Thursday, 14 November 2024
TBS YASISITIZA UMUHIMU WA UBORA WA BIDHAA KWA USHINDANI KATIKA MASOKO YA KIMATAIFA
Tuesday, 12 November 2024
DKT. SLAA : CHADEMA HAITEKELEZI KILE INACHOHUBIRI
Kwa mujibu wa Dkt. Slaa, Lissu, ambaye ni makamu mwenyekiti wa CHADEMA, anapaswa kutumia madaraka yake kuhakikisha kuwa tuhuma za rushwa zinazotolewa ndani ya chama zinachunguzwe na kujadiliwa, lakini badala yake, Lissu amekaa kimya na kusema uongo kwa umma kuhusu chama cha CCM na serikali. Dkt. Slaa anaamini kuwa hii ni ishara ya udhaifu na unafiki mkubwa kwa chama kinachojivunia kupigania haki, uwazi, na uwajibikaji.
Zaidi ya hayo, Dkt. Slaa anadai kuwa CHADEMA inajivunia kuwa chama kinachopigania mabadiliko, lakini ukweli wa mambo unaonyesha picha tofauti. Anasema kwamba chama hicho kinashindwa kukabiliana na migongano ya ndani, rushwa, na migawanyiko ya kimaslahi ambayo inaendelea kutokea bila kupatiwa ufumbuzi. Dkt. Slaa anahitimisha kwa kusema kwamba kama CHADEMA inashindwa kusafisha nyumba yao wenyewe na kudhibiti matatizo ya ndani, basi hawawezi kuwa na maadili ya kuongoza taifa.
Kauli ya Dkt. Slaa inaonekana kumlenga Lissu na viongozi wa CHADEMA kwa kusema kuwa wanahubiri haki na uwazi kwa umma, lakini ndani ya chama cha CHADEMA, mambo hayo hayatekelezwi. Hii ni onyo kwa Watanzania kuhusu udhaifu wa CHADEMA na uwezo wake wa kuongoza, kwani chama hicho kinatajwa kuwa hakina dira wala uthabiti wa kisiasa wa kuweza kuchukua nafasi ya uongozi wa kitaifa.
Kwa kifupi, Dkt. Slaa amekumbusha jamii kwamba kabla ya kuamini kwa kiasi kikubwa kauli za viongozi wa CHADEMA, ni muhimu kuangalia vitendo vyao na kujua ikiwa wanatekeleza kile wanachokihubiri, na kwamba kwa sasa, chama hicho hakina uwezo wa kuwa kioo cha mabadiliko yanayotaka nchi.
ALINIACHIA MTOTO, SASA NIPO NA MWINGINE ANANIFANYIA FUJO!
Kwa majina naitwa Bernad Shamte kutokea Mbeya, Tanzania, ni kijana wa umri miaka 28 nilikua na mwanamke nimezaa naye mtoto mmoja na nilikuwa nikiishi naye tangu ana mimba mpaka akajifungua mtoto wa kiume ambaye nilimpenda sana.
Kinyume na matarajio yangu, baada ya muda tabia yake iliaanza kubadilika, akawa tena sio mtu wa kuambilika, wakati mwingine anaongea na wanaume mbele yangu, yaani ilikuwa dharau sana, hakuniheshimu kama mume wake.
Hata kipindi ambacho nilipomuonya aliamua kufungusha na kukaondoka na kunitelekezea mtoto akiwa mdogo sana, cha kusikitisha kabisa sikufahamu alipoelekea.
Sikukata tamaa na maisha, basi nikaendelea kupambana mwenyewe tu, mtoto nikaamua kumpeleka nyumbani kwa bibi yake ambaye ni mama yangu mzazi ili amlee ili mimi niendelee kupambana na maisha yangu.
Kweli mtoto aliendelea kukua vizuri na kuwa na afya njema, katika kipindi chote sikuweza kuwa na mawasiliano na yule mwanamke wangu, hata ndugu zake sikuwahi kuwaona.
Baada ya muda sana nikaona kukaa pekee muda mrefu sio vizuri, kwa bahati nzuri ikapata mwanamke mwingine ambaye tulipendana na kuanzisha mahusiano.
Haikuchukua muda, kwa bahati nzuri naye akapata ujauzito na tukawa na mipango ya kuja kuishi pamoja kama mke na mume.
Cha ajabu kilichokuja kutokea ni kwamba kabla sijaanza kuishi naye, yaani huyu niliyempa mimba sasa hivi, yule mama mtoto wangu alirudi tena kwangu anataka turudiana tumlee mtoto wetu.
Nikamwambia haiwezekani, ndipo akaanza ugomvi mkubwa hadi kwenda kunishtaki kuwa nimemzalisha na sasa simtaki, alinipeleka Polisi kwa ugomvi kubwa sana, jambo hilo lilileta mgogoro mkubwa sana katika familia yetu kiasi cha kunikosesha amani.
Kaka yangu mkubwa ndiye alikuja kunitoa katika changamoto hiyo baada ya kuniambia niende kwa Dr Bokko akaninyie matambiko ili huyo mwanamke andoke kwenye maisha yangu moja kwa moja.
"Mtu huyu amewasaidia wengi ambao walikuwa na matatizo kama yako, tafadhali nakupa namba yake naomba umpigie mara moja, namba yake ni +255618536050, mueleze kila kitu, yeye ndiye anajua kitu gani cha kufanya," aliniambia kaka yake.
Baada ya kuzungumza na Dr Bokko na kufanyiwa dawa pamoja na matambiko yake, yule mwanamke aliacha kabisa kuniletea fujo, hakuwahi kunitafuta tena.