INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
AWAMU YA KWANZA: SAA MOJA KAMILI ASUBUHI
UKUMBI
KADA
LECTURE THEATRE “A”
Ø HUMAN RESOURCE OFFICER AND ADMNISTRATIVE
Ø SENIOR ACCOUNTANT
LECTURE THEATRE “B”
Ø ...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesusia ziara ya ukaguzi wa
miradi mbalimbali ya maendeleo katika manispaa za Temeke, Kinondoni na
Ilala na kuthibitisha kutoshiriki katika kikao cha bodi ya barabara
kinachotarajiwa kufanyika leo kwa kile wanachodai kushinikiza...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Jeshi
la Polisi jijini Dar es Salaam jana lilifanya upekuzi mkubwa katika
nyumba ya Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) baada ya kumtilia shaka
kuwa na nyaraka muhimu za vikao vya uchaguzi wa Meya wa Jiji hilo.
Kikosi
cha jeshi hilo kilifika katika nyumba ya mbunge...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Tamisemi), Seleiman Jafo amemvua
madaraka Meneja wa Mamlaka ya Maji Mji Mdogo wa Kisarawe mkoani Pwani,
Listen Materu kwa kile alichodai ameshindwa kusimamia majukumu yake
kikamilifu.
Pia, Jafo ameuagiza uongozi wa halmashauri...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Naibu
Waziri wa Afya, Dk Hamis Kigwangalla amewasimamishwa kazi wauguzi sita
katika hospitali ya Temeke kwa kosa la kuomba rushwa.
Wauguzi
waliosimamishwa ni Hadija Salum, Beatrice Temba, Agnes Mwampashe,
Elizabeth Mwilawa, Mariam Mohamed na Marion Said,...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Felix Ngamlagosi
amesema ‘kuanzia tarehe 2 Machi bei za mafuta zimebadilika
ikilinganishwa na toleo lililopita la Februari 2016.
Kwa
Machi 2016 bei ya rejareja za petroli imepungua Tsh 31 kwa lita sawa...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Announcement to all Transfer Students from St. Joseph - Arusha Campus to MWECAU
You are informed to report to the University on Monday 7th March 2016 at 9:00 am for registrations and orientations. Remember to come with all credentials as directed by TCU.
Those from distant regions and who can not go home from Arusha and back to MWECAU on 7th March may report...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Applications for Postgraduate 2016-17
Downloads:
FEES STRUCTURE FOR 2015-2016
GRADUATE REFERENCE FORM 2016-17
GS ADVERT FOR 2016-17 for Applications
GS APPLICATION FORM – 2016-17
Summary of 2016-2017 advert
...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Naibu wa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,
Dkt. Hamisi Kigwangalla ameagiza kufungwa mara moja Chumba cha upasuaji
cha hospitali ya Sanitas ya Mikocheni Jijini Dar es Salaam baada ya
kubaini kuwa na kasoro mbalimbali ikiwemo mfumo na ramani yake...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wakati mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee akilala rumande akihusishwa
na vurugu zilizotokea Jumapili wakati uchaguzi wa meya wa Jiji la Dar
es Salaam ulipokwama, Mahakama ya Kisutu imelikana zuio lililotumika
kuzuia shughuli hizo.
Uchaguzi huo ulipangwa...