Thursday, 20 December 2018

HABARI KWENYE MAGAZETI YA LEO ALHAMISI DESEMBER 20/2018

Katibu leo December 20, 2018,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.   Sourc...
Share:

Wednesday, 19 December 2018

WANAOBEZA MIMI KUWASAIDIA WALEMAVU KUPATA VIUNGO BANDIA NI MTAZAMO WAO -MBUNGE MHE RITTA KABATI.

  Na Francis Godwin,Iringa MBUNGE wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati (CCM) amesema kuwa mkakati wa ni kuhakikisha anawasaidia watu wenye ulemavu wa viungo katika mkoa huo kupata msaada wa bure wa viungo vya bandia na wanaosema anafanya siasa kupitia walemavu hao ni mtazamo wake na si makusudi yake kuwabangua wenye ulemavu. Akizungumza Jana wakati wa zoezi la kuwasafirisha zaidi ya walemavu...
Share:

WAFANYABIASHARA WADOGO 25,000 MKOANI MWANZA KUPATIWA VITAMBULISHO.

  Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Ndugu John Mongella, hivi Leo amekabidhi Vitambulisho 25,000 vya wafanyabiashara wadogo maarufu wamachinga kwa wilaya saba za mkoa wa Mwanza. Ndg. Mongellea, akikabidhi vitambulisho hivyo, amesema zoezi hili ni endelevu litakalowafikia wafanyabiashara wadogo wote mkoani Mwanza. Kwa kuanzia wilaya ya Nyamagana na Ilemela watafikiwa wafanyabiashara 10,000 kutokana na wingi...
Share:

RC AAGIZA WANAFUNZI WOTE WALIOFAULI KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA JANUARY MWAKANI.

  Na Allawi Kaboyo Bukoba. Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti awaongoza Wadau wa Elimu Mkoani Kagera kuweka mikakati ya muda mfupi na mda mrefu ili kuhakikisha wanafunzi 14,046 kati ya wanafunzi 39,545 waliofaulu Mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2018 na kukosa Vyumba vya Madarasa wanaanza masomo yao kama wenzao 25,499 ifikapo Januari 7, 2019. Mikakati hiyo iliwekwa katika...
Share:

MAKOMBORA YA MBUNGE MNYIKA MBELE YA JPM YAMVURUGA MAKONDA

NA KAROLI VINSENT NI wazi kuwa Kauli aliyoitoa  mbunge wa Kibamba (Chadema), John Mnyika kuhusu demokrasia, bomoabomoa na vyuma kukaza imemvuruga  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ndivyo unaweza ukasema Baada ya Mnyika ndipo ikamfanya Makonda  kuanza kueleza masuala mbalimbali yaliyofanywa na Rais John Magufuli tangu aingie madarakani. Wa Kwanza kuanza kuibua majadala huo...
Share:

POLISI WATOA AMRI YA KUKAMATWA KWA MKE WA RAISI MSTAAFU NI BAADA YA KUMPIGA MWANAMITINDO

Polisi nchini Afrika Kusini imetoa amri ya kukamatwa kwa Grace Mugabe, mke wa aliyekuwa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ambaye anatuhumiwa kumshambulia na kumjeruhi mwanamitindo wa Afrika Kusini, Gabriella Engels, mwaka 2017. Mwanasheria anayefanya kazi na shirika la kutetea haki za binadamu la...
Share:

TAASISI YA MOYO YA JAKAYA YAFANYA UPASUAJI KWA ZAIDI YA WATOTO 1000

TAASISI ya moyo ya Jakaya Kikwete imefanikisha kufanya upasuaji kwa zaidi ya watoto 1000 ikiwa ni upasuaji mkubwa kwa watoto 600 na upasuaji mdogo kwa zaidi ya watoto 400. Akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mbio za Heart Marathon kwa mwaka 2019 Rais wa Tanzania Health Summit (THL) Dkt. Omary Chillo amesema kuwa mbio hizo zitafika kilele Aprili 28, 2019 katika viwanja vya Coco Beach ikiwa...
Share:

YANGA KUWAKOSA VIUNGO WAKE MACHACHARI KESHO, MCHEZO KATI YAO NA AFRICAN LYON

Klabu ya soka ya Yanga inatarajia kuwakosa viungo wake muhimu, Papy Tshishimbi na Feisal Salum 'Fei toto' katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya African Lyon utakaopigwa kesho. Fei toto ataukosa mchezo wa kesho katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha kutokana na kupewa kadi tatu...
Share:

Ripoti:ITACHUKUA MIAKA 200 KWA WANAWAKE KUPATA MALIPO SAWA NA WANAUME

Jarida la uchumi duniani limetoa taarifa kuwa itachukua miaka 200 kufikia usawa wa malipo kati ya mwanamke na mwanaume Ripoti ya mwaka 2018 toleo la uwiano wa kijinsia ulimwenguni, lililoandaliwa na Jukwaa la uchumi duniani (WRF) na kutolewa tarehe 17 mwezi Desemba limeweka picha halisi ya hali...
Share:

MBUNGE MNYIKA NA RAIS MAGUFULI WATOFAUTIANA MCHANA KWEUPE KUHUSU BOMOABOMOA

Na Bakari Chijumba, Mtwara. Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.John  Magufuli amesema waliobomolewa nyumba kupisha upanuzi wa barabara, eneo la Kimara hadi Mbezi jijini Dar es Salaam hawatalipwa fidia kwa kuwa walijenga katika eneo la hifadhi ya barabara. Rais Magufuli ametoa kauli hiyo hii leo Jumatano Desemba 19, 2018 katika hafla ya uwekaji jiwe la msingi la upanuzi wa barabara hiyo...
Share:

FORBES YATOA LIST YA MASTAA MATAJIRI DUNIANI ,KYLIE JENNER AFIKIA UTAJIRI WA JAY Z

Fahamu kuwa jarida la Forbes 2018 limetaja list ya watu maarufu wenye utajiri mkubwa nchini Marekani huku list hiyo ikiongozwa na mwongozaji wa Filamu George Lucasmwenye utajiri wa Dola Billions 5.4 za Kimarekani sawa na zaidi ya Trillion 12 za Kitanzania. Huku mwanadada Kylie Jenner’21 akitajwa...
Share:

KIUMBE WA AJABU APEWA JINA LA DONALD TRUMP... TABIA ZAO ZINAFANANA

EnviroBuild, kampuni iliyopata haki ya kumpa kiumbe huyo jina, iliongeza nywele bandia kwenye kiumbe huyo jambo lililomfanya kuwa na muonekano unaokaribiana na wa Trump. Kiumbe anayeweza kuishi baharini na katika nchi kavu amepewa jina la Rais wa Marekani Donald Trump, ingawa huenda kiongozi huyo...
Share:

MNYIKA AMPONGEZA RAIS MAGUFULI, AMUOMBA AFANYE UBINADAMU... MWENYEWE AGOMA

Mbunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), John Mnyika amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli kwa kuweza kuamua kujenga barabara ya njia nane. Amesema kuwa Watanzania wamemuombea asiwe na kiburi, huku akisema Wananchi wana malalamiko...
Share:

MKUU WA MKOA WA IRINGA ADAIWA KULAZWA MAKABURINI NA WACHAWI... MWENYEWE ATAKA ALIYEZUSHA AJISALIMISHE POLISI

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Salum Hapi ameonesha kushangazwa na madai ya kujikuta amelala kwenye makaburi mkoani Iringa, kitendo ambacho kinahusishwa na imani za kishirikina. Kupitia mtandao wake wa Twitter Hapi ameandika ujumbe ulioashiria kuwa analichukulia tukio hilo ni la mzaha ambapo aliambatananisha...
Share:

WAKAZI WA MANISPAA NA MIJI KUNUFAIKA NA UMEME WA REA

  Na Mwandishi wetu Ruvuma. Shirika la umeme nchini Tanesco mkoani Ruvuma kupitia wakala wa kusambaza umeme vijijini Rea limeendelea kusambaza umeme katika vijiji mbalimbali vilivyopo kwenye mpango ndani ya mkoa wa Ruvuma na kuwafanya wananchi mkoani humo kunufaika na matunda ya serikali ya awamu ya tano. Akitoa salamu za shukrani kwa uongozi wa Tanesco mkoa wa Ruvuma kutokana na kasi waliyonayo...
Share:

SALUM MWALIMU : NIMEKAMATWA,NIMEPIGWA NA KUDHALILISHWA

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Zanzibar), Salum Mwalimu. Baada ya Polisi mjini Mafinga mkoani Iringa Jumapili ya Disemba 16, kumkamata na baadaye kumwachia, Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Zanzibar), Salum Mwalimu, mwenyewe amefunguka kuwa kilichofanyika ni uonevu dhidi ya demokrasia. Akizungumza...
Share:

RAISI ASEMA WALIOBOMOLEWA NYUMBA ZAO HAKUNA FIDIA

Rais John Magufuli amesema waliobomolewa nyumba kupisha upanuzi wa barabara ya Morogoro eneo la Kimara hadi Mbezi jijini Dar es Salaam hawatalipwa fidia kwa kuwa walijenga katika eneo la hifadhi ya barabara. Rais Magufuli ametoa ufafanuzi huo leo Jumatano Desemba 19, 2018 katika hafla ya uwekaji...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger