Sunday, 5 October 2014

DOWNLOAD HAPA JOINING INSTRUCTIONS ZA SUA KWA MWAKA WA KWANZA WOTE 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY 







LOCATION OF SOKOINE UNIVERSITY OF 
AGRICULTURE AND ARRIVAL INFORMATION
Sokoine University of Agriculture is in Morogoro Municipality and is about 200 km west of Dar es Salaam, 260 km from Dodoma and 320 km from Iringa. Be informed that all students selected to join B.Sc. Environmental Science and Management, B.Sc. Education, Bachelor of Tourism Management (BTM), B.Sc. Agricultural Education (Agricultural Sciences and Biology), Bachelor of Rural Development (BRD), B.Sc. Agricultural Economics and Agribusiness, B.Sc. Applied Agricultural Extension, B.Sc. Range Management and B.Sc. Informatics are supposed to report at Solomon Mahlangu Campus (SMC) in Mazimbu, whereas the rest will be reporting at the Main Campus (MC).  Students are required to arrive between 08:00 hours and
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO TAREHE.05/10/2014 KUBWA ZAIDI MDEE ATIWA MBARONI BAADA YA KUFANYA MAANDAMANO BATILI.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
   
.
Share:

Friday, 3 October 2014

HAYA NDIO MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA MUHIMBILI UNIVERSITY KOZI MBALIMBALI 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

                           MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES
                                       
 Kama kawaida yetu maswayetu blog tunatoa huduma ya kungalizia watu majina yao endapo wamechaguliwa kujiunga na chuo kikuu;huduma yetu utatozwa tshs.800 tu ambayo utaituma kwa mpesa.
1.Tuma  form 4 exam number,jina lako kamili.mfano john paul[muhas]
2.Tuma kwenda namba 0768260834.
3.Tutakujibu ,NAOMBA UTUAMINI

4.Hutajibiwa hadi utume pesa.USIPIGE SIMU.
KUNAGALIA UMEPANGIWA WAPI BONYEZA HAPO CHINI;

Share:

BREAKING NEWZ:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA 2ND SELECTION CHUO KIKUU CHA SUA 2014/201

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

                                           Image result for sua
 Kama kawaida yetu maswayetu blog tunatoa huduma ya kungalizia watu majina yao endapo wamechaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha sua kwa awmu ya pili ;huduma yetu utatozwa tshs.800 tu ambayo utaituma kwa mpesa.
1.Tuma  form 4 exam number,jina lako kamili.
2.Tuma kwenda namba 0768260834.
3.Tutakujibu ,NAOMBA UTUAMINI 

4.Hutajibiwa hadi utume pesa.USIPIGE SIMU.
KUNAGALIA UMEPANGIWA WAPI BONYEZA HAPO CHINI;
Share:

Thursday, 2 October 2014

BREAKING NEEWZ:JOINING INSTRUCTIONS ZA UDOM SPECIAL PROGRAMME YA DIPLOMA SAYANSI NA HISABATI ZIMETOKA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
            slide1
BAADA YA KUSUBIRIA KWA MDA MREFU HATIMAE CHUO KIKUU CHA DODOMA KIMETOA JOINING INSTRUCTIONS ZA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA SPECIAL PROGRAMME YA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI 2014/2015.
KUTOKANA NA JOINING HIZO CHUO SASA KITAFUNGULIWA TAREHE 18 OCTOBER 2014.
Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG tupo hapa kutoa msaada kwa wale wote mnaohitaji HUDUMA yetu tutakutumia joining hiyo.
Ili kutumiwa joining hiyo fanya yafuatayo;
1.TUMA JINA LAKO KAMILI NA NAMBA YAKO YA FORM4
    mfano :MUSSA 
KWILASA(S0756/0002/2013) kwenda namba 
    0768260834
2.TUMA EMAIL YAKO KWENDA NAMBA 0768260834
3.TUTAKUTUMIA JOINING HIYO MARA TU
Share:

JE UNATAKA KUBADILI KOZI ULIYOCHAGULIWA CHUO KIKUU?SOMA>>NJIA KUU TATU ZITAKAZOKUFANYA UAME KOZI KIURAHISI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                               
                           (innocent the blogger boy akiwa msamvu morogoro)
Habari yenu wadau wapendwa wa blog hii ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOGSPOT wadogo hamjambo?wakubwa shikamoni.
Kwanza kabisa nipende kuwapongeza wale wote waliochaguliwa kujiunga na vyuo mbalimbali ndani na nje ya Bongo yetu hii.Hongereni sana kwani nyie ni baadhi ya vijana wengi waliokosa nafasi hizo;
Leo napenda kuzungumzia mada kubwa kuhusu ubadilishaji wa kozi uingiapo chuoni,Kutokana na vijana wengi kuchaguliwa kozi ambazo hawazitaki,mfano mtu alikuwa anataka kusomea ualimu akajikuta kachaguliwa hotel management au mwingine alikuwa anataka kusomea udakatari akajikuta kachaguliwa Ualimu LEO nitaelezea njia ambazo unaweza kuzifanya ili uweze kuadilisha kozi na kusoma kozi unayoitaka;
Zifuatazo ni njia hizo;
1.KUBADILI KOZI SIKU YA KWANZA YA REGISTRATION
   UFIKAPO CHUONI.

-Hii ni kati ya njia ambazo ni nyepesi sana ambayo itakufanya usome kozi unayotaka kusoma tofauti na uliyochaguliwa,ukifika
Share:

BREAKING NEEEWZ:TAARIFA KWA WAOMBAJI WA MIKOPO WALIODAHILIWA KATIKA PROGRAMU MAALUM YA STASHADA YA UALIMU WA SAYANSI NA HISABATI ,2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wanafunzi wote mliochaguliwa UDOM kwa masomo ya sayansi na hisabati bodi imefungua mlango,kwani mda wa kuomba mkopo umewekwa kuwa ni wiki 2,kuanzia tarehe 29,MPE TAARIFA MWENZAKO,SOMA TAARIFA HIYO HAPO CHINI,MASWAYETU BLOG TEAM TUNAWAPENDA SANA.

TAARIFA KWA WAOMBAJI WA MIKOPO WALIODAHILIWA KATIKA PROGRAMU MAALUM YA STASHADA YA UALIMU WA SAYANSI NA HISABATI 
Share:

BUNGE LA KATIBA DODOMA KIMENUKA,HATIMAE THELUTHI MBILI YAPATIKANA SOMA HAPA

 
Bunge maalumu la Katiba nchini Tanzania limepitisha rasimu ya katiba iliyopendekezwa.
Hatua hiyo imefikiwa baada ya kura za ndio zilizopigwa na wajumbe kufikia kiwango kinachostahili.
Ili katiba hiyo iliyopendekezwa ipite ilitakiwa kuungwa mkono na kura za ndio theluthi mbili kutoka Tanzania bara na theluthi mbili za ndio kutoka Zanzibar.

Share:

TANGAZO LA KAZI KUTOKA SEKRETRIETI YA AJIRA ,TAFADHALI CHANGAMKIA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                                 Image result for tanzania
Jamaa zangu wote waliomaliza SUA wakina james,michael dyanka,mchizi wangu sengo changamkieni ajira fasta fasta,soma tangazo hilo hapo chini;,

Share:

BREAKING NEEWZ:TCU YATANGAZA UTARATIBU KWA WALE WANAOTAKA KUHAMIA KOZI ZA AFYA 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Tanzania Commission for Universities
Transfer to Medical Related Programmes.
Introduction
TCU has discussed and requested universities offering Health related 
programmes to increase their admission capacities in order to 
accommodate more applicants in the said programmes. 
We are therefore inviting applicants wishing to transfer to medical 
programmes in the following available slots to apply for transfer.
SN Code Programme Name Institutions Available
Slots
1
AJ006 Doctor of Medicine
Archbishop James University 
College 20
Share:

NEEEEEWZ:DOWNLOAD HAPA JOINING INSTRUCTIONS ZA CHUO KIKUU CHA UDSM 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                    

Information for Freshers' 2014/2015 Academic Year

Share:

MPYA:SAUT YATANGAZA SECOND SELECTION YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KWA LEVEL YA DIGRII MWAKA WA MASOMO 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

                             
Habari yenu wadau ,kuhusu afya yetu tu wazima wa afya njema na mwenyezi mungu mwingi wa rehema anajalia kila siku mambo yanazidi kuwa mazuri,kama ambavyo tunatarajiria katika kuendelea kuwapa raha watanzania leo tumewaletea majina ya WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHUO KIKUU CHA SAUT 2ND SELECTION 2014/2015HIVYO BASI KAMA UTAPENDA KUANGALIZIWA POST YAKO UNATAKAIWA KUFANYA YAFUATAYO;
1.TUMA JINA LAKO NA EXAM NAMBA KWENDA NAMBA 0768260834 KATIKA FORMAT IFUATAYO.
E.g.MUSSA PAUL S0765/0008/2011(SAUT 2ND) 
2.HUDUMA HII ITAKUGHARIMU TSH.800 AMBAYO UTAITUMA KWA MPESA.
3.KAMA UNATUMIA AIRTEL AU TIGO TUMA KWA AIRTEL&TIGO PESA KWENDA NAMBA 0768260834.
4.TUTAKUJIBU NDANI YA DK.2 TU,HATUTAJIBU SMS KAMA UTATUMA HIYO PESA.
6.USIPIGE SIMU SMS ZOTE ZITAJIBIWA
BONYEZA HAPO CHINI KUANGALIA MAJINA HAYO;
Share:

BREAKING NEEEWZ:UDOM YATANGAZA SECOND SELECTION YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KWA LEVEL YA DIGRII MWAK WA MASOMO 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                             
Habari yenu wadau ,kuhusu afya yetu tu wazima wa afya njema na mwenyezi mungu mwingi wa rehema anajalia kila siku mambo yanazidi kuwa mazuri,kama ambavyo tunatarajiria katika kuendelea kuwapa raha watanzania leo tumewaletea majina ya WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHUO KIKUU CHA UDOM 2ND SELECTION 2014/2015HIVYO BASI KAMA UTAPENDA KUANGALIZIWA POST YAKO UNATAKAIWA KUFANYA YAFUATAYO;
1.TUMA JINA LAKO NA EXAM NAMBA KWENDA NAMBA 0768260834 KATIKA FORMAT IFUATAYO.
E.g.MUSSA PAUL S0765/0008/2011(UDOM 2ND) AU SAUT-ARUSHA
2.HUDUMA HII ITAKUGHARIMU TSH.800 AMBAYO UTAITUMA KWA MPESA.
3.KAMA UNATUMIA AIRTEL AU TIGO TUMA KWA AIRTEL&TIGO PESA KWENDA NAMBA 0768260834.
4.TUTAKUJIBU NDANI YA DK.2 TU,HATUTAJIBU SMS KAMA UTATUMA HIYO PESA.
6.USIPIGE SIMU SMS ZOTE ZITAJIBIWA
BONYEZA HAPO CHINI KUANGALIA MAJINA HAYO;
Share:

PIGA NAMBA ZIFUATAZO KUWASILIANA NA WAWAKILISHI WA NACTE ENDAPO UNATATIZO LOLOTE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                                      
Namba za Wawakilishi wa nacte mikoani.


  • 0658444556

  • 0658444557

  • 0658444558

  • 0658444559

  • 0658444560

  • 0658444562

  • 0658444565
Share:

HAYA NDIO MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA VTYUO VY AFYA 2014/2015,NA KUFADHILIWA NA AMREF

UFADHILI WA AMREF
                             
Selection of applicants to be sponsored by AMREF 
which involves applicants residing in SIMIYU,
 SHINYANGA 
and the district of KILWA-LINDI has been conducted.

A total of 297 applicants were considered for this 

sponsorship based on their locality. Their locality 
was 
extracted from a list of 292 secondary schools which
 are listed here under. These schools are in the
 districts
 specified by AMREF as potential locations. It was 
assumed that an applicant resided in the same 
district wher
e he/she 
studied because this was the 
best way to ensure that the applicant resided in a 
given location. The geographical location was the first
 selection criteria.
Share:

Wednesday, 1 October 2014

BREAKING NEWZ:JIPATIE JOINING INSTRUCTIONS ZA WANAFUNZI WOTE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA VYUO VYA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA. MWAKA WA MASOMO 2014/2015,PIA SOMA TAARIFA MUHIMU KUHUSU JOINING ZA UDOM KWA WALIOCHAGULIWA DIPLOMA MIAKA MITATU.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                  
Habari yenu wadau wa blog hii pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOG kama ilivyo kawaida yetu kuwapasha habari zinazowahusu kwa ukaribu zaidi kama vile elimu n.k leo tumewaletea Joining instruction za vyuo vya ualimu ngazi ya stashahada kwa elimu ya wali na msingi,Tafdhali pta joining yako kabla ya siku ya kufungua chuo ambayo ni tarehe 6/10/2014.
Maswayetu blog tunaendela kutoa huduma kawa wale wote mtakaotaka kutumiwa joining hizo kwa njia ya email,please fanya yafuatayo;
1.TUMA EMAIL YAKO KWENDA NAMBA 0768260834
    mfano:innocentbloggerboy@gmail.com(taja jina la chuo chako).

2.Huduma hii utatozwa tshs.1000 tu ambayo utaituma kwa mpesa kwenda namba 0768260834.
3.Tafadhali usipige simu,tutajibu sms zote 
Share:

Tuesday, 30 September 2014

BREAKING NEWS:HATIMAE UDOM YATANGAZA MAJINA YA WANAFUNZI KIDATO CHA NNE WALIOCHAGULIWA DIPLOMA YA SAYANSI NA HISABATI MIAKA 3,PAMOJA NA MASOMO WANAYOENDA KUSOMEA,2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
        slide1

Habari yenu wadau wa blog hii pendwa ya Maswayetu blog,Hatimae chuo kikuu cha dodoma chatangaza rasmi majina ya wanafunzi wanaotakiwa kujiunga na chuo hicho kwa ajili ya masomo ya sayansi na hisabati.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger