Tuesday, 31 May 2016

TANGAZO KUTOKA JKT : MABADILIKO YA TAREHE YA KURIPOTI KATIKA MAKAMBI YA JKT KWA VIJANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2016.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


TANGAZO

MABADILIKO YA TAREHE YA KURIPOTI KATIKA MAKAMBI YA JKT KWA VIJANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2016.

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) linautangazia umma mabadiliko ya tarehe ya kuripoti makambini vijana wote waliohitimu kidato cha sita mwaka 2016 na kuchaguliwa kujiunga na mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kwa mwaka 2016.

Taarifa ya awali kwa vyombo vya habari nchini ilianisha tarehe ya kuripoti kuwa ni tarehe 01 June hadi tarehe 05 Juni 2016. Tarehe hiyo imeafanyiwa mabadiliko badala yake vijana hao wanatakiwa kuripoti katika makambi ya JKT waliyopangiwa kuanzia tarehe 07 June hadi tarehe 10 June 2016 bila kukosa.

Atakayesikia tangazo hili amtaarifu na mwezie.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Makao Makuu ya JKT
Tarehe 31 Mei 2016

Share:

BREAKING NEWS:HII HAPA NYONGEZA YA MAJINA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA 2016.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


NYONGEZA YA MAJINA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA 2016.

VIJANA WAFUATAO WAMEONGEZWA KUHUDHURIA MAFUNZO YA JKT KATIKA MAKAMBI MBALIMBALI KAMA INAVYOONEKANA HAPO CHINI.
PIA BAADHI YA VIJANA WAMEHAMISHWA MAKAMBI KUTOKANA NA SABABU MBALIMBALI
WARIPOTI KWENYE MAKAMBI KAMA INAVYOONEKANA  HAPA CHINI KABLA YA TAREHE 05 JUNI 2016.

S/NOJINASHULEKIKOSI
1 ABDILLAH RAMADHANI HAJI LILIAN KIBO MGAMBO JKT
2 ABDUL M. MTEKETA BENJAMIN WILLIAM MKAPA MGAMBO JKT
3 ABDULAZIZ SALUM AHMAD PIUS SEC.SCHOOL MARAMBA JKT
4 AGNES PETER MAGANGA FLORIAN SEC RUVU JKT
5 AGNESS EMMANUEL KITANDU ST. MARY GORETI RUVU JKT
6 AGNESS PETER MAGANGA MARAMBA JKT
7 AJUAE DAVIS AMINIELI KANEMBWA JKT
8 ALEX MLOSO BINZA HIGH SCHOOL MARAMBA JKT
9 ALFRED AIDAN MBANO KIGONSELA HIGH SCHOOL RUVU JKT
10 ALLY KAFERA ALLY MBEZI BEACH SEC. KANEMBWA JKT
11 ALVIN ISMAEL MAKUNDI ST JOSEPH CATHEDRAL HIGH SCHOOL RUVU JKT
12 AMBWENE FRANK MWAKANEMA UWEMBA SEC MARAMBA JKT
13 AMOS ASEGE NSUMBA RUVU JKT
14 AMOS KINGU OLD MOSHI SEC MARAMBA JKT
15 ANNA JORAM TIMBA ROSMIN SEC.SCHOOL RUVU JKT
16 ANNA M. JANUARY CHIEF IHUNYO SEC SCHOOL MSANGE JKT
17 ANTIA PANCRAS KAKWERA KIFUNGIRO HIGH SCHOOL RUVU JKT
18 AVITUS MUSHABI BAGAMOYO SEC. RUVU JKT
19 BEATRICE BONFACE MAZINDE JUU MARAMBA JKT
20 BEAUTNESS JOHN NJAU ASHIRA SEC. RUVU JKT
21 BENJAMIN STEPHEN NYANDA MWENGE HIGH SCHOOL RUVU JKT
22 BERNADINAH T. MAYOMBYA BAOBAB SEC. SCHOOL RUVU JKT
23 BIBIANA CLETUS NJOKHA DODOMA SEC. SCHOOL RUVU JKT
24 BONIFACE DEOGRATIUS KWIRO SEC SCHOOL RUVU JKT
25 BONIFACE JOHN NDANDA SECONDARY SCHOOL RUVU JKT
26 BRENDA JOHN BABU VISITATION BETHEL GIRLS MARAMBA JKT
27 BUNURI JUMA ST. MARY GORETI RUVU JKT
28 CALISTER MKOLO RUVU GIRLS HIGH SCHOOL RUVU JKT
29 CAROLINE HENRY KABOGO MARAMBA JKT
30 CAROLINE SOSTHENES MAHERI JITEGEMEE RUVU JKT
31 CECILIA MPEMBA BAOBAB SEC. SCHOOL RUVU JKT
32 CLEMENCE GWINO OVERLAND HIGH SCHOOL RUVU JKT
33 COSTANTINE PETER NSUMBA SEC RUVU JKT
34 DANIEL BENEDICT MASHIKU MAKIBA SECONDARY MAKUTOPORA JKT
35 DAVID L. MARIBA RUNZEWE HIGH SCHOOL RUVU JKT
36 DAVID R. MKUMBO WAJA BOYS SEC. RUVU JKT
37 DENIS G SADALA TOSA MAGANGA MARAMBA JKT
38 DEOUS SILIVESTA LUBINGA BAGAMOYO SEC. RUVU JKT
39 DIALO MNYUKI NDANDA SECONDARY SCHOOL MAFINGA JKT
40 DICKSON JOCTAN MATOGO ALPHA SECONDARY MARAMBA JKT
41 DONAT ERENEST MAJALA ILIBORU SEC SCHOOL MAKUTOPORA JKT
42 DONATH ERNEST MAJALA ELBORU SEC. MAKUTOPORA JKT
43 DORCUS DEOGRATIUS JANGWANI RUVU JKT
44 EDDAH SAUL ASWILE TUSIIME HIGH. RUVU JKT
45 EDWARD MMBARA MKIZU PIUS SEC.SCHOOL MARAMBA JKT
46 ELAIN DIDAS MUTABINGWA TUSIIME SEC. RUVU JKT
47 ELIAN E. NGONDO JITEGEMEE HIGH RUVU JKT
48 ELINAZI YOAZ MSUYA KALIUA SECONDARY RUVU JKT
49 ELIZABETH DANIEL KIYABO MASWA GIRLS SECONDARY MGAMBO JKT
50 ELIZABETH MWAKITEGA BWAWANI HIGH SCHOOL RUVU JKT
51 ELVIS MAHENGE SIMON SWILA SEC. RUVU JKT
52 EMMA A. KILONZO BAOBAB SEC. SCHOOL RUVU JKT
53 EMMANUEL PHILIPO MASECHU SEC. MGAMBO JKT
54 EVELYNE SCARION JANGWANI SEC. SCHOOL RUVU JKT
55 EZEKIEL KWAKA MSESE BWIRU SEC. RUVU JKT
56 FABE MAGNUS NGONYANI MAKUTOPORA JKT
57 FANUEL VICTOR KISIRI MINAKI SEC. SCHOOL RUVU JKT
58 FELICIAN PASCHAL ULAYA RUVU JKT
59 FESTO MWAKAYO LOYOLA HIGH SCHOOL RUVU JKT
60 FRANCES MASHAKA LUJAJI CONSOLATHA SEM. RUVU JKT
61 FRODIANUS FIDERI KARATU SECONDARY SCHOOL RUVU JKT
62 GABRIEL PATRICK LWESYA TUSIIME SEC. MLALE JKT
63 GAUDENSIA MOHAMED MWALUNGWE LUGOBA SEC. MAKUTOPORA JKT
64 GEORGE STANSLAUS SHAYO ST. MATHEW SECONDARY RUVU JKT
65 GEORGIA ISHENGOMA MBEYA DAY SEC. RUVU JKT
66 GERVAS PASCHAL KIHANGA TUSIIME SEC SCHOOL RUVU JKT
67 GETRUDE J. MASIMBANI OVERLAND HIGH SCHOOL RUVU JKT
68 GIFTI A. LUGOME KIBITI SECONDARY MARAMBA JKT
69 GLORIA ALBERT MARINGO ST.CHRISTINA RUVU JKT
70 GODFREY CHRISTIAN ROEBERT ST GASPER MSOLWA RUVU JKT
71 GOODLUCK JOHN WILLSON JITEGEMEE MGAMBO JKT
72 GREEN EUSTAD KIRAENI GIRLS RUVU JKT
73 GROLIA GODWIN KAHWA MKOLANI SECONDARY SCHOOL MAFINGA JKT
74 HAJI SHEMHILU UWATA SEC. RUVU JKT
75 HAPPINESS MGURU IFAKARA SEC. RUVU JKT
76 HARRISON DAVID MRANGO ALPHA SECONDARY RUVU JKT
77 HASSAN RAJABU NJAU LYAMUNGO SEC. SCHOOL RUVU JKT
78 HAWA ISSA MDENG'O PIUS SEC.SCHOOL MARAMBA JKT
79 HAWA ISSA MDENG'O PIUS SECONDARY SCHOOL MARAMBA JKT
80 HERI MOHAMED MKUMBEGE TUSIIME SEC.SCHOOL RUVU JKT
81 HERIETH MAHENGE ST. CHRISTINA SEC. SCHOOL RUVU JKT
82 HINDU HAMIS MRISHO BAOBAB SEC. RUVU JKT
83 IBRAHIM ABDALLAH PUGU SEC RUVU JKT
84 IELEEN DIDAS MUTABINGWA TUSIIME SEC. RUVU JKT
85 IMELDA IGNAS MBUNDA JANGWANI SEC. SCHOOL MAKUTOPORA JKT
86 INZARI CHARLES LUGUTU BENJAMIN WILLIAM MKAPA HIGH SCHOOL BULOMBORA JKT
87 IRENE KYENKUNGU ROLETO GIRLS RUVU JKT
88 JACKLINE ADAM LEYNA KOROGWE GIRLS MGAMBO JKT
89 JACKLINE HERBET STEWARTH UWEMBA SEC MARAMBA JKT
90 JACKSON LUPAKISYO MWAIPUNGU TUSIIME SEC. RUVU JKT
91 JAFARI S. JAFARI VUDOI HIGH SCHOOL RUVU JKT
92 JANE MGINJA MTIMBA IKUNGI HIGH SCHOOL RUVU JKT
93 JANETH FORTUNATUS WAMBURA LOLEZA HIGH SCHOOL RUVU JKT
94 JANETH V. KILONZO BAOBAB SEC. SCHOOL RUVU JKT
95 JAPHET MASOTA UWEMBA SEC MARAMBA JKT
96 JASMIN MARTIN KIBASILA SEC. SCHOOL RUVU JKT
97 JASMIN MARTIN SHAYO KIBASILA SEC MARAMBA JKT
98 JASMINE RASULI TENDE GIRLS HIGH RUVU JKT
99 JASON STEVEN MINAKI SEC RUVU JKT
100 JIDIRU IZADINI KALOKOLA TARIME SEC. RUVU JKT
101 JOHANITHA JOHN NATTA GIRLS SCHOOL MAFINGA JKT
102 JOHNSON JONATHAN JOHN KIBITI HIGH RUVU JKT
103 JORAM MBOMA JONATHAN MAGUFURI HIGH RUVU JKT
104 JOSEPH E. JOHNSON LYAMUNGO SECONDARY SCHOOL MARAMBA JKT
105 JOSEPH REGNALD TUNGALAZA JITEGEMEE SEC. SCHOOL RUVU JKT
106 JOSEPH TARIMO MAJENGO HIGH SCHOOL RUVU JKT
107 JOSEPHINE BONIFACE MHANDO TUSIIME HIGH SCHOOL RUVU JKT
108 JUENI MALIJANI KIGONSELA HIGH SCHOOL RUVU JKT
109 JUSTINE REGNALD MAKENE STAR HIGH SCHOOL RUVU JKT
110 KELVIN GEDION LEMNGE MWIKA SECONDARY MARAMBA JKT
111 KHADIJA E. KALONGA TUSIIME SEC. RUVU JKT
112 KIBIBI HASAN JAMBIA MBEZI BEACH MARAMBA JKT
113 LAULENCIA ENGITRAUDA UWEMBE SECONDARY 842KJ
114 LEAH THOMAS MTWEVE TINDE GIRLS RUVU JKT
115 LILAN HENRY CASTORY IRINGA GIRLS SEC. SCHOOL MAKUTOPORA JKT
116 LILIAN KANG'WA MASANJA ST CHRISTINA HIGH SHOOL RUVU JKT
117 LUCIA JORAM TIMBA WERUWERU SEC. SCHOOL RUVU JKT
118 LUGENDO LUCAS CHAPUGA JITEGEMEE SEC. SECONDARY RUVU JKT
119 MARIAM M. JUMA MASWA GIRLS HIGH SECONDARY SCHOOL RUVU JKT
120 MARIAM WAMBURA CHIEF IHUNYO SEC SCHOOL MSANGE JKT
121 MARIAMU S LIPENDE MTWARA TECH MAKUTOPORA JKT
122 MARKO MICHAEL KASONI ST. ANTHONY RUVU JKT
123 MARTIN EWALD MALYAWERE KISARIKA HIGH SCHOOL RUVU JKT
124 MARTINA GEORGE MWAILUSI ZANAKI HIGH SCHOOL RUVU JKT
125 MARY ANTHONY MASSAWE JITEGEMEE SEC. SECONDARY RUVU JKT
126 MARY I MREMA DAKAWA HIGH SCHOOL MAKUTOPORA JKT
127 MASTERBETTER JOHN RUVU GIRLS HIGH SCHOOL RUVU JKT
128 MATHIAS BAHATI ORESTI ST. MATHEW MAKUTOPORA JKT
129 MESHACK MARTIN LYIMU PIUS SEC.SCHOOL MARAMBA JKT
130 MESHACK MARTIN LYIMU PIUS SECONDARY SCHOOL RUVU JKT
131 MICHAEL DEOGRATIUS NJAU LWANDAI HIGH SCHOOL MGAMBO JKT
132 MIRIAM M. JUMA MASWA GIRLS SECONDARY SCHOOL RUVU JKT
133 MUSSA KALUME AGUSTINE GEITA SEC. RWAMKOMA JKT
134 MUSSA S. MAIGE SHINYANGA SEC SCHOOL RUVU JKT
135 MWAMINI KADUMA TAMBAZA RUVU JKT
136 NAISHOOKI WILBERT OLE-MBILE LOYOLA HIGH SCHOOL RUVU JKT
137 NAOMI ENMANUEL LEKASHINGO ST.MARY GORETI SECONDARY SCHOOL MARAMBA JKT
138 NASRA NURDIN YUSSUPH BABRO JOHNOSON RUVU JKT
139 NEEMA JAMES MANYAMA BAOBAB SEC. RUVU JKT
140 NEEMA MAIKO MASAGASI CORNERSTONE SEC. RUVU JKT
141 NEEMA MSUYA JITEGEMEE HIGH SECONDARY RUVU JKT
142 NESTARY AGATHON NDUNGURU MAKITA SEC. MAFINGA JKT
143 NESTARY AGATON NDUNGURU MKITA SEC.SCHOOL MAFINGA JKT
144 NICODEMO JACOB MUSOMA SEC RUVU JKT
145 NOEL JAMES MWAKISOMBE MINAKI HIGH SCHOOL RUVU JKT
146 NORBERT NOEL GALONOS SECONDARY SCHOOL KANEMBWA JKT
147 NUSRAT ZAKARIA OVERLAND HIGH SCHOOL RUVU JKT
148 OCTAVIAN BUBERWA KILOSA SECONDARY SCHOOL RUVU JKT
149 OMARI DIWANI OMARI KISIMIRI HIGH SCHOOL RUVU JKT
150 OMARY MAKOTA ALLY MBEZI BEACH SEC. KANEMBWA JKT
151 PAUL KATUNZI LYAMUNGO SECONDARY SCHOOL MSANGE JKT
152 PRISCILA WENDE MGANA CANONNOSA HIGH SCHOOL MAKUTOPORA JKT
153 PROJESTUS H.CHAMAHANGA USAGARA SEC RUVU JKT
154 RACHEL DAVID ISSAME CANNASSA HIGH SCHOOL RUVU JKT
155 RACHEL DAVID ISSAME CANNOSA HIGH SCHOOL RUVU JKT
156 RACHEL RAYMOS FOYA MSUFINI HIGH SCHOOL RUVU JKT
157 RAHEL FESTUS ISOKOZA VWAWA SEC.SCHOOL RUVU JKT
158 RAMADHANI ALLY NJERA NYARUBANDA SEC RUVU JKT
159 RAMADHANI MBWAMBO SAME HIGH SCHOOL MARAMBA JKT
160 RAMADHANI RAJABU RAMADHANI BAGAMOYO HIGH SCHOOL RUVU JKT
161 RAMADHANI RAJABU RAMADHANI BAGAMOYO HIGH SCHOOL RUVU JKT
162 RECHO DANIEL MWALIMU INABOISHU HIGH SCHOOL MAKUTOPORA JKT
163 REHEMA DEUS RUBALE JITEGEMEE SECONDARY RUVU JKT
164 REHEMA SHAWARI IKAJI CANNOSA HIGH SCHOOL MARAMBA JKT
165 REMIDIUS REYMOND MUTA TUSIIME SEC SCHOOL RUVU JKT
166 RETISIA SAANANE ST.JOSEPH SEMINARY SEC RUVU JKT
167 RIDHIWANI SHABANI MAKUMBI MWINYI HIGH SEC MGAMBO JKT
168 RISHAD KIHOMO MLELWA BAOBAB SEC. SCHOOL RUVU JKT
169 ROGERS JOHN EZEKIEL IGUNGA HIGH SCHOOL RUVU JKT
170 ROMAN CASTORY KILOSA HIGH SCHOOL RUVU JKT
171 ROSEMARY T. MASIAGA CHIEF IHUNYO SEC SCHOOL MSANGE JKT
172 SADICK HASHIM MWAISAKA LYAMUNGO SEC. SCHOOL RUVU JKT
173 SAIMON P. SOZIGWA ENABOISHU SECONDARY MARAMBA JKT
174 SALA A. MWAKAJWANGA MILUNDIKWA SEC SCHOOL RUVU JKT
175 SALEHE MACHIBYA JONIOR ST.METHEW MGAMBO JKT
176 SALMIN AMRI KIGONSERA SECONDARY MARAMBA JKT
177 SALOME AMOS OVERLAND HIGH SCHOOL RUVU JKT
178 SALOME SHITUNGURU ST.JOSEPH SEMINARY SEC RUVU JKT
179 SHUKRANI MWAIPWISI SONGES SECONDARY SCHOOL MAFINGA JKT
180 SIMON P. SOZIGWA ENABOISHU SEC RUVU JKT
181 SOLINA SABAS RUVU HIGH SCHOOL RUVU JKT
182 SOPHIA DEUS RUBALE RUVU SECONDARY RUVU JKT
183 SOPHIA S. MATHIAS MAWENZI SEC. MARAMBA JKT
184 STEPHEN F. NDALUSE LUGUFU BOYS SEC.SCHOOL RUVU JKT
185 STIVEN NDALUSO LUGUFU HIGH SCHOOL RUVU JKT
186 SUSAN PATRICK MNASIZU ALLIANCE GIRLS RUVU JKT
187 SWEED IDD ALFA HIGH SCHOOL RUVU JKT
188 TATU HAMAD HATIBU MOROGORO SEC RUVU JKT
189 TATU JUMA MYOVELA MANYUNYU GIRLS MARAMBA JKT
190 TOMESTECLES H.CHAMAHANGA KIGONSELA SEC RUVU JKT
191 TUMAINI JOHN MAKUNENGE KAWAWA SECONDARY BULOMBORA JKT
192 TUMPALE JAPHET OVERLAND HIGH SCHOOL RUVU JKT
193 VAILET GEORGE SIMBA KIBONDO GIRLS HIGH RUVU JKT
194 VALERIAN VEREMUND CHARLE KOROGWE GIRLS MAFINGA JKT
195 VERONICA CASMIR NDAMBARIKA RUVU GIRLS MAKUTOPORA JKT
196 VERUS THOBIAS KASONSO ST. ANNE MARIE RUVU JKT
197 VERUS TOBIAS KASONSO ST ANNE MAKIE DSM RUVU JKT
198 VICTOR DAUDI ANYASIME MARIAN BOYS RUVU JKT
199 VICTOR L. AMBELE MBALIZI SEC. RUVU JKT
200 VICTORY HENRY MARIAN BOYS SCHOOL RUVU JKT
201 WALTER FRUGENCE SAMKY OVERLAND HIGH SCHOOL RUVU JKT
202 WILLIAM OSIAS MWANYIKA TUSIIME SEC SCHOOL RUVU JKT
203 WILLIAM PATRICK ASSEY BENDEL MEMORIAL ACADEMY MGAMBO JKT
204 YASSER HAMAD MALESA JITEGEMEE HIGH SEC MARAMBA JKT
205 ZAMDA MWALIMU KOROGWE GIRLS MAKUTOPORA JKT
Share:

MPYA;TAARIFA YA MKOPO KWA WANAFUNZI WA ST.JOSEPH WALIOHAMISHIWA VYUO MBALIMBALI BAADA YA SERIKALI KUFUNGA CHUO CHAO 2016

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Image result for BODI YA MIKOPO\
HIGHER EDUCATION STUDENTS’ LOANS BOARD
NOTICE ON DISBURSEMENT OF LOANS TO STUDENTS TRANSFERRED
FROM THE SAINT JOSEPH UNIVERSITY IN TANZANIA (SJUIT)
WHO WERE EARLIER SUSPENDED FROM STUDIES

The Higher Education Students’ Loans Board wishes to inform Higher Education
Institutions, Students and the Public that it is aware of students transferred from
the St. Joseph University in Tanzania to other institutions. In view of the above,
the Board is in a process of analysing names of transferred students who had
earlier on been suspended from studies and the lists of deserving/eligible
students will be sent to respective institutions. Therefore, the Board wishes to
inform all stakeholders that it’s now finalising processes of analysis and
disbursement of loans to the concerned students, which are expected to be
completed in one week timeframe from today. Please, be so informed.
Issued by:
Acting Executive Director
Higher Education Students’ Loans Board
Share:

MPYA:DIAMOND PLATNUMZ AONYESHA BASTOLA YAKE HADHARANI,HII HAPA IANGALIE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
The CEO of Wasafi Records, Diamond Platnumz, has now joined the list of celebrities who are believed to be walking around with guns.
Well this comes days after he shared a photo on his gram posing with a gun in what looks like a photo studio.
This has left many wondering whether he is a licensed gun holders or he was just posing with it for fun and giggles.
Share:

SUA:TechTalent Initiative Launch, July 22, 2016

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 Image result for SUANET.AC
The purpose of TechTalent is to bridge the gap between research findings, innovation, and commercialization. TechTalent will provide would-be innovators with training, coaching, and networking to bring their ideas, prototypes, and technologies to markets, thereby opening up new opportunities for entrepreneurship and employment for Tanzanian youth.
The launch program will include an opening of the TechTalent space which has been designed to harness the talent and energy of youth in agriculture to develop solutions to the challenges of smallholder farmers. 
During the event, there will also be an Innovation Fair where young people, students, and SUA researchers will be encouraged to exhibit their products and prototypes.

The launch will take place on the SUA Main Campus at iAGRI on July 22, 2016  More details, Visit: http://iagri.org/innovation-portfolio/techtalent-initiative/
 
 
For more information about the launch of the TechTalent initiative, Contact
Dr. Maria Mullei (mullei@iagri.org) or
Prof. Amini Kweka (aminikweka@gmail.com).

Share:

MPYA:WANAFUNZI WA CHUO KIKUU UDSM WAANDAMANA ,KISA BOOM(AUDIO)

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Image result for UDSM 
[​IMG]

Kwa habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba wanafunzi wa chuo kikuu cha UDSM wamegoma kuingia madarasani kutokana na kucheweleshewa pesa yao ya mkopo.

Mmoja wa wanafunzi anaesoma chuoni hapo akiongea na MASWAYETU BLOG TEAM amesema kwamba ,Ni wiki ya kumi sasa.

Jana usiku wanafunzi hao walifanya maandamano wakidai chuo kiwalipe pesa yao,sio kuwasainisha kwa siku nyingi hadi leo hawajapata pesa yao.

Wanafunzi hao wamesema kwamba hadi sasa maisha ni magumu sana kutokana na kutokuwa na pesa hata ya kula na uongozi wa chuo umekaa kimya bila kuwapa taarifa yoyote.
DOWNLOAD AUDIO HAPA KUSIKILIZA RAIS WA CHUO AKIONGEA
>>>>>>>>DOWNLOAD
Share:

TAMISEMI: MAJINA YA UHAMISHO KIBALI MAALUM MEI,2016

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 
Share:

Kauli ya Serikali kuhusu wanafunzi 7802 wa UDOM waliorudishwa nyumbani

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

Wabunge wa Upinzani wametoka nje ya bunge kuonyesha kutokuwa na imani na Naibu Spika Tulia Ackson

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wabunge wa vyama vya upinzani leo wametoka nje kwa mara nyingine kupinga Naibu Spika Dk. Tulia Ackson kuendesha vikao vya Bunge na kumwachia Bunge yeye na wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Taarifa kutoka Bungeni zinaeleza kuwa, wabunge wote wa upinzani wametoka nje kususia kikao cha Bunge ikiwa ni kutekeleza azimio lao la kutokuwa na imani na Dk Tulia.

Baada tu ya kusomwa dua ya kufungua Bunge asubuhi wabunge hao wametoka nje na kumwacha Dk. Tulia akiwa na wabunge wa CCM pekee.

Hata hivyo Dk. Tulia ameanza kupaniwa na wapinzani tangu jana. Ni kwa madai kuwa wapinzani hawamwamini tena.

Wameeleza kuwa, namna anavyoliongoza Bunge, kauli zake na kuyumba kwake katika kusimamia haki kwa wabunge wa Ukawa na wale wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumechochea kuonekana kuwa, nafasi aliyonayo haimstahili.

Kutokana na hali hiyo, Freeman Mbowe ambaye ni Kiongozi Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni jana aliahidi kuanzisha mgomo dhidi ya Dk. Tulia.

Mbowe aliwaambia hayo wabunge wenzake mjini Dodoma kwenye kikao cha dharura alichoitisha na kushirikisha waandishi wa habari.

Alisema, Dk. Tulia ndio tatizo kuu la Bunge la Kumi na Moja na kwamba, kiongozi huyo wa Bunge kila anapokuwa kwenye kiti na kuongoza Bunge, mtafaruku hutokea.

“Nitapendekeza kuwa kila kikao cha Bunge kinachoongozwa na Tulia Ackson, sote tutoke nje ili kuonesha kwamba hatuna imani naye katika kuendesha shuguli za bunge,” Mbowe alisema jana.

Utekelezwaji wa kauli ya Mbowe umeanza leo ambapo sasa Dk. Tulia amebaki na wabunge wa CCM pekee.
Share:

Vurugu ndani ya Bunge za sababisha Zitto, Mdee, Lissu kusimamishwa kuingia Bungeni

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Bunge -16

Wabunge wa upinzani, Tundu Lissu na Esther Bulaya wamesimamishwa kutoshiriki shughuli za bunge kwa mikutano miwili ya bunge hilo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na kung’ang’ania kurushwa matangazo ya moja kwa moja ya bunge hilo.

image

Adhabu hiyo iliyotolewa jana jioni bungeni mjini Dodoma inamaanisha kuwa wabunge hao hawataingia bungeni hadi mwaka 2017.

“Mimi na Halima tunasimamishwa shughuli za bunge mpaka mwezi Septemba,” alitweet Zitto ambaye ni mbunge wa Kigoma Mjini.

“Wabunge wote wa upinzani wamepewa onyo kali kwa kung’ang’ania kutoka bunge lioneshwe moja kwa moja na shirika la TBC.”

Wabunge wengine waliopewa adhabu na kamati ya maadili, haki na madaraka ya bunge ni Pauline Gekuli na Godbless Lema ambao hawatahudhuria vikao vyote vya mkutano wa tatu.

Mbunge John Heche amepewa adhabu ya kutoshiriki vikao 10 vya mkutano wa tatu.

image
image



Share:

Official VIDEO | JOTI - Malkia wa Nguvu[Linah's] | Watch/Download

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
https://youtu.be/3DsB5EKuXbM
Share:

Alicho kiandika Zitto Kabwe baada ya kutangazwa kusimamishwa vikao bungeni

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Haya ndiyo aliyoyaandika Zitto KABWE kupitia mtandao wake wa Twitter baada ya sakata la kusimamishwa  BUNGENI.



Share:

NACTE WAONGEZA MDA WA KUFANYA APPLICATION ZA VYUO KATIKA KOZI ZA AFYA,UALIMU,KILIMO,MIFUGO HADI TAR 3 JUNE 2016

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

EXTENSION OF APPLICATIONS FOR ADMISSION THROUGH CENTRAL ADMISSION SYSTEM (CAS)


 
THE NATIONAL COUNCIL FOR TECHNICAL EDUCATION
(NACTE)
PUBLIC NOTICE
EXTENSION OF APPLICATIONS FOR ADMISSION THROUGH CENTRAL ADMISSION SYSTEM (CAS)
This notice serves to inform the Public and applicants for admission that, the National Council for Technical Education (NACTE) has extended time up to 3rd of June, 2016 for applications of admission into Certificates, Diploma, Higher Diploma and Bachelor Degree offered by Technical Institutions for Academic year 2016/17.
This extension is made due to various challenges experienced by applicants while applying for admission in the recent days.
The Council is therefore encouraging all interested applicants to use extended time to apply and those who were registered to finish their applications to programmes choices.
Note that, there will be no further extension for application after the elapse of this set deadline.
ISSUED BY;
EXECUTIVE SECRETARY
30th May, 2016
Share:

Kudai Ajira Kwawaponza Wahitimu Wa JKT

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

WAHITIMU sita wa mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka matatu ikiwemo kufanya mkusanyiko usio halali na kushawishi wenzao kuandamana kwenda Ikulu kudai ajira, anaandika Faki Sosi.

Washtakiwa katika kesi hiyo ni George Mgoba, mwenyekiti wao; Parali Kiwango, makamu mwenyekiti; Linus Steven, katibu  wa umoja wa wahitimu hao na wahitimu wengine, Emmanuel Mwasyembe, Ridhiwani Ngowi na Jacob Mang’wita.

Akiwasomea mashtaka yao mbele ya Hakimu Mkazi, Respicius Mwijage, Wakili Mwandamizi wa Serikali, Benard Kongola amesema, washitakiwa hao wanadaiwa kwamba 15 Februari 2014 katika eneo la Msimbazi Centre, Ilala Dar es Salaam walipanga njama za kutenda makosa hayo.

Katika shitaka lingine watuhumiwa hao wanadaiwa kufanya mkusanyiko usio halali kwa lengo la kuandamana kwenda kwa Rais kulazimisha kupewa ajira katika utumishi wa umma, jambo ambalo ni kinyume cha sheria na kwamba, hatua hiyo ingesababisha uvunjifu wa amani.

Kwa upande wa mshitakiwa Mgoba, Kiwango na Steven, wanadaiwa siku hiyo katika eneo hilo, walishawishi wahitimu wenzao wa mafunzo ya JKT, kufanya maandamano kwenda kwa Rais kulazimisha wapewe ajira katika utumishi wa umma jambo ambalo ni kinyume cha sheria.

Washtakiwa hao wamepandishwa kizimbani ikiwa ni siku chache baada ya kesi dhidi yao kufutwa na kuachiwa Mei 26, mwaka huu kisha kukamatwa tena na leo kupandishwa mahakamani kwa mashtaka hayohayo.

Katika kesi ya awali iliyokuwa ikisikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi, Emilius Mchauru, tayari mashahidi saba walikuwa wameshatoa ushahidi mahakamani hapo huku akiwa amebakia shahidi mmoja tu ili kufunga ushahidi ndipo kesi hiyo ilipofutwa na watuhumiwa hao kukamatwa tena na kusomewa mashtaka hayo.

Watuhumiwa hao wamerudishwa rumande hadi kesi hiyo itakapotajwa tena Juni 9 Mwaka huu.
Share:

Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) Profesa Tunus Mgaya Aliyesimamishwa Kazi na Waziri wa Elimu Afunguka Mambo Mazito

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

ALIYEKUWA Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU), Profesa Tunus Mgaya amesema amesikitishwa na taarifa zilizoandikwa katika vyombo vya habari za kukosoa maamuzi ya serikali ya kuwasimamisha kazi kuwa hayakuzingatia sheria na kanuni zilizowekwa.

Mgaya ambaye hakuwa tayari kueleza kama taratibu za kusimamishwa kwao zilifuata utaratibu au la, amewataka waandishi wa habari kuwa na vyanzo vya uhakika katika habari zao.

“Mimi nikiwa miongoni mwa watendaji waliopumzishwa kazi, napenda kueleza kuwa sihusiki na taarifa hizo, suala hili limeshapita na kutolewa uamuzi na serikali na tuiache Tume iendelee kufanya kazi,” alisema Profesa Mgaya alipozungumza na waandishi wa habari jana mara baada ya kukabidhi ofisi.

Aidha, Profesa Mgaya aliweka wazi kuwa, anaunga mkono jitihada za Rais John Magufuli katika kuhakikisha kuwa watanzania wengi zaidi wanapata elimu ya msingi bure na kutolewa kwa elimu inayokidhi viwango stahiki kitaifa na kimataifa na kusema jambo hilo ni jema na linapaswa kuungwa mkono kwa nguvu zote.

Katika hatua nyingine, alimtaka Waziri wa Elimu, Sayansi,Teknolojia na Ufundi , Profesa Joyce Ndalichako kuendeleza jitihada za kuinua ubora wa elimu katika ngazi zote ili kuwa na taifa lenye watu walioelimika vizuri na lenye mchango mkubwa katika kuendeleza taifa
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger