Picha ambayo imepigwa na Dimpoz ni picha ya video ambayo wanaonekana wanazungumza kitu lakini sauti ya video hiyo imezimwa (mute) so wakati tunasubiri Ommy Dimpoz mwenyewe atuambie walichokuwa wanazungumza ninayo hiyo video mtu wangu ambayo Ommy Dimpoz kapost kwenye akaunti yake ya Instagram.
Kwenye post zake Ommy Dimpoz ameonekana akila raha sehemu mbalimbali za Ibiza,mahali ambako mastaa wengi wa Dunian hutembelea kwa ajili ya mapumziko.