Tuesday, 3 May 2016

MAGAZETI YA LEO JUMANNE MAY TAREHE 3.5.2016

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY ...
Share:

Monday, 2 May 2016

New Audio: Harmonize & Raymond - Penzi

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Downlo...
Share:

LEICESTER CITY NEW CHAMPIONS ENGLISH PREMIER LEAGUE .2015/2016

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY ...
Share:

TCU: List of Qualified and Disqualified SJUIT Students as at 2nd May 2016

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY List of Qualified and Disqualified SJUIT Students as at 2nd May 2016 <<CLICK HERE>> For More Information...
Share:

MAGAZETI YA LEO JUMATATU MAY TAREHE 2.5.2016

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY ...
Share:

Sunday, 1 May 2016

Sherehe za Mei Mosi : Rais Magufuli Ashusha Kodi ya Mapato Ya Mshahara (PAYE) Kutoka Asilimia 11 Hadi 9 ;

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli  ametangaza kushusha kodi ya mapato ya Mshahara ( Pay as you Earn -PAYE  )  kutoka asilimia 11 iliyopo sasa hadi asilimia 9. Rais amesema ameamua kuchukua umamuzi huo ili kutimiza ahadi...
Share:

Serikali Yaendelea Kuhakiki Madeni ya Walimu

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY WAZIRI wa Fedha na Mipango Mhe. Dakta Philip Mpango, ameliambia Bunge mjini DODOMA, jana tarehe 30, Aprili, 2016, kwamba serikali inaendelea kuhakiki madeni ya walimu yaliyowasilishwa kwaajili ya malipo baada ya kubaini kuwepo kwa udanganyifu kwenye baadhi ya madai hayo Alisema ...
Share:

Auawa na Mdogo wake Baada ya Kumfumania Akifanya Mapenzi na Mkewe

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Mkazi wa Mahembo Manyanda Manyilizu (40) ameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali kichwani na mdogo wake baada ya kumfumania akiwa na mkewe. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Dismas Kisusi alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi katika Kijiji cha...
Share:

Wabunge wa CCM Wakataa Bunge Kuonyeshwa LIVE,Wapinzani Waamua Kujirekodi Kwa Simu Zao

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Wabunge wa CCM jana waliibuka kidedea walipowazidi wenzao wa upinzani kwa kura za sauti “Siyooooo” kuikataa hoja ya kutaka matangazo ya Bunge kurushwa moja kwa moja ‘live’ na televisheni.  Hiyo ilitokea jana wakati Bunge lilipokaa kama kamati kupitisha bajeti...
Share:

Serikali kutumia shilingi bilioni 59.5 kuwezesha vijiji nchi nzima

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dokta Philip Mpango, amesema kuwa serikali imepanga kutumia shilingi 59.5bn kwaajili ya kuviwezesha vijiji nchi nzima katika kipindi cha mwaka fedha 2016/2017 Dokta Mpango, aliwaambia wabunge mjini Dodoma, jana tarehe 30, Machi,...
Share:

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akutana Na Viongozi Wa Mtandao Wa Vyama Vya Wazee Tanzania

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Mtandao wa Vyama vya Wazee Tanzania Ofisini kwake  bungeni mjini Dodoma  Aprili 29, 2016. Kushoto kwake ni Naibu Wziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoo, Dkt. Hamis Kigwangalla .(Picha...
Share:

Serikali Yaokoa Sh. Bilioni 15.4 za Mishahara HEWA Machi hadi Aprili 24

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Serikali imetangaza kuokoa kiasi cha Sh15.4 bilioni katika kipindi cha kuanzia Machi hadi Aprili 24 ambacho kingelipwa kwa watumishi hewa 8,236 ambao wamebainika hadi sasa. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, Angela Kairuki aliliambia Bunge jana kuwa kazi...
Share:

Tume ya Pamoja Kufuatilia Ziara ya Rais Magufuli Nchini Rwanda

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Kikao cha Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Rwanda kilichofanyika kuanzia tarehe 29 – 30 Aprili, 2016, kimekamilika Mjini Gisenyi, Rwanda, ambapo wataalam wa sekta mbalimbali wameazimia kuharakisha maeneo ya ushirikiano baina ya nchi hizi mbili.   ...
Share:

Dk Philip Mpango: Serikali ya Kikwete haikukomba fedha Hazina

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango, amesema Serikali ya Awamu ya Nne iliyokuwa chini ya Rais Jakaya Kikwete haikukomba fedha katika Hazina kama ambavyo baadhi ya wabunge wamedai, hata Shirika la Kimataifa la Fedha (IMF), lilifanya tathmini na kutoa taarifa...
Share:

Wafungwa Wanaosubiri Kunyongwa Magerezani Wafikia 465

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY IDADI ya Watanzania wanaosubiri kunyongwa imekuwa ikiongezeka na hadi sasa imefikia 465 kutokana na hukumu ya kifo kutotekelezwa tangu mwaka 1994.  Ripoti iliyotolewa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika mafunzo kwa waandishi wa habari mjini...
Share:

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI MAY TAREHE 1.5.2016 (MEI MOSI-SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI)

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY ...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger