Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania (MISA TAN) , Wakili James Marenga (kulia) akikabidhi tuzo ya kufanikisha kulinda Uhuru wa Vyombo vya Habari nchini Tanzania kwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi kwa niaba ya Rais...