&&
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Tuesday, 8 July 2014
ANGALIA MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO WA TAREHE 5 JULAI 2014 -SEKRETARIETI YA AJIRA DAR
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Usaili utafanyika sehemu zifuatazo:
1. Kada za GCLA zitafanyika OFISI ZA MKEMIA MKUU WA SERIKALI (GCLA), 10/7/2014 SAA MOJA KAMILI ASUBUHI.
2. Kada za CBE zitafanyika CHUO CHA BIASHARA (CBE), 10/7/2014 SAA MOJA KAMILI ASUBUHI.
3. Kada za MNMA zitafanyika CHUO CHA MWALIMU NYERERE (MNMA) - KIGAMBONI, 9/7/2014 SAA MOJA KAMILI ASUBUHI.
4. Kada za SIDO zitafanyika OFISI ZA SMALL INDUSTRIES DEVELOPMENT ORGANISATION, 8/7/2014 SAA MOJA KAMILI ASUBUHI.
5. Kada za SSRA zitafanyika CHUO KIKUU CHA ARDHI, 8/7/2014 SAA MOJA KAMILI ASUBUHI.
NB: WASAILIWA WANATAKIWA KUZINGATIA MUDA NA SEHEMU ILIYOTAJWA KWA AJILI YA USAILI NA KUJA NA VYETI HALISI (ORIGINAL CERTIFICATES).
KADA: CHEMICAL LABORATORY TECHNOLOGIST GRADE II
MWARIJI:GOVERNMENT CHEMIST LABORATORY AGENCY (GCLA)
| MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO WA TAREHE 5 JULAI 2014 |

WATU NANE WAJERUHIWA NA BOMU ARUSHA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Watu 8, wengi wao ni wenye asili ya Asia, wanahofiwa kujeruhiwa kwa bomu lililotupwa kwenye Mgahawa wa Gymkhana Arusha usiku wa kuamkia leo!
TUTAWALETEA HABARI KAMILI MDA SI MREFU
Watu 8, wengi wao ni wenye asili ya Asia, wanahofiwa kujeruhiwa kwa bomu lililotupwa kwenye Mgahawa wa Gymkhana Arusha usiku wa kuamkia leo!
TUTAWALETEA HABARI KAMILI MDA SI MREFU
SOMA KISA KIZIMA JINSI HOUSE GIRL ALIVYOMUUA BOSI WAKE KWA KISU-SINGIDA
MAJINA YA WAUZA MADAWA YA KULEVYA YAANIKWA,SOMA HAPA
WATANZANIA WAFURAHI KUMUONA RAIS KIKWETE AKIJUMUIKA NAO KWENYE MAONESHO YA SABASABA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana Jumapili Julai 6, 2014 alitembelea kwa mara ya pili maonesho ya

Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana Jumapili Julai 6, 2014 alitembelea kwa mara ya pili maonesho ya
DIAMOND PLATNUMZ AMZAWADIA MAMA YAKE GARI LA MILIONI 38
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Toyota Lexus New Model yenye thamani ya milioni 38.1 aliyozawadiwa mama Diamond na mwanaye.
Toyota Lexus New Model yenye thamani ya milioni 38.1 aliyozawadiwa mama Diamond na mwanaye.Monday, 7 July 2014
ANGALIA ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO MAALUMU REKEBISHI (BRIDGING COURSE)
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
ORODHA
YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO MAALUMU REKEBISHI
(BRIDGING COURSE) YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA MASOMO YA SAYANSI NA
HISABATI KATIKA CHUO CHA UALIMU MONDULI MWAKA WA MASOMO 2014/2015.
LINA AFUNGUKA:ADAI WANAOSEMA GARI ALIYOPEWA KAHONGWA NA SHAHIDI???
JACK PATRICK :AZIDI KUMTESA JUX
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

MOYO unauma! Staa wa R&B Bongo, Juma Khalid ‘Jux Vuitton’ amekiri kuteswa na ishu ya mwanamitindo Jacqueline Fitzpatric Cliff ‘Jack Patrick’ akiomba asiulizwe habari za modo huyo aliyekuwa mpenzi wake ambaye kwa sasa yupo nyuma ya nondo kwa madai ya kukamatwa na madawa ya kulevya ‘unga’ huko Macau, Hong Kong nchini China.

LULU AWASEMA WABAYA WAKE WA BONGO MUVI
ELIMU:HATUA ZA KUFATA ENDAPO UNAHITAJI KUSHIKA MIMBA MAPEMA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

2. Tumia ovulation prediction kit,
hiki ni kifaa ambacho kitakusaidia kujua wakati hasa mwanamke ameengua
yai na ndio kipindi ambacho mwanamke ana uwezo wa kushika mimba
akikutana na mumewe. Ni rahisi kutumia.
Sunday, 6 July 2014
WANAFUNZI WA DODOMA UNIVERSITY WATOA TAMKO-KUHUSU SKENDO JUU YA UKAHABA,WASEMA KUWA WANAOFANYA BIASHARA HIYO HUTUMIA STATUS YA UDOM KUPATA WATEJA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mji wa Dodoma unakua kwa kasi kubwa, ofisi za serikali na taasisi zisizo za kiserikali zinajengwa kwa wingi.
Wafanyabiashara
nao hawapo nyuma wakiwamo wanaonadi miili yao kama bidhaa. Hawa ni
maarufu kwa majina kama vile makahaba, machangudoa na dada poa.
FREEMASONS WATOA TAMKO KUHUSU MMWISHO WA DUNIA-SOMA TAMKO HILO HAPA MASWAYETU BLOG
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
WAKATI binadamu wakiendelea na mipango yao ya kuifanya dunia kuwa
sehemu salama ya kuishi kimazingira, kiulinzi na usalama, utabiri mpya
wa kutisha unaonesha kuwa mwaka 2032 ndiyo mwisho wa sayari hii ya tatu katika mfumo wa jua. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali katika mitandao ya internet,
sayari iitwayo Nibiru, ambayo kisayansi inafahamika kama Planet X ipo njiani kuigonga dunia na hivyo kusababisha majanga mbalimbali kutokea.

sayari iitwayo Nibiru, ambayo kisayansi inafahamika kama Planet X ipo njiani kuigonga dunia na hivyo kusababisha majanga mbalimbali kutokea.
WANAFUNZI WA CBE-DODOMA WATUKANANA MITANDAONI-SOMA HAPA MASWAYETU BLOG
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Baadhi ya wanafunzi
wa CBE Dodoma wamekerwa na kitendo cha kuchafuliwa kwenye mtandao wa Intagram na mtu ambaye hawajamfamu kwa jina ingawa baadhi yao wanadai kuwa ni mwanafunzi mwenzao ambaye anatumia jina tofauti kabisa na lake na pia yupo miongoni mwao lkn bado hawajamfahamu....