Saturday, 19 July 2014

BREAKING NEWZ:ANGALIA MAJINA YA WALIMU-DIPLOMA KWENDA VIKOSI MBALIMBALI JKT 2014

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

YAFUATAYO NI MAJINA YA WALIMU WA STASHADA WALIOPANGIWA JKT 2014 AMBAO KWA MUJIBU WA TAARIFA ILIYOTOLEWA  WANATAKIWA KURIPOTI SEPTEMBER 2014.
KAMA UTASHINDWA KUANGALIA JINA LAKO TAFADHALI PIGA +255768260834 KUAMBIWA UMEPELEKWA WAPI,(tafadhali  tuma na  tsh.100 kwa ajili ya kujibiwa kwa sms nashukuru sana)

TAFADHALI BONYEZA HAPA KUANGALIA KUANGALIA JINA LAKO

WALIMU-DILOMA KWENDA 834-MAKUTUPORA
NAMKOANAMBA YACHUOJINA LA CHUOJINSIJINA LA MTAHINIWA
1 MBEYA E0535 TUKUYU TEACHERS' COLLEGE F ADELINA MTIMBUKA
2 MBEYA E0535 TUKUYU TEACHERS' COLLEGE F AGATHA P MGULUNDE
3 MBEYA E0535 TUKUYU TEACHERS' COLLEGE F AIDA BUJA
4 MBEYA E0535 TUKUYU TEACHERS' COLLEGE F AJAE J MAMBA
5 MBEYA E0535 TUKUYU TEACHERS' COLLEGE F AMINA JUMA
6 MBEYA E0535 TUKUYU TEACHERS' COLLEGE F AMINA MPALWA
7 MTWARA E0534 MTWARA TEACHERS' COLLEGE F ANAGRACE LEONIDAS
8 MTWARA E0534 MTWARA TEACHERS' COLLEGE F ANASA WAMBALI
9 MBEYA E0535 TUKUYU TEACHERS' COLLEGE F ANASTA WAYA

Share:

TANGAZO MUHIMU KWA WALIMU NA VIJANA WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 KUHUSU KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWEZI SEPTEMBA 2014

                                                              
TANGAZO MUHIMU KWA WALIMU NA VIJANA WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 KUHUSU KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWEZI SEPTEMBA 2014
1. Awamu ya pili kwa vijana watakaojiunga na Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mujibu wa Sheria itaanza rasmi tarehe 11 septemba, 2014 na itahusisha makundi yafuatayo:-
  • Walimu wote ngazi ya cheti (GATCE) 2014 ( Waliomaliza mwaka 2014).
  • Walimu elfu tatu (3,000) ngazi ya Diploma (DSEE) (Waliomaliza mwaka 2014).
  • Vijana waliomaliza kidato cha sita mwaka 2014 waliopangwa awamu ya pili ambao hawana sifa za kujiunga na vyuo vya  elimu ya juu (Vyuo Vikuu).
Share:

Friday, 18 July 2014

HONGERENI SANA 3RD ,4TH AN 5TH YEAR STUDENTS FROM SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE(SUA),PIA KARIBUNI SANA 1ST YEAR 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza kwa dhati wanafunzi wote waliomaliza chuo kikuu cha sokoine kilichopo mjini morogoro.
Kiukweli mmeonyesha uwezo mkubwa sana kwani KUMALIZA SUA sio masihara,Kiukweli sua kuna mishale mingi kwani kabla walimu hawajaanza kufundisha mnakutana na SCRRENING TEST,Hamjakaa sawa ASSIGNMENT,QUIZ,MAKE UP,TEST,PRACTICALS,PROBATION,TUTA,RETAKE ,so kiukweli mmejitahidi sana.
Pia wanafunzi mliobaki nawaomba msome sana kwani sua hakuna kulala ni kazi kazi mwendo wa kubadilishana venue.
Hii ni kwa wanafunzi wote wa kozi zifuatazo;
  1. Bsc.AGRONOMY
  2. Bsc.FOOD SCIENCE AND TECHNOLOGY
  3. Bsc.VETERNARY MEDICINE
  4. Bsc.AGRICULTURE GENERAL
  5. Bsc.AQUA CULTURE
  6. Bsc.HORTICULTURE
  7. Bsc.LABORATORY SCIENCE 
  8. Bsc.FAMILY CONSUMER
  9. Bsc.HUMAN NUTRITION
  10. Bsc.FORESTY
  11. Bsc.WILD LIFE
  12. Bsc.AGRICULTURAL ENGINEERING
  13. Bsc.IRRIGATION ENGINEERING
  14. Bsc.BIOPROCESSING AND POST HARVESTING ENGINEERING
  15. Bsc.EDUCATION
  16. Bsc.AEA
  17. Bsc.RURAL DEVELOPMENT
  18. Bsc.TOURISM MANAGEMENT
  19. Bsc.ANIMAL SCIENCE       
NAWAPENDA SANA KAKA ZANGU KARIBUNI KATIKA STREET UNIVERSITY,HUKU HAKUNA SEMI ESTER WALA FREEDOM SQUARE. 
 PONGEZI HIZI ZIMEANDIKWA NA;
 MIMI INNOCENT THE-BLOGGER  -MMILIKI HALALI WA BLOG HII
NAPATIKANA KWA NAMBA;
 +255768260834(kama unaushauri,wazo au pongezi karibuni sana sms zote zitajibiwa,hata ukibip utapigiwa) 
Share:

Thursday, 17 July 2014

WACHEZAJI WALIOVUTIA ZAIDI KOMBE LA DUNIA BRAZIL-2014

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Huenda sio wachezaji wageni , lakini michuano ya kombe la dunia Brazil iliwaleta wachezaji hao kwa sura tofauti sana kwa mashabiki wa soka duniani.
Hata cha muhimu zaidi ni kwa mawakala wa wachezaji hao,
Share:

NECTA:ANGALIA MATOKEO YA UALIMU GATCE,DSEE NA DTE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY




Endapo utataka kuangaliziwa matokeo yako au ya mwanao fanya yafuatayo;
1..TUMA JINA LAKO NA EXAM NAMBA KWENDA NAMBA 0768260834 mfano JOHN JOHN S0710/0118/2015(MATOKEO UALIMU  DSEE,DTE,GATCE AU GATSCCE)
Share:

MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO TAREHE 17 JULAI 2014

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 Usaili utafanyika sehemu zifuatazo:
1.COMPUTER SYSTEM ANALYST GRADE II (SYSTEM ADMINISTRATION) - USAILI WA VITENDO (PRACTICAL) utafanyika Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) tarehe 18 Julai 2014 saa 12:45 asubuhi
2.COMPUTER SYSTEM ANALYST II (MOBILE
Share:

LORI LAPARAMIA KLABU YA POMBE NA KUUA WATU WATANO PAPO HAPO KATIKA KIJIJI CHA UGWACHANA HUKO IRINGA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Watu 5 wamekufa papo hapo wakiwemo watu watatu wa familia moja na wengine 3 kujeruhiwa vibaya baada ya lori la kubebea mizingo kuparamia nyumba ya kuuzia pombe katika kijiji cha Ugwachana, Manispaa ya Iringa. 
Share:

AJALI YA NDEGE: NDEGE NYINGINE YA MALAYSIA YAUA ABIRIA 295 UKRAINE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Mwanajeshi mwasi akiwa karibu na eneo kulikoanguka ndege hiyo ya Malaysia.
Ndege ya shirika la Malaysian ikiwa na abiria 295 imeanguka
Share:

NAPE NNAUYE ATOA TAARIFA KWA UMMA KUTOKA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjp2inQE7B9ca0UVyeb1uBuXNFj2dTRdX5vgagpVZkixYhC1cHTXc64jzKIv42RvIHyap4IYT0idPCZxI4pkdsvCRBoXZJj91C1GYqMKbsFsqnd62g8cr1dmfsKpugmU2ZNmVPQFeyHSQw/s1600/MMGM4299.jpg
Jana tarehe 16/07/2014 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ilifanya kikao cha kawaida cha siku moja mjini Dar es salaam. Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.
Share:

MATOKEO YA USAILI ULIOFANYIKA SEKRETARIETI YA AJIRA TAREHE 16 JULAI 2014

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO WA TAREHE 16 JULAI 2014
                                             
 Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wanatakiwa kufika kwa ajili ya usaili wa mahojiano wakiwa na vyeti halisi (Original Certificates)
MUDA:     Saa moja kamili asubuhi
MAHALI:  Ofisi za Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)

PRINCIPAL  REGISTRATION OFFICER           
NA  EXAMINATION NUMBER  SCORE    REMARKS
1    PSRS-PRINC REGIST-008    80    SELECTED
2    PSRS-PRINC REGIST-003    80    SELECTED
Share:

IRINE UWOYA ,AFANYA FUJO KWA MUME WA MTU,SOMA HAPA IMEKUAJE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

NYOTA wa sinema za Kibongo, Irene Pancras Uwoya amesababisha tena! Safari hii amekinukisha nyumbani kwa mwanaume aliyewahi kuwa mpenzi wake (jina tunalo) kufuatia jamaa huyo kufunga ndoa na mwanamke mwingine na kumfanya Uwoya kuendelea kuwa ‘nyumba ndogo’. 
Share:

BABY MADAHA ALIA ,KISA UNAJUA NI NINI?SOMA HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Staa wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’
 STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ amesema kuwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani umembana kiuchumi kwani kumbi nyingi za starehe zimefungwa kwa hiyo anashindwa kupata pesa.
Share:

MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA USHETU,ANUSURIKA KUPIGWA RISASI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

INASIKITISHA! Watu wasiojulikana wamemshambulia kwa risasi na mapanga Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, Geita, Juma Kimisha na msafara wake na kusababisha kiongozi huyo kukimbizwa Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Mwanza ili kuokoa uhai wake.
Share:

LULU AWEHUKA UKUMBINI GHAFLA,SOMA HAPA IMEKUAJE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Mchecheto! Staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’, hivi karibuni alijikuta akiendelea kuwehukia penzi la mwanamuziki Mkanada anayefanya shughuli zake nchini Marekani, Justin Drew Bieber (20), Amani  lina cha kushika mkononi.
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 17/07/2014 ,KUBWA ZAIDI MATOKEO KIDATO CHA SITA 2014

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

1_ff647.jpg
Share:

MAJINA YA WALIMU WALIOPANGIWA KAMABI YA BULOMBORA JKT- KIGOMA

KUTOKANA NA KUPIGIWA SIMU NA WATU WENGI NIMEAMUA KUWEKA MAJINA YA WALIMU WAIPANGIWA JKT 2014
AU KAMA HUTALIONA JINA LAKO KABISA NIPIGIE +255768260834 NIKUANGALIZIE.
                                                                           vijana_6.jpg
NAMKOANAMBA YACHUOJINA LA CHUOJINSIJINA LA MTAHINIWA
1 KAGERA E0585 ST. FRANCIS NKINDO TEACHERS' COLLEGE F ABELLA CLEMENCE
2 DODOMA E0508 MPWAPWA TEACHERS' COLLEGE F ADAH S JAGWASY
3 KILIMANJARO E0513 MANDAKA TEACHERS' COLLEGE F ADASIA JONATHAN
4 NJOMBE E0528 TANDALA TEACHERS' COLLEGE F ADELA ALOICE MTUI
5 RUKWA E0618 AGGREY CHANJI TEACHERS' COLLEGE F ADELA DAMAS CHOGA

 

Share:

Wednesday, 16 July 2014

MATOKEO KIDATO CHA SITA 2014 YATANGAZWA,95.98% WAFAULU,IGOWOLE YAONGOZA FEZA YA PILI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Hatimae matokeo ya kidato cha sita 2014 yatangazwa ,
MATOKEO YA KIDATO CHA 6 2014 YATANGAZWA

Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 – 21, yametoka.

Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825

Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54

Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.

SHULE 10 ZILIZOONGOZA
1. Igowole
2. Feza Boys
3. Kisimiri
4. Iwawa
5. Kibaha
6. Marian Girls
7. Nangwa
8. Uwata
9. Kibondo
10. Kawawa


SHULE 10 ZA MWISHO
1. Ben Bella
2. Fidel Castro
3. Tambaza
4. MuhezaHigh School
5. Mazizini
6. Mtwara Technical
7. Iyunga technical
8. Al- falaah Muslim
9. Kaliua
10. Osward Mang'ombe
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger