INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
The Higher Education Students` Loans Board (HESLB); was established...
Monday, 14 September 2015
ANGALIA MAJINA YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA ZAIDI YA 13000 AMBAO WAMEKOSA VYUO VIKUU,KUFANYA APPLICATION UPYA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TCU yaachia majina ya wanafunzi ambao
wanatakiwa kuomba upya baada ya kukosa nafasi katika first round,Kama
kawaida yetu MASWAYETU BLOG tunaendelea kutoa huduma ya kuangalizia
majina endapo unahitaji kujua kama na wewe ni mmoja wapo,
TAFADHALI FANYA YAFUTAYO KAMA UNATAKA...
Sunday, 13 September 2015
MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA LUSHOTO NDUGU MOHAMED MTOI KANYAWANA AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA KAMANDA MOHAMED MTOI KANYAWANA
Nachukua fursa hii kwa masikitiko makubwa sana kutoa Salamu za
Rambirambi kwa Familia na Uongozi wa Juu wa Chadema Makao makuu kwa
msiba wa Kamanda mwenzetu, Mpiganaji wa kweli,...
Saturday, 12 September 2015
HAYA HAPA MAJUINA YA WANAFUNZI WALIOHAMISHWA SHULE KIDATO CHA TANO AWAMU YA PILI 2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yako;Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG na TANGAYETU BLOG tunaendelea kukupa huduma kitu roho inapenda.Ukihitaji kuangaliziwa jina lako au la ndugu yako kama umehamishwa shule kidato cha tano 2015/2016 awamu ya pili fanya yafuatayo;1.TUMA JINA NA NAMBA YAKO KWENDA...
HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA FORM 5 SECOND SELECTION 2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yako;Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG na TANGAYETU BLOG tunaendelea kukupa huduma kitu roho inapenda.Ukihitaji kuangaliziwa jina lako au la ndugu yako kama umechaguliwa/amechaguliwa kujiunga kidato cha tano 2015/2016 awamu ya pili fanya yafuatayo;1.TUMA JINA NA NAMBA...