MPORTANT NOTE TO ALL SELECTED APPLICANTS
All selected applicants are required to read, understand and abide by these instructions .
JOINING INSTRUCTION FOR 2017/2018 ACADEMIC YEAR
FIRST BATCH OF STUDENTS SELECTED TO JOIN UNDERGRADUATE DEGREE PROGRAMMES FOR ACADEMIC YEAR 2017/20...
University of Dar es Salaam | UDSM UNDERGRADUATE DEGREE SELECTION STATUS FOR THOSE APPLIED AT UDSM DURING FIRST ROUND 2017/18
THOSE APPLIED AT UDSM DURING FIRST ROUND :
This is for applicants who applied During the first round
Your are advised to log in to your UDSM admission account by...
LIST OF SELECTED APPLICANTS TO JOIN VARIOUS DEGREE PROGRAMMES (2017/2018)
The list of selected Applicants to join various Degree
programmes at Ruaha Catholic University ONLY. Click the link to view the
particular list
KUYAONA MAJINA HAYO BONYEZA HAPO>>>>>>>HAYA HAPA MAJINA---PDF...
UHAMISHO WA WATUMISHI MSM SEPTEMBER 2017
Uhamisho chunya songea watumishi wote SEPTEMBER 2017
Watumishi wa Idara ya Afya Waliohamishwa SEPTEMBER 2017.pdf
MAJINA YA WATUMISHI WALIOHAMISHWA SEPT201...
RAIS John Magufuli amesisitiza azma yake ya kujenga Tanzania mpya,
kwa kutangaza ajira 3,000 katika Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ),
ujenzi wa reli ya kisasa ya umeme kipande cha Morogoro hadi Dodoma na
yeye kuhamia Dodoma mwakani.
Alisema hayo kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha jana,
baada ya kutunuku Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi wapya 422 wa jeshi wa
cheo cha Luteni...
Uhakiki wa Udahili wa Wanafunzi wanaotarajia kujiunga kwenye vyuo vya Serikali, Afya na Ualimu
Umekamilika, Unaweza kuangalia matokeo ya uchaguzi huu kupitia kwenye kurasa binafsi
kwa kubofya hapa, Mfumo utafunguliwa tena hivi karibuni kuruhusu awamu ya pili kwa waombaji wapya
na wale wenye sifa lakini hawakuchaguliwa....
Hapo jana Tume ya vyuo Vikuu Tanzania TCU iliitisha vyombo vya habari na kuamua kuzungumzia swala zima la udahili kwa wanafunzi wa kidato cha sita mwaka huu 2017/2018.
Kaimu katibu Mkuu Nacte alisema Tume imetekeleza agizo la kuawataka wanafunzi waombe vyuo wanavyotaka wenyewe ambapo hapo nyuma ilibainika kuwamba TCU walikuwa wakiwapangia wanafunzi vyuo.
Jumla ya wanafunzi 70,550 wamepata...