Kindly
view the link below and download Selected Candidates to Join The
Institute of Rural Development Planning (IRDP) for Bachelor Degree
Programmes for Academic year 2016/2017
SELECTED CANDIDATES FOR BACHELOR DEGREE PROGRAMMES ACADEMIC YEAR 2016/201...
Monday, 3 October 2016
TAARIFA MUHIMU KWA WANAFUNZI AMBAO HAWAJAHAKIKI MAJINA YA MIKOPO YAO CHUO KIKUU MWENGE 2016
All MWECAU students who failed to show up for HESLB verification are
required to report to HESLB Offices by Monday 03/10/2016 to 05/10/2016;
failure to do so, they shall no excuse
Here is a list of some of unverified studen...
Waziri Nape azipiga MARUFUKU Simba na Yanga kutumia Uwanja wa Taifa
Baada
ya mashabiki wa Simba kuvunja viti vya uwanja wa taifa katika mchezo wa
Simba na Yanga uliopigwa Jumamosi na kumalizika kwa sare ya goli ya
moja kwa moja, serikali kupitia kwa Waziri wa Michezo, Nape Nnauye Imepiga marufuku uwanja wa taifa kutumika na timu...
Prof. Lipumba Ateua Wakurugenzi Wapya CUF
Licha
ya baadhi ya viongozi wa ngazi za juu wa Chama cha Wananchi (CUF) na wa
Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kutamka kutomtambua Profesa Ibrahim
Lipumba kama mwenyekiti wa CUF, Lipumba ameendelea kufanya shughuli za
chama hicho ambapo jana ameteua wakurugenzi wapya kwa...
Sunday, 2 October 2016
WATUMISHI WA SERIKALI WACHOMWA MOTO HADI KUFA WAKITUHUMIWA KUWA NI "WANYONYA DAMU" HUKO IRINGA MVUMI DODOMA

MNAMO TAREHE 01/10/2016 MAJIRA YA SAA 12:30 HUKO KIJIJI CHA IRINGA MVUMI
KATA YA IRINGA MVUMI TARAFA YA MAKANG'WA WILAYA YA CHAMWINO MKOA WA
DODOMA.
GARI NAMBA STJ 9570 AINA YA TOYOTA HILUX DOUBLE KEBEN MALI YA KITUO CHA
UTAFITI WA UDONGO NA MAENDELEO YA ARDHI CHA SELIAN ARUSHA,...
Waziri Mkuu Ashangazwa Na Kodi Kubwa Soko La Dodoma,Aagiza Baraza La Madiwani Lipitie Upya Na Kumpa Majibu

WAZIRI
MKUU Kassim Majaliwa ameliagiza Baraza la Madiwani la Manispaa ya
Dodoma lifanye marekebisho ya kodi inayotozwa kwenye soko la Majengo
ambayo imepandishwa kutoka sh. 20,000 hadi sh. 150,000 kwa mwezi.
Amesema
anatambua maamuzi ya Baraza ni ya kikao...
Saturday, 1 October 2016
Breaking News:BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU YATANGAZA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOKOSEA KUJAZA FORM ZA MIKOPO 2016/2017
NOTICE TO LOAN APPLICANTS TO CORRECT NECESSARY INFORMATION
During the exercise of processing 2016/2017
loan application forms, the Board has come across loan applications
which are missing some vital information such as applicant’s and
guarantor’s signatures. For that reason, the Board...