
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TIMU ya Waangalizi wa Ndani wa Uchaguzi Mkuu (TEMCO), imesema kwamba tathmini yao kwa Uchaguzi Mkuu uliofanyika hivi karibuni, unastahili hati ya uchaguzi safi, huru na wa haki ambao umeangukia alama A. Aidha, Temco imesema kwamba hata hivyo ikizingatiwa hisia za kutoridhishwa...