Saturday, 5 July 2014

SILVA,LUIZ WAIPELEKA BRAZIL NUSU FAINALI KWA USHINDI WA 2-1 DHIDI YA COLOMBIA,GERMANY WAIVUGUMISHA KUSIKOJULIKANA UFARANSA KWA 1-0

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
WENYEJI Brazil wametinga Nusu Fainali ya Kombe la Dunia, baada ya kuifunga mabao 2-1 Colombia katika mchezo wa Robo Fainali kwenye Uwanja wa Castelao mjini Fortaleza.
Beki David Luiz kwa mara nyingine alikuwa shujaa wa Brazil baada ya kufunga bao la pili dakika ya 69 kwa shuti kali la mpira wa adhabu kutoka nje kabisa ya boksi.
Shujaa; David Luiz akishangilia baada ya kufunga bao la pili dhidi ya Colombia 

Nahodha Thiago Silva alitangulia kuifungia Brazil bao la kwanza dakika ya saba, lakini bahati mbaya kwake akaonyeshwa kadi ya pili ya njano kwenye mashindano haya, ambayo itamfanya akose mchezo wa Nusu Fainali. 
Share:

Friday, 4 July 2014

BREAKING NEWZ:MAJAMBAZI WATATU WAUWAWA JIJINI ARUSHA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

arusha.
 JESHI la polisi mkoani hapa limewaua majambazi watatu waliokuwa wamepanga njama ya kwenda kupora mamilioni ya fedha zilizokuwa zinapelekwa benki na kampuni ya Arusha Islamic Centre
Share:

STORI KAMILI: KUHUSU SHEKH ALIJERURIWA NA BOMU ARUSHA MDA WA KULA DAKU

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Kuhusu shekh wa Arusha aliyejeruhiwa wakati anakula Daku.
                                   

Kutoka Arusha taarifa ambayo imetangazwa kupitia Leo tena ambayo imetolewa kama breaking news ni kuhusu Sheikh wa msikiti wa Qiblatan Sood Ally Sood (37) uliopo eneo la Kilombero
Share:

WAFUNGAJI BORA HADI MDA HUU -KOMBE LA DUNIA HAWA HAPA


INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wanaoongoza kwa mabao mpaka leo;
3-Thomas MUELLER-Ujerumani  
    Robin VAN PERSIE-Uholanzi
    Arjen ROBBEN-Uholanzi
2-Karim BENZEMA-Ufaransa
    Mario MANDZUKIC-Ujerumani
    Tim CAHILL-Australia
    NEYMAR-Brazili
    GERVINHO-Ivory Coast
    James RODRIGUEZ-Colombia

Share:

HAYA NDIO MAJESHI YENYE NGUVU ZAIDI DUNIANI-HUKU MAREKANI IKIONGOZA KUWA IMARA ZAIDI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
HAYA NDIO MAJESHI YENYE NGUVU ZAIDI DUNIANI
1. US Navy SEAL
sf1
2. British SAS
Share:

RATIBA KOMBE LA DUNIA-ROBO FAINALI JULY 04 2014

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
KOMBE LA DUNIA
RATIBA
ROBO FAINALI
IJUMAA, JULAI 4, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
France v Germany [57]
ROBO FAINALI
Estadio do Maracanã, Rio de Janeiro
2300
Brazil v Colombia [58]
ROBO FAINALI
Estadio Castelão, Fortaleza
JUMAMOSI, JULAI 5, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Argentina v Belgium [59]
ROBO FAINALI
Nacional, Brasilia
2300
Netherlands v Costa Rica [60]
ROBO FAINALI
Arena Fonte Nova, Savador
NUSU FAINALI
JUMANNE, JULAI 8, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
2300
Mshindi 57 v Mshindi 58 [61]
NUSU FAINALI
Estadio Mineirão, Belo Horizonte
JUMATANO, JULAI 9, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
2300
Mshindi 59 Mshindi 60 [62]
NUSU FAINALI
Arena Corinthians, Sao Paulo
MSHINDI WA TATU
JUMAMOSI, JULAI 12, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
2300
Aliefungwa 61 v Aliefungwa 62
MSHINDI WA 3
Nacional, Brasilia
FAINALI
JUMAPILI, JULAI 13, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
2200
Mshindi Mechi 61 v Mshindi Mechi 62
FAINALI
Estadio do Maracanã, Rio de Janeiro
Share:

TANGAZO BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA-KWA WATAHINIWA KIDATO CHA SITA 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TANGAZO
BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA


Baraza la Mitihani la Tanzania linapenda kuwatangazia watu wote wanaotaka kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) mwezi, Mei 2015 kama Watahiniwa wa Kujitegemea kwamba kipindi cha usajili kilianza rasmi tarehe 1 Julai, 2014 hadi tarehe 30 Septemba, 2014 kwa ada ya Shilingi 50,000/=. Aidha kuanzia tarehe 1 Oktoba, 2014 hadi tarehe 31 Oktoba, 2014 waombaji watajisajili kwa ada ya Shilingi 65,000/- (ada pamoja na faini).
Share:

JIJINI MBEYA: KIJANA APEWA ADHABU YA KUTUNDIKWA KWENYE MTI BAADA YA KUKUTWA ANAIBA FUNGUO ZA DALADALA KATIKA GARAGE MOJA SOWETO.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 Kijana huyo ambaye hajajulikana jina kwa Mara moja akiwa ametundikwa katika mti baada ya kukamatwa anaiba funguo za magari katika Garage moja Soweto.
Share:

ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA:TAKWIMU MBALIMBALI ZA KOMBE LA DUNIA KABLA YA MECHI ZA ROBO FAINALI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Hatua ya robo fainali ya kombe la dunia inaendelea leo. Saa 1:00 usiku kwa saa za Afrika mashariki, Ufaransa watachuana na Ujerumani.
Saa 5:00 usiku, wenyeji Brazil watakuwa kibaruani dhidi ya Colombia.
Kfikia sasa hizi ndio takwimu muhimu za kombe la dunia mwaka 2014, nchini Brazil.
Kufikia sasa mpaka michezo 56 kati ya 64 imekwishachezwa,
Takwimu muhimu mpaka sasa,
Mfungaji bora anayeongoza akiwa ni James Rodrguez wa Colombia mwenye mabao matano, huku Neymar, Lionel Messi na Thomas Muller wa Ujerumani wakifuatia wakiwa na mabao manne kila mmoja.
Share:

BIFU ZITO BONGO MUVI-JOHARI Vs CHUCHU HANS, TIDVs RAY C

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

MTIFUANO! Mastaa wawili wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ na Chuchu Hans wameendeleza ligi ya bifu lao baada Chuchu kujibu mapigo huku malejendari wengine wawili wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ na Khaleed Mohamed ‘TID Mnyama’ wakitifuana.
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO IJUMAA-KUBWA LIKIWA NI KAULI YA MAKAMBA KUGOMBEA URAIS 2015

1_57a8c.jpg
Share:

ANGALIA VITA YA MAMBA NA CHUI-HII NI BAADA YA CHUI KUMKUTA MAMBA UFUKWENI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

HUYU HAPA LULU TENA NA KITUKO KINGINE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

GAUNI alilovaa msanii wa filamu Bongo, Elizabeth Michael hivi karibuni alipokuwa kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za Watu limeonesha kuwatega wanaume hasa wakware kufuatia kuuanika ‘upaja’ wake.
Share:

Thursday, 3 July 2014

Huyu ndie Mwigulu Nchemba Akiweka Siasa Pembeni ni Mwelewa na Mjuzi wa Mambo

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kwa muda mrefu nilikuwa nikimuona Mwigulu bungeni na michango yake, nilikuwa nimeshamuweka kwenye kundi la watu wazandiki, wafitini, wahafidhina, mchochezi na vitu vingine kama hivyo. Leo nimemsikia kupitia Clouds Fm nimependa ufafanuzi wake kuhusu kukopa na kulipa
Share:

UKWELI WOTE KUHUSU WATANGAZAJI WA CLOUDS: TAZAMA PICHA IKIONYESHA OFISI ILIVYOHARIBIKA BAADA YA WATANGAZAJI HAO KUPIGANA NGUMI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

MATUKIO KATIKA PICHA:WANAFUNZI WA SUA WAKIWA KATIKA PILIKA PILIKA ZA MITIHANI YA UE JULY 2014

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Wanafunzi wa chuo kikuu cha sokoine kilichopo mjini morogoro ambao wanaendelea na mitihani yao ya mwisho wa muhula wa pili(2ND SEMI ESTER)   Wamekutwa na kamera yetu ilikuwa ikipita maeneo mbalimbali chuoni hapo kwa ajili ya kuangalia hali ya wanafunzi hao wawapo kwenye mitihani yao hiyo ya mwisho.

                                                
                                                        

               Hawa ni wanafunzi wa kozi ya engineering iliyopo chuoni hapo wakiwa
                       katika discussion  ya  kwa ajili ya maandalizi ya mitihani yao.
                                                 
 ( picha na innocent the-blogger)
Share:

TAHADHARI KWA WAOMBAJI WA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU KUHUSU KUZUKA KWA GENGE LA MATAPELI WANAODAI FEDHA KUTOKA KWA WAOMBAJI MIKOPO

                                  BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU
                                      HIGHER EDUCATION STUDENTS’ LOANS BOARD
                                                
Plot No. 8, Block No. 46, Sam Nujoma Road, Mwenge; P.O. Box 76068, Dar es Salaam, Tanzania
Tel: (General) +255 22 2772432/2772433; Fax: +255 22 2700286; E-mail: info@heslb.go.tz  Website: www.heslb.go.tz
  

TAHADHARI KWA WAOMBAJI WA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU KUHUSU KUZUKA KWA GENGE LA MATAPELI WANAODAI FEDHA KUTOKA KWA WAOMBAJI MIKOPO



Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwatahadharisha waombaji wa mikopo na umma kwa ujumla, juu ya kuibuka kwa genge la matapeli wanaowalaghai wananchi ambapo hujitambulisha kuwa wao ni wafanyakazi wa Bodi ya Mikopo.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger