
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dkt Anna Mghwira akiwa ameongozana na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Kilimanjaro wakitembelea maeneo yaliyoathirika na mvua iliyonyesha juzi ikiambatana na upepo.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Dkt Anna Mghwira akizungumza na mmoja wa maafisa wa Magereza waliokuwa...