Dada huyu ameharibu ndoa yake mwenyewe
na kujikuta anajuta, zikiwa
Monday, 9 June 2014
MAHUSIANO :FANYA YAFUATAYO KUFURAHIA MAPENZI
MAJINA NAFASI ZA KAZI MPYA-UHAMIAJI
Kufuatia tangazo la kazi lililotolewa na Kamishna Mkuu wa Uhamiaji la tarehe 14 na 17 Februari, 2014 kwenye magazeti ya Habari Leo, Mtanzania na Daily news; kuhusu kujaza nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji,Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi anawatangazia waombaji kuangalia katika tovuti www.moha.go.tz na www.immigration.go.tz ambapo majina ya wanaoitwa kwenye Usaili yameorodheshwa.
Saturday, 7 June 2014
RAY C KUGOMBEA UBUNGE 2015 ILI KUPIGANA NA WATU WANAOINGIZA MADAWA YA KULEVYA NCHINI
Makundi mengi ya vijana ndani ya mtandao wa facebook yamekuwa na imani kuwa msanii Rehema Chamila anaweza kuwa mtetezi wao mkubwaendapo ataamua kuingia kwenye siasahao kuwa Ray C kwa sasa amepitia changamoto nyingi hivyo wanaamini kama akipewa nafasi ya kuingia bungeni inaweza kuwa chachu ya yeye kupigana na watu wanaoingiza madawa ya kulevya nchini na kuwaokoa vijana wengi wanaopotea kutokana na matumizi ya dawa hizo
Friday, 6 June 2014
MKE WA MTU AJERUHIWA AKIFUMANIA
TANGAZO MUHIMU KUHUSU MAFUNZO YA VIJANA MUJIBU WA SHERIA 2014
TANGAZO
JESHI LA KUJENGA TAIFA LINAWATANGAZIA VIJANA WANAOJIUNGA NA JKT KWA
MUJIBU WA SHERIA AWAMU YA KWANZA JUNI 2014 KURIPOTI MAKAMBI
WALIYOPANGIWA HARAKA IWEZEKANAVYO KWANI MAFUNZO YATAANZA RASMI TAREHE 09
JUNI 2014.AIDHA, LINAKANUSHA TAARIFA ZINAZOSAMBAZWA KWA KUTUMIA UJUMBE MFUPI WA MANENO (SMS) KATIKA SIMU ZA VIGANJANI KWAMBA WALIORIPOTI KAMBI YA MAKUTUPORA DODOMA WALIPOKELEWA NA KUTESWA, HAWAKULALA WALA KULA CHAKULA HUKU KIJANA MMOJA TOKA SHULE YA SEKONDARI PUGU AKIVUNJWA MGUU KWA MATESO. YOTE YALIYOSEMWA SIO KWELI BALI NI MANENO YA UZUSHI TU...
DIAMOND PLATNUMZZZ AKIWA NA MH.RAIS NEW YORK MAREKANI
Promoter DMK,Diamond Platnumz,Kevin Liles,Raisi Kikwete.
Hivi
Majuzi wakati Tour ya Diamond ilipokuwa New York,Ma Promoter wake pamoja
na Yeye mwenyewe walikaribishwa na Mheshimiwa Raisi ambapo mbali na
mambo mengine Mheshimiwa alimpongeza Diamond katika mafanikio yake ikiwa
nipamoja na Kuchaguliwa kuwania tuzo za BET hapa nchini Marekani.
RATIBA-KOMBE LA DUNIA 2014
AIBU AIBU:PICHA ZA MBUNGE JOHN KOMBA AKIMLA URODA BINTI ZASAMBAA MTANDAONI,CHEKI HAPA
Thursday, 5 June 2014
BIASHARA YA UKAHA BA SASA MWISHO-POLISI WAJIPANGA
Idara ya
Uhamiaji nchini Tanzania imegundua maficho ya wasichana waliosafirishwa
kutoka nchi za India na Nepal mjini Dar es Salaam ambao wanatumikishwa
katika biashara zisizo halali katika maeneo mbalimbali jijini humo.
WAZIRI WA AFYA APATA CHANGAMOTO KUBWA
Wabunge
wanawake bila kujali itikadi za vyama juzi usiku waliungana kuibana
Serikali wakishinikiza iongeze fedha za Bajeti ya Wizara ya Afya na
Ustawi wa Jamii ya mwaka 2014/15 ili kukabiliana na vifo vya kina mama
na watoto.