Monday, 1 July 2019

Afisa Mtendaji Mkuu wa Safaricom,Bob Collymore Afariki Dunia

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya simu ya Safaricom, Bob Collymore amefariki dunia. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Safaricom, matuti yamekuta Collymore asubuhi ya leo Jumatatu Juni 1, 2019 akiwa nyumbani kwake jijini Nairobi. Vyombo vvya habari vya Kenya vimesema mwenyekiti wa kampuni hiyo Nicholas...
Share:

MTENDAJI MKUU WA SAFARICOM AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Safaricom nchini Kenya, Bob Collymore amefariki dunia leo asubuhi, Julai Mosi, 2019. Taarifa iliyotolewa na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Safaricom, Nicholas Nganga imesema Collymore alikuwa anasumbuliwa na saratani kwa muda mrefu. “Oktoba 2017...
Share:

Picha : BODI YA USAJILI WA WABUNIFU MAJENGO (AQRB) YAWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WA HABARI

Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) Arch. Dkt Ludigija Bulamile akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishishi wa habari Jijini Dar es Salaam yaliyoandaliwa na bodi hiyo kuhusu kuacha kuichanganya taaluma yao na ile ya wahandisi badala yake iuelimishe...
Share:

Maelfu ya Wananchi waandamana Tena nchini Sudan .....7 Waripotiwa Kufariki dunia

Watu wasiopungua saba wanaripotiwa kuuawa nchini Sudan baada ya vikosi vya usalama vya nchi hiyo kutumia mkono wa chuma kuyatawanya maandamano ya wananchi ya kutaka utawala wa kiraia. Taarifa zaidi zinasema kuwa, maandamano makubwa ya jana ya wananchi wa Sudan katika miji mbalimbali ya nchi hiyo...
Share:

Waziri wa Viwanda na Biashara Akerwa na Watanzania Wanaobeza Ubora wa Korosho ya Tanzania

Waziri wa Viwanda na Biashara ,Innocent Bashungwa amekemea baadhi ya Watanzania wanaopotosha  na kukandia kuwa korosho ya Tanzania iliyopo kwenye maghala ,haina ubora ambapo amewapasha kuacha propaganda zisizo na tija kwa Taifa. Ameyasema hayo mjini Kibaha alipotembelea kiwanda cha Kubangua...
Share:

Maamuzi ya IGP Sirro na IGP wa Msumbiji kuhusu mauaji ya Watanzania 10

Mkuu  wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amekutana na kufanya mazungumzo ya kina na Mkuu wa Jeshi la Polisi wa nchi ya Msumbiji, Bernardino Rafael kuhusu mauaji ya Watanzania 10 yaliyotokea Juni 26, mwaka huu, katika kijiji cha Mtole nchini Msumbiji. Watanzania hao waliuawa kwa kupigwa...
Share:

Uturuki yamuonya vikali mbabe wa kivita wa Libya Jeneral Khalifa Haftar

Uturuki imesema kuwa vikosi vya kiongozi wa Libya Khalifa Haftar ”vitalengwa” ikiwa hawatawaachia huru haraka raia sita wa Uturuki.  Vikosi vya Jenerali Haftar vilisema siku ya Ijumaa kuwa vitashambulia maslahi ya Uturuki kwa kuwa taifa hilo linaunga mkono serikali ya Libya inayoungwa mkono...
Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatatu 1 July

...
Share:

Sunday, 30 June 2019

Chadema Watoa Tamko Tundu Lissu Kuvuliwa Ubunge

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimedai kuwa hatua ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kuvuliwa Ubunge na kuzuiliwa kugombea Ubunge kwa miaka 5 inalenga kumzuia kutowania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu kwa mwaka 2020. Kauli hiyo ya CHADEMA imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama Cha hicho,...
Share:

MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU AUAWA KWA KUPIGWA RISASI NDANI YA CHUMBA CHA MPENZI WAKE

Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Kenyatta Felix Otieno  ameuawa kwa kupigwa risasi akiwa ndani ya nyumba ya mpenzi wake mtaani Ruiru nchini Kenya leo Jumapili Juni 30,2019. Maafisa wa upelelezi kutoka kitengo cha Elite Special Prevention Unit wanashirikiana na polisi kufanya uchunguzi...
Share:

MFUNGWA AJIUA KWA KUJICHINJA NA WEMBE GEREZANI

 Agustino Moshi (70), mfungwa aliyekuwa anatumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa ubakaji, amejiua kwa kujikata mshipa wa fahamu kwa kutumia wembe akiwa ndani ya Gereza la Karanga mkoani Kilimanjaro. Tukio hilo linadaiwa kutokea Jumatatu ya Juni 25 ndani ya gereza hilo na kushuhudiwa na mkuu...
Share:

SERIKALI IRINGA YAMPONGEZA DIWANI KWA KUOKOA MAISHA YA FAMILIA ZILIZOKOSA MATIBABU

Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela wa pili kushoto akiwa na diwani wa Mwangata Nguvu Chengula (mwenye suti nyeusi) na viongozi wengine wakimtazama mama wa watoto watatu ambao nusuru wapoteze maisha kwa kukosa huduma ya matibabu  Na Francis Godwin, Iringa Serikali ya wilaya ya Iringa...
Share:

Mwili wakutwa kichakani umekatwa miguu, mkono na Kiuno

Mtu  ambaye hajafahamika mara moja, amekutwa kichakani akiwa amefariki dunia huku baadhi ya viungo vyake vikiwa vimeondolewa. Tukio hilo lilitokea katika kitongoji cha Nunga, Kata ya Ngogwa wilayani Kahama baada ya wananchi kuukuta mwili huo ukitoa harufu, huku viungo kama mkono, sehemu za siri...
Share:

Unahitaji Kufanya Service ya Gari Weekend Hii? Je wewe ni Mmiliki wa Gari? Ni Fundi Magari au Muuza Spea? ...Hapa Tunahabari Njema Inayokuhusu

Habari njema kwa wamiliki wa Magari, mafundi na Wauza Spea za Magari. EDRIVE PRO wamekeletea mfumo ambao unawaunganisha pamoja na pindi gari lako likiharibika popote ulipo hutapata tena tabu ya kuhangaika kutafuta fundi au maduka ya spea www.edrivepro.co.tz ni mfumo wa kufanya na kusimamia utengenezaji...
Share:

Gavana Shilatu Ashangazwa Na Diwani Kutofuatilia Upatikanaji Wa Mikopo Ya Vijana, Wanawake Na Walemavu.

Na Mwandishi wetu Mihambwe Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu amembana Diwani wa Chama Cha Wananchi (CUF) Kata ya Mkoreha Mhe. Ahmad Ally Ndende juu ya utolewaji wa mikopo ya Halmashauri kwa Vijana, Wanawake na Walemavu ili kuwakwamua Wananchi kiuchumi. Hayo yamejitokeza kwenye mkutano na Wananchi...
Share:

Waziri Kamwelwe Atoa Kauli Nzito Baada Ya Mgomo Bandarini

Waziri  wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe, ametishia kuzinyima leseni kampuni tatu zilizoomba leseni kwa ajili ya kuendesha bandari kavu(ICDS) kwa tuhuma za kuhamasisha mgomo wa malori bandarini. Wamiliki wa kampuni hizo wanatuhumiwa kuhamasisha madereva wa malori yanayotoa...
Share:

Polepole Awapa Makavu Wanachama CCM....."Usitumie uongozi kama mali yako"

Katibu  wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)  Humphrey Polepole amesema ugonjwa mkubwa ndani ya CCM ni ubinafsi na kuwataka kuacha kupendekeza wagombea ambao wananchi hawawataki. Aidha aliwataka viongozi wa chama wakiwemo mabalozi wa nyumba 10 kuacha kupanga safu za watu...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger