Thursday, 26 June 2014
Wednesday, 25 June 2014
RATIBA YA MTIHANI CSEE 2014,MITIHANI KUANZA 03/11/2014
(06th – 23rd October, 2014 – 051/2 FOOD AND NUTRITION PRACTICAL) Monday 03/11/2014
011
Civics (SC & PC)
8:00 – 10:30
022
English Language (SC & PC)
2:00 – 5:00
Tuesday 04/11/2014
041
NIGERIA YATINGA 16 BORA KUTOKA AFRIKA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Ahmed Musa (kulia) akishangilia na wenzake wa Nigeria baada ya kuifungia timu yake bao la pili dhidi ya Argentina.
MTOTO AKOTWA KAMBI YA JESHI-MOROGORO
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
ASKARI wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Kambi ya Pangawe mkoani Morogoro wamemuokota mtoto mwenye umri wa miaka sita, Mwajuma Athuman aliyedai kukimbia mateso kutoka kwa mama yake mkubwa Juni 17, mwaka huu.

WEMA SEPETU AZIMIA GHAFLA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

CHUKI tu! Katika jambo ambalo limeuumiza moyo wa Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ tangu awe staa, ni ishu iliyotokea wikiendi iliyopita baada ya mtu asiyejulikana kutengeneza picha chafu ya mama mzazi wa mrembo huyo, Mariam Sepetu na kisha kuisambaza kwenye mitandao ya kijamii kitu ambacho kilimshtusha na kujikuta akipoteza fahamu.

MWANAFUNZI WA RUAHA UNIVERSITY -IRINGA ACHOMWA MAFUTA YA TAA BAADA YA KUTOKA USIKU KUANGALIA KOMBE LA DUNIA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Polisi mkoani iringa wanawashikilia walinzi 4 amabo wanatuhumiwa kumchoma moto mwanafunzi wa chuo kikuu cha ruaha (25) anaesomea masomo ya sheria.

SUAREZ ANG'ATA MTU MENO-KOMBE LA DUNIA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Jana
tumeona mcheza wa soka umevamiwa na wasiopaswa kuwa uwanjani. Nimetania
kwenye KwanzaJamii sports extra leo asubuhi kuwa Suarez unapoanza mpira
alipaswa akamatwe na apelekwe kufungiwa kwenye matyndu ya wanyama wakali
wafugwao!
MAMBO YA VIGODORO HAYA TAZAMA HAPA
Mi sitii neno hapa leo, jionee mwenyewe balaa la wazee hawa....Kweli ujana mwisho Chalinze niaje..!
INJINIA SUA WAFANYA SHEREHE:KUMPONGEZA BEDON(UNPERISHABLE) KUWA WAZIRI MKUU,JERIMIAH KUWA MBUNGE
JUMUIYA YA WANA SUA WANAFUNZI WASOMAO INJINIA LEO HII WAMEFANYA SHEREHE AMBAYO ITAKUMBUKWA NA WATU WENGI BAADA YA MTAJWA HAPO JUU MH.BEDON KUTEULIWA NA MH.RAS KUWA WAZIRI MKUU WA CHUO HICHO.
Tuesday, 24 June 2014
TOA MAONI YAKO:Unalizungumziaje suala la nguo fupi kwenye filamu?
MOE:TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO KIDATO CHA TANO 2014
TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO
KIDATO CHA TANO KWA TAHASUSI ZA MASOMO YA SAYANSI, HISABATI, ENGLISH NA UALIMU KWA MUDA WA MIAKA 3
UTANGULIZI
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inakaribisha maombi ya kujiunga na Masomo ya Kidato cha Tano kwa tahasusi za masomo ya Sayansi, Hisabati English, na Ualimu kwa muda miaka 3 kwa wahitimu wa Kidato cha IV wenye ufaulu wa Daraja la I hadi III kati ya mwaka 2004 na 2013. Katika masomo haya mwanafunzi atasoma masomo ya Sekondari ya Kidato cha V na VI na kufanya mtihani wa taifa wa Kidato cha VI na kuendelea na Mafunzo ya Ualimu kwa mwaka mwingine mmoja ambapo atatunukiwa Stashahada ya Ualimu. Awali, mfumo huu ulikuwa unajulikana kama half combination.