Wednesday, 28 January 2015
Tuesday, 27 January 2015
Monday, 26 January 2015
TANGAZO LA KAZI SEKRETARIETI YA AJIRA-KILIMO,MISITU NA WANYAMAPORI,OMBA HARAKA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb. Na EA.7/96/01/H/34 23 Januari, 2015
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa
na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki,
pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea
katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma).
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi kwa
Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 121 za kazi kwa ajili ya Wizara,
Idara zinazojitegemea, Wakala wa serikali na Mamlaka za serikali za mitaa
Sunday, 25 January 2015
BARAZA JIPYA:ANGALIA HAPA MAJINA MAPYA YA BARAZA LA MAWAZIRI LILILOTANGAZWA JANA NA MH.J.KIWKETE
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wakati aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo jana mchana, Rais Jakaya Kikwete ametangaza marekebisho ya Baraza lake la Mawaziri.
Saturday, 24 January 2015
MPYA:MATOKEO YA KIDATO CHA PILI ZANZBAR 2015 YATANGAZWA INGIA HAPA(MASWAYETU ) KUANGALIA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Endapo utahitaji kuangaliziwa MATOKEO YAKO TAFADHALI fanya yafuatayo;
1.Tuma jina lako kwenda namba 0768260834 mfano PAUL PAUL(MATOKEO-
FORM TWO,MKOA MAGHARIBI)
2.Huduma hii utatozwa tshs.1000 tu amabyo utaituma kwa MPESA AU TIGO PESA
KWENDA NAMBA 0768260834(mpesa) 0653791475(tigo pesa).
3.Tutakujibu ndani ya dk.1 tu,Tuma kwanza pesa ndio utajibiwa.
4.TUNAOMBA UTUAMINI SMS ZOTE LAZIMA ZIJIBIWE PIA NIKUHAKIKISHIE
KWAMBA,TUPO VIZURI.(usipige simu)

Thursday, 22 January 2015
BREAKING NEWZ:UHAMISHO KWA WATUMISHI 4352 WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA JANUARY 2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Uhamisho kwa Watumishi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa January 2015.
Endapo utahitaji kuangaliziwa KAMA umehamishwa kituo cha kazi tafadhali fanya yafuatayo;
1.Tuma jina lako kwenda namba 0768260834 mfano PAUL PAUL(UHAMISHO-
TAMISEMI)