INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Nahodha Thiago Silva alitangulia kuifungia Brazil bao la kwanza dakika ya saba, lakini bahati mbaya kwake akaonyeshwa kadi ya pili ya njano kwenye mashindano haya, ambayo itamfanya akose mchezo wa Nusu Fainali.
WENYEJI
Brazil wametinga Nusu Fainali ya Kombe la Dunia, baada ya kuifunga
mabao 2-1 Colombia katika mchezo wa Robo Fainali kwenye Uwanja wa
Castelao mjini Fortaleza.
Beki David Luiz kwa mara nyingine alikuwa shujaa wa Brazil baada ya kufunga bao la pili dakika ya 69 kwa shuti kali la mpira wa adhabu kutoka nje kabisa ya boksi.
Beki David Luiz kwa mara nyingine alikuwa shujaa wa Brazil baada ya kufunga bao la pili dakika ya 69 kwa shuti kali la mpira wa adhabu kutoka nje kabisa ya boksi.
Nahodha Thiago Silva alitangulia kuifungia Brazil bao la kwanza dakika ya saba, lakini bahati mbaya kwake akaonyeshwa kadi ya pili ya njano kwenye mashindano haya, ambayo itamfanya akose mchezo wa Nusu Fainali.
Wanaoongoza kwa mabao mpaka leo;