Wednesday, 25 October 2017

MPYA:TCU IMETANGAZA TARTIBU ZA KUHAMA CHUO AU KOZI ULIYOCHAGULIWA ,DEADLINE NI TAREHE 20.11.2017

Tokeo la picha la tcu tanzania


kusoma taratibu za kuhama

Share:

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO AWAMU YA PILI BATCH 2 2017/2018





Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imetoa orodha ya awamu ya pili ya wanafunzi 11,481 wa mwaka wa kwanza waliofanikiwa kupata mikopo. 
Orodha hiyo ya wanafunzi ya awamu ya pili inapatikana hapa kwenye tovuti hii (www.heslb.go.tz) na itatumwa kwa vyuo husika. Vilevile, tunawafahamisha wanafunzi wanaoendelea na masomo na umma kwa ujumla kuwa tunaendelea kutuma vyuoni majina na fedha za mikopo ya wanafunzi wanaoendelea na masomo ambao wamefaulu mitihani yao.
Share:

TANGAZO LA MASOMO NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA CHUO CHA ST.DAVID COLLEGE OF HEALTH SCIENCES 2017/2018

Share:

TCU Yaanika Tarehe Rasmi ya Masomo Vyuoni, 45,000 Wapata Vyuo

Share:

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO CHUO KIKUU RUCU BATCH 1 2017

ALLOCATION FOR  FRESHERS 2017-18 ACADEMIC YEAR AT RUCU


The HESLB has allocated Loans to the following Ruaha Catholic University (RUCU) new students. 

They are required to report to the University as soon as possible in order to get registration numbers for final processing of their loans.

TO VIEW THE FULL LIST OF HESELB LOAN ALLOCATED  CANDIDATE CLICK HERE OR USE CLICK ON THE EMBEDDED DOCUMENT BELOW


Share:

Tuesday, 24 October 2017

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE OCTOBER TAREHE 24.10.2017



Share:

Monday, 23 October 2017

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPATA MKPO CHUO CHA MAJI UBUNGO-DIPLOMA 2017/2018

SELECTED LOAN BENEFICIARIES OF RTWTF FOR ACADEMIC YEAR 2017/2018 20th OCTOBER 2017

SELECTED LOAN BENEFICIARIES OF RTWTF FOR ACADEMIC YEAR 2017/2018
20th OCTOBER 2017
The Board of the Registered Trustees of Water Technicians Fund (RTWTF) hereby wishes to inform all loan applicants that by applying and meeting the loan allocation criteria, ninety six (96) applicants have been selected to be beneficiaries of the loan for the academic year 2017/2018.
The selection process was very strict due to large number of applicants and limited available fund. The Board likewise disqualified some of the applicants for not adhering to the instructions laid in the form as well as not putting either valid certificates or the required attachments. The board went further to verify the information provided by applicants. List of loan beneficiaries can be found HERE
Share:

HESLB:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO CHUO KIKUU MWENGE 2017/2018

LOANS ALLOCATION FOR FRESHERS 2017-18 ACADEMIC YEAR AT MWENGE CATHOLIC UNIVERSITY


ALLOCATION FOR  FRESHERS 2017-18 ACADEMIC YEAR AT MWENGE CATHOLIC UNIVERSITY   
The HESLB has allocated Loans to the following Mwenge Catholic University new students. They are required to report to the University as soon as possible in order to get registration numbers for final processing of their loans.
Share:

Sunday, 22 October 2017

NACTE:TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUFUNGULIWA KWA MFUMO WA UHAKIKI WA TUZO (AWARD VERIFICATION SYSTEM) ZA STASHAHADA


 

BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI 

(NACTE)

 
Share:

Saturday, 21 October 2017

MAJINA YA WATU WALIOPATA KAZI/AJIRIWA TRA OCTOBER 2017

KUONA MAJINA YA WALIOPATA KAZI

Share:

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO SUA BATCH 1 2017/2018

Share:

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI OCTOBER TAREHE 21.10.2017


Share:

Friday, 20 October 2017

TAARIFA RASMI KUHUSU MATOKEO DARASA LA SABA 2017

Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde amesema watahiniwa 662,035 kati ya 909,950 waliofanya mtihani huo wamefaulu kwa kupata alama 100 au zaidi kati ya alama 250 wanazopaswa kupata.

Dk Msonde amesema kati ya waliofaulu, wasichana ni 341,020 ambao ni sawa na asilimia 70.93 na wavulana ni 321,015 sawa na asilimia 74.80 .

Amesema idadi ya watahiniwa waliofaulu ni sawa na asilimia 72.76.

Dk Msonde amesema mwaka 2016 watahiniwa waliofaulu walikuwa asilimia 70.36, hivyo kuna ongezeko la ufaulu kwa asilimia 2.40.

Katibu Mtendaji huyo amesema ufaulu katika masomo ya Kiswahili, Kiingereza na Hisabati umepanda kwa asilimia kati ya 4.25 na asilimia 10.05 kulinganishwa na mwaka 2016.

"Kwa masomo ya Sayansi na maarifa ya jamii ufaulu umeshuka kwa asilimia kati ya 3.56 na asilimia 13.97 kulinganisha na mwaka 2016.

"Watahiniwa wamefaulu zaidi katika somo la Kiswahili ambalo ufaulu ni asilimia 86.86 na somo walilofaulu kwa kiwango cha chini zaidi ni Kiingereza, lenye ufaulu wa asilimia 40.30," amesema Dk Msonde.

Katibu Mtendaji, Dk Msonde amezitaja shule 10 bora kitaifa kuwa ni; 
St Peter iliyopo Kagera, St Severine (Kagera), Alliance (Mwanza), Sir John (Tanga), Palikas (Shinyanga), Mwanga (Kagera), Hazina (Dar es Salaam), St Anne Marie (Dar es Salaam), Rweikiza (Kagera) na Martin Luther (Dodoma).

Amezitaja shule 10 ambazo hazikufanya vizuri kuwa ni; 
Nyahaa ya Singida, Bosha (Tanga), Ntalasha (Tabora), Kishangazi (Tanga), Mntamba (Singida), Ikolo (Singida), Kamwala (Songwe), Kibutuka (Lindi), Mkulumuzi (Tanga) na Kitwai A (Manyara).

Aliitaja mikoa iliyoongoza kitaifa kuwa ni;
Dar es Salaam, Geita, Kagera, Iringa, Kilimanjaro, Njombe, Arusha, Mwanza, na Katavi.

Dk Msonde amesema mikoa iliyofanya vibaya ni;
Singida, Tanga, Tabora, Songwe, Lindi na Manyara.


Kwa matokeo zaidi tembelea hapa====> MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA (PSLE) 2017
Share:

NECTA:HAYA HAPA MATOKEO DARASA LA SABA 2017

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

PSLE-2017 EXAMINATION RESULTS



ANGALIA MATOKEO YAKO KWA KUBONYEZA MKOA WAKO HAPO CHINI,





























Share:

BREAKING NEWS:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO KUPITIA TAASISI YA TSSF-( Tanzania Social Support Foundation)


KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOFANIKIWA KUPATA MKOPO

Share:

Thursday, 19 October 2017

AUDIO | Rayvanny - TABIA | Download


Share:

VIDEO | Harmonize - Nishachoka | Watch/Download



Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger