu kwamba uamuzi huo mpya utaanza kutumika mwishoni...
Share:

WAANDISHI WA HABARI MWANZA WAKUMBUSHWA WAJIBU WAO KUELEKEA UCHAGUZI

Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa Mwanza (MPC) kwa kushirikiana na Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), imetoa mafunzo kwa waandishi wa habari mkoani Mwanza kwa lengo la kuwajengea uwezo kuripoti kwa weledi habari kuhusu ujenzi wa amani kabla, wakati na baada ya uchaguzi. Mafunzo hayo yamefanyika Oktoba...
Share:

Idris Sultan Aachiwa kwa Dhamana.....Kuripoti tena Polisi Leo

Msanii  Idris Sultan aliyehojiwa na polisi  jana Alhamisi Oktoba 31, 2019 kwa saa tano na kupekuliwa nyumbani kwake ameachiwa kwa dhamana usiku wa kuamkia leo. Baada ya kuhojiwa, mchekeshaji huyo ambaye jana alitakiwa kuripoti polisi na mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alikwenda...
Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Ijumaa November 1

...
Share:

Thursday, 31 October 2019

Bashe:Serikali Imeamua Kuheshimu Na Kuweka Kipaumbele Sekta Ya Kilimo

Na.Faustine Galafoni,Dodoma. NAIBU Waziri wa Kilimo,Husein Bashe amesema Serikali imeamua kuheshimu na kutoa kipaumbele mazao ya kilimo kama sekta zingine zinavyothaminiwa kwa kujenga miundo mbinu rafiki kwa mkulima hususani pembejeo bora. Kauli hiyo ameitoa wakati alipokuwa kwenye mkutano wa kitaifa...
Share:

Waziri Mkuu Majaliwa Atarajiwa Kuwa Mgeni Rasmi Wiki Ya Azaki.

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika wiki ya asasi za Kiraia Tanzania  [AZAKI]itakayofanyika jijini Dodoma kuanzia Novemba 4-8,2019.   Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dodoma leo...
Share:

Watu 70 wafariki Pakistan kufuatia moto kwenye treni

Watu wasiopungua 70 wameuwawa na dazeni kadhaa kujeruhiwa baada ya jiko la gesi kuripuka ndani ya treni iliyokuwa ikiwasafirisha waumini waliokuwa njiani kwenda kufanya ziara ya kidini nchini Pakistan. Picha za televisheni zinaonyesha moto unaofuka ndani ya mabehewa matatu ya treni huku vilio vikisikia...
Share:

TIGO YAINGIZA SOKONI ‘KITOCHI 4G SMART’ ’ YENYE UWEZO WA 4G KWA BEI NAFUU

...
Share:

TRENI YASHIKA MOTO NA KUUA WATU 65

Takriban abiria 65 wamefariki dunia wakati treni iliyokuwa ikisafiri kutoka mji wa Karachi Pakistan kuelekea Rawalpindi iliposhika moto. Waziri wa reli, Sheikh Ahmed, alisema kwamba moto huo ulisababishwa na kulipuka kwa mtungi wa gesi uliokuwa ukitumiwa na abiria kupikia kiamsha kinywa mwendo wa...
Share:

Job Opportunity at Coca Cola – Kwanza Limited, Warehouse Team Leader

WAREHOUSE TEAM LEADER (CCB191030-8) Closing date: 2019/11/12 Job Title WAREHOUSE TEAM LEADER Function Logistics, Warehouse & Distribution Company: Coca-Cola Kwanza (Tanzania) Job Type Permanent Location – Country Tanzania Location – Province Not Applicable Location – Town / City Dar es Salaam Job Description  Coca-Cola Kwanza Ltd has an exciting opportunity in Logistics Department. We are...
Share:

Business Performance Lead Job at Diageo Tanzania

Position: Business Performance Lead Location: Dar es Salaam, Tanzania Job Description : Are you looking to grow and develop as your role rapidly increases the value it brings to the organization? The finance functions within Diageo both at the headquarters and in markets has a mission to be great business partners driving great business performance‟. As business partners,… Read More » The post Business...
Share:

MWANAFUNZI APIGWA VIBOKO MPAKA KUFA DARASANI

Mwanafunzi mwenye umri wa miaka 14 huko nchini Burundi amefariki baada ya kupigwa na mwalimu wake, baba wa mtoto huyo ameiambia BBC. Mtoto huyo, Chadia Nishimwe alipigwa viboko kwenye maeneo ya shingo na miguuni , kipigo ambacho kilimpelekea kutokwa damu puani na masikioni, alisema Jean-Marie Misago. "Alikufa...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger