Tuesday, 31 January 2023

EWURA YARIDHISHWA KUWASA KUPELEKA MAJI YA ZAWADI YA USHINDI SHULE ZA SEKONDARI KAHAMA

Meneja wa EWURA Kanda ya Ziwa, George Mhina (kushoto) na wanafunzi wa shule ya Sekondari Kabela Gold wakifungua maji kupitia mradi wa maji uliotekelezwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Kahama (KUWASA) kwa ufadhili wa EWURA. Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Mamlaka ya...
Share:

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YANG'ARA WIKI YA SHERIA DODOMA

Waziri wa Katiba na Sheria, Mh Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akipokea machqpisho mbalimbali kutoka kwa Afisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Rehema Nyagawa wakati alipotembelea banda la Tume Leo Januari 26,2023 katika maonesho ya wiki ya sheria kitaifa inayoendelea katika viwanja vya Nyerere Square Jijini...
Share:

KATAMBI:SERIKALI IMEANZA KUFANYIA KAZI MABORESHO YA MISHAHARA VYUO VIKUU

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi,akijibu maswali ya nyongeza bungen leo Januari 31,2023 jijini Dodoma yaliyoulizwa na Mbunge wa Viti maalum, Mhe. Dkt.Thea Ntara. .................................. Na Mwandishi Wetu, Dodoma SERIKALI...
Share:

ENEO LA KITARAKA KUTUMIKA KIMKAKATI KUZALISHA MIFUGO KIBIASHARA

***************************** Na Mbaraka Kambona, Singida Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega (Mb) amesema kuwa Serikali imedhamiria kulitumia eneo la kupumzishia mifugo la Kitaraka lililopo wilayani Manyoni, Singida liweze kutumiwa na vijana watakao hitimu mafunzo katika vituo...
Share:

MFANYABIASHARA AFARIKI AKIMUNG'UNYA URODA NA MREMBO GESTI

Mfanyabiashara mwenye umri wa miaka 25, amepatikana amefariki dunia katika chumba cha hoteli alichokuwa amekodisha kumumunya urojo na mpenziwe. Ali Musstafa anaripotiwa kuanguka na kukata roho katika Hoteli ya Avenue Lodge mjini Arua, Uganda kutokana na kushindwa kupumua alikokuwa akirusha roho...
Share:

MTOTO WANGU ALIVYOTOWEKA KWA NJIA ZA KISHIRIKINA

Jina langu ni Mama Samweli kutokea nchini Kenya, miaka kama mitatu iliyopita nilipitia changamoto kubwa sana kifamilia, hii ni baada ya mtoto wangu mmoja kupotea katika mazingira ya kutatanisha. Ilikuwa ni jioni ya kawaida akiwa anacheza eneo la karibu ya nyumba yetu pamoja na watoto wa majirani...
Share:

Monday, 30 January 2023

WAWILI BABATI WAHUKUMIWA MIAKA 20 JELA KWA UHUJUMU UCHUMI

Na John Walter-Babati Watu wawili wakazi wa Kijiji Endagile kata ya Mamire wilaya ya Babati mkoani Manyara, John Lulu na Zebedayo Safari, wamehukumiwa kifungo Cha miaka 20 jela kwa kosa la kukutwa na meno mawili ya tembo. Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatatu Januari 30,2023 na Mheshimiwa Hakimu...
Share:

UWT SHINYANGA WAADHIMISHA MIAKA 46 YA CCM, WAKEMEA UKATILI DHIDI YA WATOTO

Mjumbe wa Baraza Kuu kutoka UWT Taifa Helen Bugoye akizungumza kwenye maadhimisho ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi CCM. Na Sumai Salum, KISHAPU UMOJA wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi CCM (UWT) Mkoa wa Shinyanga, umeadhimisha miaka 46 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi CCM, huku wakilaani kuendelea...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger