Friday, 4 September 2015

MKUTANO WA CCM DODOMA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Sukuhu Hassan, akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni Dodoma mjini leo.
 Kijana akiwa na bango wakati akienda mkutano wa  kampeni za CCM Dodoma mjini leo
 Maelfu ya wananchi wakiwa kwenye mkutano wa kampeni uliohutubiwa na mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM uliofanyika leo Dodoma mjini
 Mgombea wa ubunge jimbo la Mtera Livingstone Lusinde akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Dodoma mjini leo
 Maelfu ya wanannchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Sukuhu Hassan alipowalisi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo
 Maelfu ya wanannchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Sukuhu Hassan alipowalisi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo
 Wagombea Ubunge Livingstone Lusinde (Mtera) na Anthony Mavunde (Dodoma mjini) wakishiriki kucheza muziki jukwani wakai wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo Dodoma mjini leo na kuhutubiwa na mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan
 Mgombea Ubunge jimbo la Dodoma mjini Anthony Mavunde akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa wakati wa mkutano wa kampeii za CCm uliofanyika leo Dodoma mjini
 Wagombea Udiwani Dodoma mjini wakiwa  kwenye mkutano wa kampeniwa mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia uliofanyika leo
 Mgombea Ubunge Dodoma mjini,  Anthony Mavunde akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Dodoma mjini


 Kinkundi cha Hapa Kazi kutoka Tanga wakitumbuiza wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM uliofanyika leo, jimbo la Kibakwe mkoani Dodoma
 Mgombea Ubunge Jimbo la Kibakwe , Dk. Simba Chawene akiomba kura kwa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo hilo leo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia (kushoto) akishuhudia burudani iliyokuwa ikitolewa na Kundi la Hapa Kazi, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika, jimbo la Kibakwe mkoani dodoma leo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia akiwasalimia wananchi baada ya kuwasili uwanja wa mkutano wa kampeni katika jimbo la Kibakwe mkoani dodoma leo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Kibakwe, Dk. Simba Chawene katika mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo hilo leo. Kushoto ni Mama Mariam Simbachawene.
 Msafara wa mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia ukiwa umeuziwa na wananchi wakati akienda jimbo la Mtera leo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,  akimnadi Mgombea Ubunge wa Ubunge jimbo la Mtera Livingstone Lusinde katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo leo
 Mgombea Mwenza wa Urais tikati ya CCM, Mama Samia akiwahutubia wananchi wa jimbo la Mtera katika mkutnao wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo
Maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni katika jimbo la Mtera leo
Share:

POLISI WAMTIA MBARONI TAPELI SUGU..ANATEPELI WASTAAFU NCHI NZIMA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MTU mmoja aliyejulikana kwa jina la David Makali maarufu kama Peter Mabula amekamatwa na jeshi la polisi na kufikishwa mahakamani kwa kuwatapeli wastaafu nchini.

Kamanda wa polisi mkoani Dodoma, David Misime aliwaambia waandishi wa habari kuwa, mtuhumiwa huyo alikuwa akiwatapeli wastaafu kwa kujifanya yeye ni mtumishi wa Ofisi ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi).

“Mtuhumiwa pia amekuwa akijifanya ni mtumishi wa Mfuko wa pensheni wa Serikali za Mitaa (LAPF), Mfuko wa Pensheni wa PSPF na Mtumishi wa ofisi ya Katibu Mkuu wizara ya Afya na kufanikiwa kuwaibia fedha kwa njia ya mtandao wastaafu kutoka katika mikoa mbalimbali.
“Wanachofanya watu hawa hupiga simu Idara mbalimbali na kujifanya wapo TAMISEMI au wizara nyingine na kuwataka wawatumie orodha ya wastaafu wa mwaka fulani pamoja na namba za akaunti zao za simu,” amesema Kamanda Misime.
Amesema kwa njia hiyo matapeli hao wamefanikiwa kupata orodha ya wastaafu kutoka katika mikoa takriban 15 hususan kutoka kwenye idara ya afya.
“Wakishapata orodha ya majina ya wastaafu na namba zao za simu, humpigia mstaafu na kujitambulisha anatokea wizarani na kwamba anashughulikia wastaafu ambao inaonekana walipunjwa kwenye mafao yao na inaonesha naye amepunjwa milioni fulani,” amesema Kamanda Misime.
Amesema watuhumiwa hao hutumia mwanya huo kuwatapeli fedha wastaafu kwamba watume fedha ili wawasaidie waweze kupata fedha zao walizopunjwa na baada ya mstaafu husika kutuma hizo fedha, mtu huyo anakuwa hapatikani tena katika simu.
Kamanda Misime amewatahadharisha wastaafu kutokubaliana na watu wa aina hiyo na idara mbalimbali zichukue tahadhari na kila mara wahakikishe kinachohitajika kinatoka katika idara husika na kwa mtu sahihi.
Share:

New AUDIO | PNC - Wale Wale | Download/Listen

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
DOWNLOAD via HULKSHARE
http://old.hulkshare.com/dl/nr55e6a6ht6o/PNC_-_Wale_Wale.mp3?d=1
Share:

New AUDIO | Msaga sumu - Lowassa | Download/Listen

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

New AUDIO | Msaga sumu - Lowassa | Download/Listen

DOWNLOAD via HULKSHARE
http://old.hulkshare.com/dl/5h9o26dzol1c/Msaga_sumu_-_Lowassa.mp3?d=1
Share:

New AUDIO | Linex Ft. Baraka Da Prince - Because of You | Download/Listen

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
http://old.hulkshare.com/dl/gcb8728frs3k/Linex_Ft._Baraka_Da_Prince_-_Because_of__You.mp3?d=1
Share:

MAGAZETI YA LEO IJUMAA SEPTEMBER TAREHE 04.9.2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

Thursday, 3 September 2015

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI SEPTEMBER TAREHE 3/9/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY.
Share:

Wednesday, 2 September 2015

MAGAZETI YA LEO JUMATANO TAREHE 2 SEPTEMBER 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

Monday, 31 August 2015

DOWNLOAD YAMOTO BAND -CHEZA KWA MADOIDO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

WAZIRI WA ELIMU MSTAAFU JOSEPH MUNGAI AJIUNGA CHADEMA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 
 
Aliyekua Waziri wa Elimu Joseph Mungai na mkewe wametangaza kuhama CCM na kujiunga na CHADEMA Mafinga leo ambapo mgombea urais kupitia UKAWA /CHADEMA Edward Lowassa yupo mkoani Iringa kwaajili ya kampeni
Share:

MAGAZETI YA LEO JUMATATU AGOSTI TAREHE 31.8.2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY








Share:

Sunday, 30 August 2015

HAYA HAPA MAJINA WANAFUNZI WA DIGRII,DIPLOMA NA CHETI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA JESHI LA POLISI 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Tangazo la Kazi, Usaili na Mafunzo

newImage Tangazo lakuitwa katika usaili Jeshi la Polisi Tanzania kwa wahitimu wa shahada, stashahada na astashahada.Bonyeza hapa kupata orodha ya majina hayo na mahali usaili utakapofanyika.
newImageTangazo la Wito chuo cha polisi moshi kwa wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014, kidato cha nne mwaka 2014 na JKT mwaka 2015 waliochaguliwa kujiunga na jeshi la Polisi.Bonyeza hapa kupata majina hayo.
newImage Tangazo la nafasi za kazi kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani.
Bonyeza UNHCR vacancies 
un logo 
Share:

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI AGOSTI 30 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger